Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Hii ndio miujiza inayowachanganya watu

Tukubaliane jambo moja,kufanya sarakasi unazozisema miaka nenda rudi bila kushtukiwa ni KIPAJI CHA HALI YA JUU MNO.
Kuona mtu anafufua watu kwenye tv lakini anakoishi hajawahi kufufua hata jirani yake ni kipaji zaidi.
Kila wanakopita wanafanya uponyaji, lakini hajawahi kuponyeshwa kiwetu nayamjua.

Kwa kupenda kwetu ushirikina sasa tumeshindwa kuwatofautisha watumishi wa Mungu na wapiga ramli
 
Umesema mkweli mkuu

Haya ndio mambo ambayo wanakondoo wanatakiwa kutafakari sana
 
Hizi mbinu mbona zipo siku nyingi ila kuwastua baadhi ya wakiristo ni ngumu kwa kuwa ni wabishi mno na wanahisi kama wanadharauliwa ,so wanakuja na povu na hasira mno

Nakupeni mbinu nyingine

Sometimes huwa kuna kuwa na sadaka ya kumpa funguo mchungaji ,mnafumba macho unaning'iniza funguo juu na mchungaji anaipitia ,sasa kama ww ni mgeni kwenye hilo kanisa utaliwa kichwa kudhani wenzio pia wamening'niniza ila kiukweli wao wamepangwa ili kuonesha wanajali kwa mchungaji

Na hapo ndio gari yako inachukuliwa
Hii senario imetolewa na mkiristo mwenyewe sio ya kutunga

Mke kashawai mpa gari mchungaji wakati mumewe yupo nje ya nchi, mume aliporudi kuuliza gari ipo wapi mke anajibu simple tu nimempa mchungaji

Mume akamwambia yule mke wake haya nenda na wewe kaishi na huyo mchungaji na ujinga wako

Haya mambo ni magumu sana

Ishawai tokea kibaha pwani mchungaji kukataa kuendesha misa kisa mchango uliokuwa unatakiwa wa milion 4 haukutimia

Akawaambia kondoo leo ibada hakuna mpaka hiyo hela itakapotimia

Kondoo wakarudi nyumbani

Imagine.?????

Mjumbe hauwawi

Kuna mchungaji hapa kitaa kumuona ni buku tano

Ili kuzungumza shida zako
 
Alimchunguza dr.kanyari jamaa tapeli sana anajiita nabii, .......huku bongo useme ufanye hivyo utakoromewa mbaya na wafia dini

Na huyo kanyari alitubu hadharani. Ila huku wanashabikiwa pamoja na uongo wote.
 
Ndio yale yale ya mfufua watu kamzika mama yake ni kwamba hampendi au imekaaje hio
 
Hizi mbinu mbona zipo siku nyingi ila kuwastua baadhi ya wakiristo ni ngumu kwa kuwa ni wabishi mno na wanahisi kama wanadharauliwa ,so wanakuja na povu na hasira mno

Nakupeni mbinu nyingine

Sometimes huwa kuna kuwa na sadaka ya kumpa funguo mchungaji ,mnafumba macho unaning'iniza funguo juu na mchungaji anaipitia ,sasa kama ww ni mgeni kwenye hilo kanisa utaliwa kichwa kudhani wenzio pia wamening'niniza ila kiukweli wao wamepangwa ili kuonesha wanajali kwa mchungaji

Na hapo ndio gari yako inachukuliwa
Hii senario imetolewa na mkiristo mwenyewe sio ya kutunga

Mke kashawai mpa gari mchungaji wakati mumewe yupo nje ya nchi, mume aliporudi kuuliza gari ipo wapi mke anajibu simple tu nimempa mchungaji

Mume akamwambia yule mke wake haya nenda na wewe kaishi na huyo mchungaji na ujinga wako

Haya mambo ni magumu sana

Ishawai tokea kibaha pwani mchungaji kukataa kuendesha misa kisa mchango uliokuwa unatakiwa wa milion 4 haukutimia

Akawaambia kondoo leo ibada hakuna mpaka hiyo hela itakapotimia

Kondoo wakarudi nyumbani

Imagine.?????

Mjumbe hauwawi

Kuna mchungaji hapa kitaa kumuona ni buku tano

Ili kuzungumza shida zako
Inatia Sana hasira mkuu kuona watu wanafanywa mazezeta mchana kweupe

Anyways ndio Maisha waliyo amua kuchagua
 
😂😂😂 Ndo ujue ile ilikua movie sasa mama kafa kweli kabaki kutoa heshima za mwisho😂😂😂😂
Kweli mkuu haiingii akilini kabisa umwache bimkubwa aende wakati unaweza kumrudisha.

