Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Wapumbavu ni wengi sana Tanzania, mimi hata redio nilipo sina, sina Dvd player wala situmii flash.

Simu yangu inaweza kuaccess kila kitu kupeleka kwenye Bluetooth speaker na movie naangalia netflix kutokea kwenye simu kwenda kwenye smart tv yangu na nina monthly unlimited bundle.

Mpumbavu akija nyumbani kwangu huenda akanihesabu na mimi niko simpo na wala sina makuu bila kujua bill yangu ya kila mwezi kwa subscription zangu nakwata kiasi gani kwenye credit card yangu.

Magufuli amefanikiwa namna ya kuishi na watu wajinga, hata leo wameonesha live kikao cha baraza la mawaziri wapumbavu wakaanza kumimina sifa, nikamwambia mpumbavu mmoja mawaziri wote kiapo chao ni kutunza siri za vikao vya baraza la mawaziri, sasa nyinyi wauza Alkasusu mmeapishwa lini kutunza siri hizo mpaka muoneshwe kikao hicho live? Wakanizomea.

Basi baada tu ya Hussein Mwinyi kuapa kuwa mtiifu kwa Mzee wetu na hapo ndipo ukawa mwisho wa live coverage Magufuli anafungua kikao anamkaribisha chief secretary alete ajenda na Msigwa akakata matangazo papo hapo.

Kuna wapumbavu mpaka sasa watakwambia kikao cha baraza la mawaziri kilikuwa live shenzi kabisa mijitu ya nchi hii.

Hii nchi itaendelea kuwa maskini zaidi, mtawalaumu bure CCM lakini tatizo syo CCM bali tatizo ni wapumbavu wengi waliojaa Tanzania. Bullshit.

Hiyo ni kweli kwa kiasi flani.
Watanzania tuna matatizo but mdogo mdogo tutafika tu brother
 
Wewe ni mjinga nimempangie wapi Cha kufanya uwe una Soma na kuelewa Mambo kabla ya kukurupuka, mwanaume mzima hutumii akili, aibu yako na ukoo mzima hovyo
Naona imekuuma sana hadi unashindwa kudumisha utulivu wa CNS; madokta huwa wanashauri maji vuguvugu na brisky walking kwa dakika 10 hadi 15 ili kudhibiti acquired syndrome kama yako.
 
Diamond kapiga sing na koffie, song limebamba dunia nzima, Wakenya wakaona wivu, wakaona watupie clip ya Koffie akimpiga mnenguaji wake, tukio limetokea miaka minne iliyopita, kwanini sasa hivi liongelewe, kwanini halikuongelewa mwezi wa Tisa, kumi?
Song la whaaa limetoka!? Mara paaaaap, clip ya Koffie hiyo!!!
Akili kubwa hii. . . Kudos mkuu
 
Wapumbavu ni wengi sana Tanzania, mimi hata redio nilipo sina, sina Dvd player wala situmii flash.

Simu yangu inaweza kuaccess kila kitu kupeleka kwenye Bluetooth speaker na movie naangalia netflix kutokea kwenye simu kwenda kwenye smart tv yangu na nina monthly unlimited bundle.

Mpumbavu akija nyumbani kwangu huenda akanihesabu na mimi niko simpo na wala sina makuu bila kujua bill yangu ya kila mwezi kwa subscription zangu nakwata kiasi gani kwenye credit card yangu.

Magufuli amefanikiwa namna ya kuishi na watu wajinga, hata leo wameonesha live kikao cha baraza la mawaziri wapumbavu wakaanza kumimina sifa, nikamwambia mpumbavu mmoja mawaziri wote kiapo chao ni kutunza siri za vikao vya baraza la mawaziri, sasa nyinyi wauza Alkasusu mmeapishwa lini kutunza siri hizo mpaka muoneshwe kikao hicho live? Wakanizomea.

Basi baada tu ya Hussein Mwinyi kuapa kuwa mtiifu kwa Mzee wetu na hapo ndipo ukawa mwisho wa live coverage Magufuli anafungua kikao anamkaribisha chief secretary alete ajenda na Msigwa akakata matangazo papo hapo.

Kuna wapumbavu mpaka sasa watakwambia kikao cha baraza la mawaziri kilikuwa live shenzi kabisa mijitu ya nchi hii.

Hii nchi itaendelea kuwa maskini zaidi, mtawalaumu bure CCM lakini tatizo syo CCM bali tatizo ni wapumbavu wengi waliojaa Tanzania. Bullshit.
kudos mkuu. mtaji mkubwa wa wanasiasa ni ujinga wa watz. fikra zao ni duni sana,sio wasio soma tu hata wasomi walio maofisini. fikiria kwa nini Qnet imefanikiwa kutapeli tena maofisini
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Mkuu usiwaonee wasaidizi wake, hiyo ni life style yake, na ukikuta Kiongozi yeyote (sio rais tu, hata Meneja wa Taasisi) amejaza mafaili mezani kwake ujue huyo kiongozi ni low Iq leader. Kiongozi anatakiwa aweke utaratibu wa nini anafanya yeye na nini wanafanya wasaidizi wake, hapo ni ofisini lakini tuliambiwa na yeye mwenyewe kwamba hata chumbani kwake anapolala huwa kumejaa mafaili yanayomsubiri yeye, Viongozi wengi nimewahi kuona wakiwa smart kiasi kwamba mezani kwake huwezi kukuta mafaili yamejazana hovyo kama huyu rais wenu, huo ni mfumo wa kidicteta wa kufanya kazi, inawezekana hii picha ikawa ya kutengenezwa, maana siamini yaweza kuwa hivyo.
 
Mna uthibitisho gani alikuwa kweli anaongea katika simu, wachilia mbali kuongea na rais wa China? Mantiki ni nini ya hii picha na hiyo taarifa?
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
inawezekana huwa wanampangia vzuuuri Ila dingilai anavuruga vuruga mwenyewe[emoji58]
 
Mna uthibitisho gani alikuwa kweli anaongea katika simu, wachilia mbali kuongea na rais wa China? Mantiki ni nini ya hii picha na hiyo taarifa?
wewe unadhani kwa nini Qnet wamefanikiwa sana kuwatapeli watz. ni ujinga kama huu
 
Naona imekuuma sana hadi unashindwa kudumisha utulivu wa CNS; madokta huwa wanashauri maji vuguvugu na brisky walking kwa dakika 10 hadi 15 ili kudhibiti acquired syndrome kama yako.
Mbona unatoka nje ya mada inachaganya tu Mambo akili yako Ina mvurugo wa maono
 
Back
Top Bottom