Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
uJINGA NI KITU KIBAYA SANA
 
Kwa hiyo amekataza wateule wake kupiga picha wakiwa kazini ila yeye na Jokate wanapiga.
Hajakataza watu kupiga picha. Amekataza watu kurushiana document za Serikali na ambazo ni confidential, kwenye mitandao ya whatsup. Hawa viongozi naomba tuwe tunawasikiliza vizuri wanapokuwa wanaongea ili kusudi inapofikia kwenye hatua ya kuwatuhumu, tuwatuhumu kwa tuhuma zilizo sahihi!
 
Niliwahi kucheka sana siku moja. Wakarusha kwenye taarifa ya habari, kipindi akiwa waziri wa ujenzi. Ana mkandarasi wake wa kujenga barabara halafu barabara inaonyesha kukwamishwa na wananchi walioko karibu na maeneo ya barabara, mkandarasi anauziwa mchanga wakati barabara anayojenga ni kwa ajili yao. Akafanya ziara kwenye eneo la ujenzi, halafu akakutana na hao wananchi akawaambia "nyie wananchi, acheni kumuuzia mchanga mkandarasi, huu mchanga hamjautengeneza"!
 
Hajakataza watu kupiga picha. Amekataza watu kurushiana document za Serikali na ambazo ni confidential, kwenye mitandao ya whatsup. Hawa viongozi naomba tuwe tunawasikiliza vizuri wanapokuwa wanaongea ili kusudi inapofikia kwenye hatua ya kuwatuhumu, tuwatuhumu kwa tuhuma zilizo sahihi!
Mkuu hapa umeongea kama jiwe kabisa! Hilo neno ILI KUSUDI hakuna mtanzania anapenda kulitumia mara nyingi zaidi ya Mh. Jiwe.
 
Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Thread closed
 
Mkuu hapa umeongea kama jiwe kabisa! Hilo neno ILI KUSUDI hakuna mtanzania anapenda kulitumia mara nyingi zaidi ya Mh. Jiwe.
Unaanza kunipa matumaini mazuri ya kwamba pengine labda hizi tetesi za kwamba mimi ndiyo nitafuata baada ya yeye ni za kweli, lol!
 
Huo umodeni wako ndio umetutoroshea madini kwenda kwa jamaa zako miaka yote. Tunamhitaji Rais local uko sahihi. Have you ever seen him kwearing the pipa going abroad???
Sasa hivi tuna reserve kiasi gani ya hayo madini?
 
Kuwa Rais wa 'wanyonge' hakuhalalishi uchafu. Watumishi wa Ikulu wana cha kujibu kumpiga rais picha akiwa kwenye mazingira disorganized kama hayo. Mazingira mazuri ya kazi yanachangia katika kutoa maamuzi mazuri pia. No wonder rais wetu kipenzi ana hasira saa zote.
 
Watanzania wengi hawaamini katika usmart yaani kufanya vitu kwa utaratibu au mpangilio ulio sahihi tunapenda tupeleke mambo vuluvulu tu.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Ungetueleza kwanza Rais ana ofisi ngapi hapo Ikulu?

Mimi binafsi hata nyumbani kwangu nina ofisi na hapa sasa hivi nipo kwenye ofisi ya nyumbani kwangu.

Kuna umbumbumbu wa uelewa juu ya ya hili.

Kama mtu ana sebule nne anashindwa kuwa na ofisi ya nyumbani anakolala?

Sifa za kijinga, nitampongeza akianza kutembelea bajaj au Land cruiser Prado Tx.
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Printer bei gani?
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Wewe pimbi sana.
Dada yangu ni HR manager wa ofisi fulani ya serikali makao makuu.
Yeye anakuambia kwake ni mwiko kukaa na faili mezani. Kazi ikija ataifanya inapita.
Nyie ndio mapimbi mnaodhani mtu ofisini akijazana mafile ndiye mchapa kazi.
 
Fala wewe unaanza kujisifia kuhusu dada yako, wewe unafanya kazi gani?? Kuna mbupu mnakera sana.
 
Back
Top Bottom