Hii ndio njia rahisi ya kuwasoma wanawake

Ni kweli...

Mwanamke ni kiumbe mwenye huruma sana na upendo...

Hapo hapo...

Mwanamke ni kiumbe katili sana asiyekua na chembe ya huruma unapomtibua...

Cc: mahondaw
Kweli mkuu..mwanamke akikubadilikia unaweza kataa kama ulishalala nae kitanda kimoja kwa miaka 10
 
Yani wanaume tunawapendaga sana mkizingua ndo basi na mwanamke akishaongoza kichwa mbele hakuna kugeuka nyuma unaweza kukutoboa na kisu wallah
 
Kuna siku namfanyisha wife mazoezi alikuwa mjamzito ilikuwa mida ya saa2 usiku.kwa mbali nikaona mtu anavutana na mwanamke kulikuwa na kagiza flani!nikaanza kusogelea ili nidadisi.sijakaa sawa mwanamke anapiga kelele mwiziiii mwiziii nikaona jamaa anaanza kujikataa huku walinzi wakijisogeza na masime yao!kuona vizuri ni ndugu yangu na aliempigia kelele ni dem wake wa siku zote!ikabidi niwazuie wale walinzi kwamba hawa wanajuana tu!ikawa nimemuokoa mshkaji nikamwambia nisingetokea leo ungekuwa kitoweo!maana hawa walinzi hawawajui wangekupasua balaa
 
Ni hatar sana hawa watu usipoishi nao kwa akili
 
Back
Top Bottom