Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Mkuu sio Mimi niliyefanya uchunguzi Bali wapo walifanya uchunguzi na kuja na file zima.

Ni potassium kama sijakosea.

Kwa details zaidi check video
Mzee penye ukweli acha usemwe haijalishi alieleta ukweli ni dini gani au ni mpagani,Nakupongeza ktk ilo mi ni mkristo ninae jitambua na kujua asili ya kwetu
 
Sasa hapo kuna tofauti gani na aliye enda kwa mganga?😂😂
Ebu angalia mpaka anapakwa mafuta mapajani hadharani mbele za watu,je akiwa akiambiwa abaki na mchungaji Kwa huduma maalum na kutakiwa kugeshwa wakiwa wawili Tu je hajaliwa hapo?
 
Mzee penye ukweli acha usemwe haijalishi alieleta ukweli ni dini gani au ni mpagani,Nakupongeza ktk ilo mi ni mkristo ninae jitambua na kujua asili ya kwetu
Asante Sana mkuu na uishi Maisha marefu.

Hakika kwenye maovu na machafu hatuna budi kukemea na kuyapigia makelele.

Shukrani sana
 
Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television nchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!

Wajinga ni wengi sana duniani kuliko werevu. Kwa hiyo haya mambo wala usishangae, yataendelea kubaki hivihivi kwa vizazi vingi tu vijavyo.

Binadamu wengi hawawezi kupingana na kundi. Wakikuta kundi linaamini kuna Mungu basi nao wanaamini kuna Mungu.
 
Kweli kabisa Hilo liko wazi ndio maana mpaka Leo kuna wanaabudu ng'ombe na nyani na Jua na kadhalika.

Kwahiyo tunachofanya ni kuwazindua watu na wakiongoka wachache basi inatosha kabisa.
 
Ebu angalia mpaka anapakwa mafuta mapajani hadharani mbele za watu,je akiwa akiambiwa abaki na mchungaji Kwa huduma maalum na kutakiwa kugeshwa wakiwa wawili Tu je hajaliwa hha

Ebu angalia mpaka anapakwa mafuta mapajani hadharani mbele za watu,je akiwa akiambiwa abaki na mchungaji Kwa huduma maalum na kutakiwa kugeshwa wakiwa wawili Tu je hajaliwa hapo?
Wanaliwa sana hao,hv vitu vinanipaga hasira sijui n uzuzu au ujinga ukiwaambia ukweli wanamaind mno
 
Baadhi ya waumini wa hao makanisani wanawaheshimu sana manabii wao na mitume wao kuliko wazazi wao/waume zao sa hiyo si laaana
 
Ukiona huduma imesimama zaidi ya miaka 10, ujue Mungu yupo Mahali hapo!

Huduma za Manabii fake hazitoboi miaka 3 ikizidi 5....!

Kama kina Nabii Shillah na yule mwingine wa Tanga... N.k
 
Tahadhari huu Uzi Una Ukakasi kwa baadhi ya watu :

Hii habari nimeipata baada ya Kuangalia KTN Television nchini Kenya ni habari ya kichunguzi katika nyumba za ibada.

Hawa ni Manabii WA kizazi hiki na majina Yao makubwa makubwa mara Mtume mkuu,Nabii na kadhalika,jinsi wanavyofanya utapeli kuwahadaa kondoo wao kuendelea kuwapiga mahela.

Ziligundulika mbinu zifuatazo:

Mosi, kuwapanga watu watoe shuhuda mbali mbali ikiwemo kuugua ukimwi na maradhi mengine mbali mbali na kisha baadae kusema wamepona,na wengine hurekodiwa na kurushwa katika Redio kana kwamba wako live wanapiga simu lkn kumbe walicheza Hilo picha kitambo Tu.

Kutolewa vitu mwilini kwa Miujiza lakini ni uwongo mtupu,mfano walionekana watu wanaweka miguu katika mabeseni na kuoshwa miguu na maji kuwa mekundu, kumbe kuna kemikali moja wachungaji wanapaka katika mikono Yao halafu baada ya mda mfupi wakiwa wanasugua miguu ya kondoo wao inayeyuka na maji yanakuwa mekundu. Hapo inasemwa umetolewa uchawi na mabalaa kumbe ni upigaji Tu.

Wanapangwa vilema wa uongo ambao wanafundishwa namna ya.kucheza na viungo vyao na kweli ukiwaona utadhani ni vilema kweli lakini kumbe ni sarakasi za 5G!

Sasa kubwa kuliko yote ambayo watu wengi hawajui ni kuwepo na watu special ambao kazi yao ni kuwatambua kondoo wapya katika kanisa lao. Hawa wakisha kulenga basi watakuja ulipo kaa na kuzungumza na wewe mawili matatu na mwisho wa siku utatoa changamoto zako.

Sasa anakuwa makini kusikiliza halafu anaenda kwenye daftar na kuandika jina lako na changamoto zako mbalimbali, halafu zile data anapewa Nabii au Mtume whatever the case, huenda zikapita siku tatu au nne au hata wiki.

Unashangaa siku Nabii anakuita wewe fulani au wewe mama mwenye kitenge fulani njoo hapa madhabauni kuna kitu nimeona, anaanza kutaja changamoto zako na ukicheki ni kweli. Kwa ubwege wako ushasahau kuwa kuna siku uliuza faili lako lote kwa kondoo wenzako.

Basi utaona daah umekutana na bonge la Nabii kumbe upuuzi mtupu, hapo unaaza kupigwa mahela mwanzo mwisho.

Hilo nimelidhibitisha kwa mtu wangu wa karibu hapa Tanzania, alienda Kanisa fulani yeye ni Muislamu, akaenda Kanisa fulani, akaambiwa wewe si umeolewa mke wa pili, kuna changamoto moja mbili tatu na kweli Nabii anagusa mule mule. Lakini alishasahau kuna kipindi alikutana na mdada mwenzake kanisani na kuuza faili lake, haya mambo yapo sana.

Na wengine utasikia huyu Nabii yaani anaona sana, yaani ana maono hatari kumbe wanapiga ramli au wanashirikiana na wapiga ramli, unamuona ana maono kumbe mshirikina tu.

Unaweza ingia YouTube na kusechi hii clip na ukajionea mambo kibao, nimekupa kwa uchache Tu.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo tu!
Hakuna cha miujiza bali utapeli tena wa kijinga kabisa. Tatizo ni kwamba watu wetu wengi licha ya kuwa wajinga na wapumbavu wamekata tamaa, ni wavivu wanaotaka kupata bila kuchakarika.
 
Mungu atahukumu kwa HAKI mwisho wa enzi hizi
 
Hakuna cha miujiza bali utapeli tena wa kijinga kabisa. Tatizo ni kwamba watu wetu wengi licha ya kuwa wajinga na wapumbavu wamekata tamaa, ni wavivu wanaotaka kupata bila kuchakarika.
Na hapo ndo shida Inapoanzia mkuu
 
Utapeli upo kila mahali hata kwenye uslamu wako

Chamsingi acha injili ihubiriwe
 
Hoja yangu watu washtuke kuwafanya hawa watu matajiri wakati wao Hali zao zinazidi kuwa mbaya siku baada ya siku.

Waende kwenye makanisa yanayo eleweka lkn sio ya wapigaji

Makanisa yanayoeleweka ni yapi??
 
Back
Top Bottom