Ni hatar na nusu mkuu
 
Hizi mbinu mbona zipo siku nyingi ila kuwastua baadhi ya wakiristo ni ngumu kwa kuwa ni wabishi mno na wanahisi kama wanadharauliwa ,so wanakuja na povu na hasira mno

Nakupeni mbinu nyingine

Sometimes huwa kuna kuwa na sadaka ya kumpa funguo mchungaji ,mnafumba macho unaning'iniza funguo juu na mchungaji anaipitia ,sasa kama ww ni mgeni kwenye hilo kanisa utaliwa kichwa kudhani wenzio pia wamening'niniza ila kiukweli wao wamepangwa ili kuonesha wanajali kwa mchungaji

Na hapo ndio gari yako inachukuliwa
Hii senario imetolewa na mkiristo mwenyewe sio ya kutunga

Mke kashawai mpa gari mchungaji wakati mumewe yupo nje ya nchi, mume aliporudi kuuliza gari ipo wapi mke anajibu simple tu nimempa mchungaji

Mume akamwambia yule mke wake haya nenda na wewe kaishi na huyo mchungaji na ujinga wako

Haya mambo ni magumu sana

Ishawai tokea kibaha pwani mchungaji kukataa kuendesha misa kisa mchango uliokuwa unatakiwa wa milion 4 haukutimia

Akawaambia kondoo leo ibada hakuna mpaka hiyo hela itakapotimia

Kondoo wakarudi nyumbani

Imagine.?????

Mjumbe hauwawi

Kuna mchungaji hapa kitaa kumuona ni buku tano

Ili kuzungumza shida zako

Hawa wachungaji wengine wanaboa. Kuna mwingine anaombea watu kwa mafungu kulingana na pesa yako unayotoa.

Kwa kizazi hiki wachungaji wanatuambia kwamba Mungu anahitaji pesa yako ili awe karibu yako. Zamani ilikuwa Mungu anahitaji moyo wako.
 
Yaani afrika tulilogwa hapo tu kuamini mauza uza kisa mtu anataja jina la mungu kumbe maigizo tu
Kweli kabisa mkuu

Kuna ustaadh mmoja alituonyesha clip ambayo alikuwa na mafuta flani hivi basi akawa anawagusa watu na kupiga makelele na mapepo kuongea na kutoka Bila kutaja jina lolote lile.

Na anasema aliyafanya hayo baada ya kukutana na kondoo ambao wanatapeliwa na kuwaambia hata yeye anaweza kutoa mapepo Bila kutaja jina lolote lile,akiwa tahadharisha kuwa wanapigwa Kwa jina la Yesu wakati hiyo ni formula ambayo hata yeye anaweza kuifanya,na kweli walikusanyika na akawadhibitishia
 
Hawa wachungaji wengine wanaboa. Kuna mwingine anaombea watu kwa mafungu kulingana na pesa yako unayotoa.

Kwa kizazi hiki wachungaji wanatuambia kwamba Mungu anahitaji pesa yako ili awe karibu yako. Zamani ilikuwa Mungu anahitaji moyo wako.
Hahaha dah kwahiyo Mungu nae amekuwa kigeu geu!

Unajua nini mkuu waache wale BATA angali wakiwa hai lakini wakikata roho watajua kumbe walikuwa hawajui
 
Hito kemikal anayojipaka mikononi inaiitwaje si umefanya uchunguz
 
Yesu mwenyewe alisema maneno haya lakini HATUSIKII! Tunajihangaisha na manabii wa uongo! SOMA HAPA UPONE!

23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
Mathayo 24:23-25

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tatizo kubwa wakristo wengi ni wavivu wa kusoma biblia pia wanapenda kutafuniwa,Jk anasema cha kuambiwa changanya na cha kwako na sasa mtu akiambiwa bonaka nae anabonoka kisa amesema nabii au mtume na wahanga wakubwa ni wanawake
 
Hito kemikal anayojipaka mikononi inaiitwaje si umefanya uchunguz
Mkuu sio Mimi niliyefanya uchunguzi Bali wapo walifanya uchunguzi na kuja na file zima.

Ni potassium kama sijakosea.

Kwa details zaidi check video
 
Tatizo kubwa wakristo wengi ni wavivu wa kusoma biblia pia wanapenda kutafuniwa,Jk anasema cha kuambiwa changanya na cha kwako na sasa mtu akiambiwa bonaka nae anabonoka kisa amesema nabii au mtume na wahanga wakubwa ni wanawake
Wanawake ndio wahanga wakubwa huwaambii kitu khs hawa wapigaji.

Kuna mwanamke mmoja huko kigambon nasikia alimpa mwamposa milioni 10 alivyorudi mumewe akalianzisha mpaka hiyo hela imerudi.

Wanawake wapo radhi wavunje ndoa zao kisa Mitume na Manabii feki ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom