Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television inchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!
Mwenye njaa hanaga miiko, tatizo ni kuongezeka kwa umaskini wa kutisha na watu wa Mungu wanakosa misaada na kuangukia mikononi mwa wajanja. CCM ni janga la taifa, viongozi kazi yao ni kulimbikiza mali huku wananchi wakiachwa wateseke
 
Tena Sana mkuu ni video takribani lisaa Limoja na nusu.

Jamaa walienda kikachero na kamera za Siri na vinasa sauti na kujifanya waumini

Na ushuhuda mwengine ni wachungaji wasaidizi kuamua kutoa ushuhuda baada ya nafsi zao kuwasuta
Huko Kenya kuna Mchungaji alikuwa anaitwa Deya , aliwapiga sana wakenya , alipokuja kustukiwa alikimbia nchi.

Mke wake alikamatwa akafungwa Gerezani .

Kisa chao ni kuiba watoto ,pale Pumwani wodi ya wazazi , kwa kushirikiana na manesi ,

Kisha kuwapa waumini ambao hawakujaliwa kuzaa watoto ,wanatoa ushuhuda kanisani wakidai wamepata watoto kwa njia ya maombi .
 
Huyu hapa Mchungaji Deya Tapeli hatari.
 
Attachments

  • Screenshot_20220920-065503.jpg
    Screenshot_20220920-065503.jpg
    47.2 KB · Views: 15
Hoja yangu watu washtuke kuwafanya hawa watu matajiri wakati wao Hali zao zinazidi kuwa mbaya siku baada ya siku.

Waende kwenye makanisa yanayo eleweka lkn sio ya wapigaji
Comment yako hasa " waende kwenye makanisa yanayoeleweka"
Imenjfanya nitafakari zama zijazo mcha Mungu atamshauri mzinifu basi jifiche pembeni usizini hapo adharani😂😂😂😂
 
Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television inchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!
100%
 
Basi tufanye ndo malipo ya shughuli yote hiyo je, kuna deni maana kuongopea maelfu ya watu pia sio mchezo acha wapige hela maana kazi sio rahisi?
 
Nothing new ni wewe tu kutokuwa mfatiliaji

Huo uhuni wa namna hiyo aliwahi kuufanya mchungaji wa huko marekani aitwae Peter Popoff miaka ya 1980

Huyu pastor alikuwa ana kanisa kubwa sana na alikuwa akisifika kwa kujua taarifa za mtu bila kuambiwa.

Sasa aliweka utaratibu wa kila muumini kuchukua taarifa zake kupitia vitambulisho na background zao kwa njia ya kijanja ambayo haihusiani na mambo ya kanisa.

Halafu siku ya ibada mkewe anabaki nyumbani akiwa na zile taarifa za wale watu wakati huo yeye Peter Popoff yupo ibadani.

Wakawa wanawasiliana na mkewe kupitia earpiece ambazo alikuwa amevaa Pastor na hazikuweza kuonekana kirahisi kwasababu zilikuwa ni very tiny.

So pasta akitaja namba ya muumini mkewe anamsikia kupitia earpiece na tayari anaanza kumsomea taarifa zinazomuhusu muumini husika na matatizo yake yanayomkabili.

Kila muumini mlengwa alikuwa na bumbuwazi kuona namna mchungaji anamuelezea kila kitu kinachomuhusu yeye bila hata kukosea.

Sasa kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa James Randi, huyu ni magician na mwana fizikia mkubwa tu huyu ndio aliyekuja kum expose utapeli wake.

Alimtuma mtu aende kanisani kama security guard na kuvaa vifaa ambavyo vitakuwa vina intercept signals kusikia conversations zote ambazo pastor na mke wake wanawasiliana

Kuna muda walikuwa wanafinya frequency ambapo ilikuwa inamfanya pastor ashindwe kupata mawasiliano mazuri na mkewe na kushindwa kutoa taarifa za watu.

Lakini licha ya huyo Pastor kuwa debunked na watu kujua ukweli lakini bado aliendelea kufanya ibada na watu walizidi kujaa kanisani.

Hiyo inaonesha watu wamekuwa very indoctrinated to the point hawawezi kukubali kubadili mawazo yao.
 
Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television inchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!
Uzi wako madini tupu unauconclude vipi kuwa una ukakasi?

Mnapokuwa mnafichua maovu, msirembe rembe ama kumumunya maneno.
 
Tukubaliane jambo moja,kufanya sarakasi unazozisema miaka nenda rudi bila kushtukiwa ni KIPAJI CHA HALI YA JUU MNO.
Kwani "wanaganda" milele eneo moja kufanya hizo shoo zao?

Wanatembea maeneo mbali mbali nchini na kila eneo wanaonekana ni wapya, hata wangerudi mara ngapi eneo husika, si rahisi kuzielewa hila zao hizo.
 
Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television inchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!
Kila fake ina original yake. Kuikataa original au kutokuitafuta original kwa kuwa kuna fake yake ni ujuha wa kiwango cha PhD
 
Nyingine hii mchungaji anaosha wanawake wakiwa uchi.
👇

Hili mbona ni igizo la jamaa kutoka Ghana huwa anaigizaga kama Nabii na ndio hufanya hivyo. Jina limenitoka la huyo comedian ila unaweza search muigizaji wa ghana anayeigiza kama Nabii utamuona. Sio kweli hili
 
Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television inchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!

Uchunguzi wa aina hii uliwapasa watu kama paschal kufanya, wangekuwa wameweka mchango mkubwa sana kwenye jamii yao.
 
Back
Top Bottom