Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 791
- 2,283
NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
Kushikiana simu siyo Shida mkuu, kama hapo jamaa kashapewa taarifa kwamba asitafute mpaka atafutwe yeye.NDOA za siku hizi ni rahisi wanandoa kushikana ila sio kushikiana Simu.
Body count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
Na ukishamkuta ashatumika namba ya body count hauwezi kuijua kwahiyo suluhisho ni kuoa bikira tu. Tatizo tukisema ukweli ndio wanawake na waliooa mitumba wote wanaungana kutushambulia
Hiyo body count ina matter upande mmoja tu kwa mwanamke au pande zote mbili kwa mwanamke na mwanamme?Body count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
Hakuna mwanamke mrahisi kumngonoa kama MKE WA MTU,YAANI NI KAMA KUSUKUMA MLEVI.Usipokuwa na mipaka unakula mpaka unakombelezea.Kila mwenye chats na mke/wake za watu aki-share hapa madogo hawataoa.
Yes ila hawa wa ndoa changa ndiyo inasikitisha zaidi,wale wakongwe migogoro na kuchokana inachangia na haishangazi sana kut*mbesha.Hakuna mwanamke mrahisi kumngonoa kama MKE WA MTU,YAANI NI KAMA KUSUKUMA MLEVI.Usipokuwa na mipaka unakula mpaka unakombelezea.
#Acha waarabu waendelee kuwafunga ndani tu Wanawake akili zao wanazijua wao.