Hii ndio njia rahisi ya kuwasoma wanawake

Ni kweli kabisa ndio mana tukaitwa wanawake mtupende tu jamani hazard asante sana wanaume wenzio wakusikia
Hivi kwani tunawachukia!? Mimi Nawapenda saaana kuanzia mama yangu, mke wangu, binti zangu na wanawake wote
 
Ni kweli...

Mwanamke ni kiumbe mwenye huruma sana na upendo...

Hapo hapo...

Mwanamke ni kiumbe katili sana asiyekua na chembe ya huruma unapomtibua...


Cc: mahondaw
Mwanamke hata usipomtibua anaweza kukufanyia visa km hakupendi au kakuchoka
 
Back
Top Bottom