Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Wapumbavu ni wengi sana Tanzania, mimi hata redio nilipo sina, sina Dvd player wala situmii flash.

Simu yangu inaweza kuaccess kila kitu kupeleka kwenye Bluetooth speaker na movie naangalia netflix kutokea kwenye simu kwenda kwenye smart tv yangu na nina monthly unlimited bundle.

Mpumbavu akija nyumbani kwangu huenda akanihesabu na mimi niko simpo na wala sina makuu bila kujua bill yangu ya kila mwezi kwa subscription zangu nakwata kiasi gani kwenye credit card yangu.

Magufuli amefanikiwa namna ya kuishi na watu wajinga, hata leo wameonesha live kikao cha baraza la mawaziri wapumbavu wakaanza kumimina sifa, nikamwambia mpumbavu mmoja mawaziri wote kiapo chao ni kutunza siri za vikao vya baraza la mawaziri, sasa nyinyi wauza Alkasusu mmeapishwa lini kutunza siri hizo mpaka muoneshwe kikao hicho live? Wakanizomea.

Basi baada tu ya Hussein Mwinyi kuapa kuwa mtiifu kwa Mzee wetu na hapo ndipo ukawa mwisho wa live coverage Magufuli anafungua kikao anamkaribisha chief secretary alete ajenda na Msigwa akakata matangazo papo hapo.

Kuna wapumbavu mpaka sasa watakwambia kikao cha baraza la mawaziri kilikuwa live shenzi kabisa mijitu ya nchi hii.

Hii nchi itaendelea kuwa maskini zaidi, mtawalaumu bure CCM lakini tatizo syo CCM bali tatizo ni wapumbavu wengi waliojaa Tanzania. Bullshit.
 
Hivi Rais wetu na Rais wa China walitumia lugha gani kuwasiliana? Lugha za ishara may be? au wakwetu aliishia tu kusema:Yes yes Mr.Xing Ping, Fine, Senk you so much. Em veri happy to receive your condolences, em sorry I wanted to say your congratulations, to me.
Issue ya communication language siyo tatizo, nina uhakika waliseti kabisa voice translation, kwa teknolojia ilipofikia hilo siyo tatizo kuandaa facility hizo kwa telephone conversation.
 
Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.
Sio ofisi ya Rais hiyo
Hapo ni kwa katibu Myeka
Ofisi ya Rais lazima iwe na bendera ya Rais na ya Taifa
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.


View attachment 1651282
IMG-20201216-WA0000.jpg
 
Yani kwa lugha nyingine tunasema hiyo ofisi ni chafu, hayo ma document yamepangwa hovyo sana hapo wakati naamini kuna watu wanalipwa mishahara na wamesomea kazi ya utunzaji wa ofisi
kwa ninavomfahamu jiwe hasomi files zote hzo kwa siku moja au tatu,ameweka tu hapo kwa ajili ya jambo lake
Wacha kuzunguka mkuu,,,
Sema "KIKI" Baaasi
 
Wewe pimbi sana.
Dada yangu ni HR manager wa ofisi fulani ya serikali makao makuu.
Yeye anakuambia kwake ni mwiko kukaa na faili mezani. Kazi ikija ataifanya inapita.
Nyie ndio mapimbi mnaodhani mtu ofisini akijazana mafile ndiye mchapa kazi.
Kaka ulisoma hataa fasihi kidogo....?? Read between Lines
 
Ni ofisi yake kwa sababu amepigwa picha akiwa ameketi hapo au kuna vigezo umevizingatia kusema kuwa ni ofisi yake?
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Sasa kama hataki yaguswe unataka wafanye nini?
 
Yani kwa lugha nyingine tunasema hiyo ofisi ni chafu, hayo ma document yamepangwa hovyo sana hapo wakati naamini kuna watu wanalipwa mishahara na wamesomea kazi ya utunzaji wa ofisi
kwa ninavomfahamu jiwe hasomi files zote hzo kwa siku moja au tatu,ameweka tu hapo kwa ajili ya jambo lake
Kupiga picha inahitaji mipango na kujiandaa, haswa kama unajua mapozi...... !!
 
Hiyo ofisini iko rough haijapangwa ma file kila corner na ofisini mezani kunatakiwa kusiwe na mafile maana huongeza stress kwa Rais. So hiyo ofisi waipange vizuri watoe ma file mezani.
 
Yani kwa lugha nyingine tunasema hiyo ofisi ni chafu, hayo ma document yamepangwa hovyo sana hapo wakati naamini kuna watu wanalipwa mishahara na wamesomea kazi ya utunzaji wa ofisi
kwa ninavomfahamu jiwe hasomi files zote hzo kwa siku moja au tatu,ameweka tu hapo kwa ajili ya jambo lake
Waliopanga ofisi ya Rais hawana uelewa wa kazi na Mambo ya stress Management, ofisi ilivyo na ma file tu inamuongezea stress maana urais tu wenye stress.
 
Ofisi ya Rais ambayo ni rasmi haiwezi kuwa hiyo inakuwa na mpangilio wa kueleweka na Bendera na inakuwa too formal , Rais anaweza kuwa na Ofisi Kadhaa inategemea anafanya nini na kwa wakati gani msiwe maboya nyinyi
 
Back
Top Bottom