Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Huo umodeni wako ndio umetutoroshea madini kwenda kwa jamaa zako miaka yote. Tunamhitaji Rais local uko sahihi. Have you ever seen him kwearing the pipa going abroad?
Tatizo lugha na ushamba, sasa ataenda wapi kwa mfano na ze ze kibao
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA...
Wacha ushamba wewe huo mlundikano wa mafile hapo unajifanyya huuoni hio ina maanisha jiwee ni mzee wa kuahirisha mamvbo ndio maana yameongezeka kwasababu hayafanyiwi kazi kwa wakati.
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe...
Haka kazee bwana kwa usanii, sasa hayo mafaili yote ndiyo kusema? Kanaji-overwork bure wakati kakitoka tu madarakani tunarudi kule kule tulikozoea!
 
Wacha ushamba wewe huo mlundikano wa mafile hapo unajifanyya huuoni hio ina maanisha jiwee ni mzee wa kuahirisha mamvbo ndio maana yameongezeka kwasababu hayafanyiwi kazi kwa wakati.

Angekuwa ni #Niyeye2020 meza ingekuwa nyeupe
 
mkuu makinikia hadi kesho yanasafirishwa,lakini pia kuna kiwanja chochote cha ndege katika Mgodi wowote kilichofungwa?
Hoja siyo makinikia kusafirishwa. "People should be able to come in our country, but LEGALLY!" ~ Donald J. Trump.
 
Wacha ushamba wewe huo mlundikano wa mafile hapo unajifanyya huuoni hio ina maanisha jiwee ni mzee wa kuahirisha mamvbo ndio maana yameongezeka kwasababu hayafanyiwi kazi kwa wakati.
Unajua per day yanaingia mangapi!!? Without statistics not right to speak!!??
 
Tatizo lugha na ushamba, sasa ataenda wapi kwa mfano na ze ze kibao
Mshamba ni Mr Mzungu anayedhani sifa ya kwanza ya kiongozi wa juu ya nchi ni ubobezi wa matusi, kashfa, kuzuia vioja, udanganyifu, hadaa, na kudhani lugha ya Kiingereza ni "sin qua non" ya utawala fanisi. By the way, Kiingereza chenyewe Mr Mzungu anababiababia tu kama mlenda.
 
Mkuu wengi wetu hatuna elimu ndo maana nchi yetu inaongozwa kisanii sana,wewe toka lini rais kuongea au kupigia simu na rais mwenzake ikawa issue? Kwamba mimi nione ni issue kubwa kupigiwa simu na majinga mwenzagu?
Kwani nani kakwambia uifanye iwe issue??? Na, kwa nini umekuja hapa na komenti kibao kama huoni kiwa ni issue??? Halafu, tuambie leo maandamano yako mitaa zipi vile!!??
 
Wakati Jakaya akiwa Ikulu tulikwenda kumtembelea, The man was very smart.
Jiwe yuko na ushamba mingi~ in kenyan's voice
 
Mshamba ni Mr Mzungu anayedhani sifa ya kwanza ya kiongozi wa juu ya nchi ni ubobezi wa matusi, kashfa, kuzuia vioja, udanganyifu, hadaa, na kudhani lugha ya Kiingereza ni "sin qua non" ya utawala fanisi. By the way, Kiingereza chenyewe Mr Mzungu anababiababia tu kama mlenda.
Mkuu kuna mtu kituko zaidi ya Jiwe?
 
We need a paperless office, if the President has to sign everything then we in a big sheet. The president should lead strategically not the routine signing documents.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Usitegemee ufanisi kwenye huu UJINGA wa kujaza mafaili mezani. Huyu pimbi hata kazi za maofisa wadogo alikuwa anataka afanye mwenyewe. Lazima ufe tu
 
Back
Top Bottom