Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
mzee mjanja mjanja huyo ametoa mafaili kayapanga hapo kuzuga umma anapiga kazi balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mzee mjanja mjanja huyo ametoa mafaili kayapanga hapo kuzuga umma anapiga kazi balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavyowazugaga watumishi wenzako unadhani ni "killer" mtu ana "me-tar-bee-yeah" kama yako!??
 
Mkuu usiwaonee wasaidizi wake, hiyo ni life style yake, na ukikuta Kiongozi yeyote (sio rais tu, hata Meneja wa Taasisi) amejaza mafaili mezani kwake ujue huyo kiongozi ni low Iq leader. Kiongozi anatakiwa aweke utaratibu wa nini anafanya yeye na nini wanafanya wasaidizi wake, hapo ni ofisini lakini tuliambiwa na yeye mwenyewe kwamba hata chumbani kwake anapolala huwa kumejaa mafaili yanayomsubiri yeye, Viongozi wengi nimewahi kuona wakiwa smart kiasi kwamba mezani kwake huwezi kukuta mafaili yamejazana hovyo kama huyu rais wenu, huo ni mfumo wa kidicteta wa kufanya kazi, inawezekana hii picha ikawa ya kutengenezwa, maana siamini yaweza kuwa hivyo.
OP!
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Sasa kama hawez hata kupanga pangavmeza vizur hiyo mipango mikubwa ataiwezaje?
Ndo mana hali mbaya
 
Yani kwa lugha nyingine tunasema hiyo ofisi ni chafu, hayo ma document yamepangwa hovyo sana hapo wakati naamini kuna watu wanalipwa mishahara na wamesomea kazi ya utunzaji wa ofisi

Kwa ninavomfahamu Magufuli hasomi files zote hizo kwa siku moja au tatu, ameweka tu hapo kwa ajili ya jambo lake
Na jambo lake ndio yale mambo ya ZIMA MOTO .ukurupukaji mambo ya kucheza na DEADLINE
 
Baadhi ya watu humu wanawalaumu wafanyakazi wa ofisi wakati mwenyewe Rais kaomba mafaili yote yaletwe mezani hapo.
 
Hivi Rais wetu na Rais wa China walitumia lugha gani kuwasiliana? Lugha za ishara may be? au wakwetu aliishia tu kusema:Yes yes Mr.Xing Ping, Fine, Senk you so much. Em veri happy to receive your condolences, em sorry I wanted to say your congratulations, to me.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Ofisi ya Rais kama ya meneja wa godown.
 
Kama ni kweli hapa Jiwe yupo ofisini, ni vyema pia tukaamini kwa nini kama nchi hatusongi. Katika ulimwengu wa kidigitali kama huu tuliopo bado kiongozi mkuu wa nchi unamjazia mafaili lundo namna hiyo? Kwamba hanan wasaidizi wa kuyasoma kisha wao kwenda kum brief? Kila faili alisome yeye. Poor my dear donor country
 
Kwa karne hii ya Science na Technology bado ofisi ina mafaili mengi hivyo!
 
Back
Top Bottom