Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Nimeingia mtandaoni kusaka hiyo video
Nilichokuta ni kuwa kwanza Kenya hakuns Tv inayoitwa KTV, kuna KTN na NTV
Halafu nikajaribu kusaka hiyo title pia sikuona video labda ungeweka link ya hiyo video hapa kama huu sio uzushi pia
Search JICHO PEVU: Makri ya Injili KTN Tv
 
Kila kukicha unahaha na dini za watu hiki ndio kitu mnafurahiaga wavaa kobazi na mnafana kwelikweli kwa kusumbukia dini za watu mkiamini ya kwenu ndio sahihi na salama. Upo gizani na mtumwa
Pole Sana mkuu ukweli unauma
 
Kuna mchungungaji juzi naee kacheza mchezo Kama huo.kaja ukumbini kwake mapema asubuhi nawaumini wake kaawambia wawahi wakafanya hivyo.sasa wakati anaendelea kuombea namikelele yake ghafla ikaja gari imejaza watu ndani ikasimama nje yaukumbi.dereva akatoka akaingia ndani yaukumbi akatoka namchungaji mchungaji alivyofungua mlango akawa anafoka kwakuomba kumbe wale watu wanadai yule anae ombewa nimsukule walisha mzika miaka kumi ilio pita ila walivyo kuja kuombewa na kuchukua mafuta wakaenda kumwaga nyumbani ndio huo msukule ukatoka.kwahio wakasema wamekuja kutoa ushuhuda.msukule ukawekwa pembeni yaukumbi mchungaji akawambia waumini wainuke wakashuhudie muujiza alio ufanya.nasisi tukapata fursa yakuona.ulemsukule unatisha kwakweli unatema maudendatu mikucha inarangi nyeusi minywele Kama yamzungu inarangi nyeusi tiii.ukiangalia maramoja hutamani kurudia.baada yakufanya hivyo sasa hivi anawaumini balaa.
Bila usanii huwapati hawa wapenda miujiza
 
Yesu mwenyewe alisema maneno haya lakini HATUSIKII! Tunajihangaisha na manabii wa uongo! SOMA HAPA UPONE!

23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Mathayo 24:23-25

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Shukrani Sana mkuu Mimi napenda nyie Wakristo ambao mnasema kweli dawamu

Sasa unakuta mtu ana niataki Mimi badala ya kwenda kwenye hoja na ukweli
 
unazibia watu kupiga hela.
kuna bwamdogo kamaliza chuo katafuta kazi miaka na miaka sasa kaamua kuanzisha kanisa la kutapeli wajinga wajinga.kaenda tabora kwa babu kupewa mbinu za kupiga watu mieleka na utapeli mwingine akirudi anaanza kazi.
namtabiria atakua na pesa nyingi kwasababu mdomoni ni fundi sana wa kupanga maneno na na anaasili ya utapeli.
 
Hamna jipya, yalishatabiriwa yatakuwepo siku za mwisho, watakuja manabii wa uwongo na tunashuhudia, pia iliandikwa Wakristo watakatwa vichwa kisa kumtaja Yesu, tumeshuhudia, leo hii thubutu kuhubiri Kristo kwenye nchi za waislamu utatenganishwa na kichwa, hivyo kwa ambao wamesoma Biblia vizuri hawaoni jipya maana waliyatarajia na yanatendeka.
 
unazibia watu kupiga hela.
kuna bwamdogo kamaliza chuo katafuta kazi miaka na miaka sasa kaamua kuanzisha kanisa la kutapeli wajinga wajinga.kaenda tabora kwa babu kupewa mbinu za kupiga watu mieleka na utapeli mwingine akirudi anaanza kazi.
namtabiria atakua na pesa nyingi kwasababu mdomoni ni fundi sana wa kupanga maneno na na anaasili ya utapeli.
Daah wamekwisha mkuu

Ogopa Sana watu wanaojua kuongea halafu wawe matapeli hatar sana
 
Daah wamekwisha mkuu

Ogopa Sana watu wanaojua kuongea halafu wawe matapeli hatar sana
uyo mwamba tunajuana huwa ni mtu wa sound sana hasa anapotaka kukutoa hela.

kwenye mihangaiko ya hapa na pale alinikuta nipo na mtu kwenye gari akaja tukapiga story mbili tatu akaanza kunipa sound anitoe hela,'rohoni nikasema leo sikupi kitu mbwa wewe😂',
,,basi bwana wakati ananisaundisha yule jamaa niliyenae pembeni saundi ninalopigwa mimi likamuingia yeye 😂akaingia king akatoa elfu kumi akampa.

akashukuru sana kisha akampa sifa nyiingi za kumpamba akachukua na namba ya simu eti awe anamjulia hali😅
 
Kuna Nanii mmoja katika kupigika aliniambia nijifanye kilema atanilipa lakini akanidhulumu elfu 30 halafu mpaka Leo anapiga hela kupitia sinema Ile niliyocheza dah Ila poua Tu namwambia nilishatoboa kitambo Sana Maisha na kuna siku tutakutana mahala
 
Back
Top Bottom