Nifanye nini ili nimkazie kama anavyonikazia? maana hanitafuti na nikimtafuta ananijibu shortcut

mokii

Senior Member
Aug 12, 2017
160
163
Eid mubarak!

Naomba niende kwenye maada moja kwa moja nilikuwa na mpenzi ambae tulipendana sana just like romeo and juliet japo mwenzangu alikuwa anatabia ngumu ila nilikomaa nikiamini nitaibadilisha sababu nilimpenda sana! Baada ya kufika mwaka na nusu niliona mwenzangu habadiliki! Ofcoz alikuwa na jeuri sana may be sababu aliamini siwezi kumuoa kutokana na familia zetu kuwa na misimamo ya dini tofauti!

Ila mwanaume nilimvumilia na sikujali yote! Siku zilikwenda niliona naanza kuchoka kwa kweli tabia ngumu ziliongezeka sana upande wake nikaamua kumuacha wakati bado nampenda sana! Nimepitia wakati mgumu sana kwani alikuwa ni mtu asie na busara kwani mara kwa mara alikuwa ananitambishia wapenzi wake sikuwahi kumjibu nilimpongeza sababu siamini katika visasi!

Maisha yalienda ila tatizo langu im so weak kwake yaani nayeye analijua hilo yaani nashindwa kukaa mwezi bila kuchati nae au kuongea nae huwa nahisi nampenda sana japo naamini na siwezi kuwa nae tena hata iweje kwani nimeamua kutulia! Waiting for the princess! Na nimechek afya yangu iko poa!.

Kitu kilichonifanya niombe msaada ni kuwa najikaza sana nisimtafute yaan nimkaushie nashindwa wakuu najikuta namkumbuka saaana na kuna skendo nilizushiwa kuwa nilitembea na rafiki yale japo sio kweli ndio kanichukia sana hataki kujibu text zangu!

Naombeni msaada ndugu nifanye nini ili nimkazie kama anavyonikazia maana hanitafuti na nikimtafuta ananijibu shortcut! Jamani kumbukeni she was my dearest friend before date! Yaan alikuwa rafiki haswa so nafail kumkazia nimemzoea sana! Please guys help me! Najua hapa jf ni kisima cha maarifa na ujuzi naamini hakishindikani kitu...... Wasaalam

ANGALIZO: Shule,chuo nimemaliza,pesa ninazo za kunitosha mimi na watu wangu wa karibu sihitaji comment za kebehi wakuu!
 
Kwenye ushaur na KOMENT ZA KEJELI ZIPOKEE,kuwa mvumilivu kwa mujibu wa post yako utakosaje koment za KEJELI?
Wewe jitahidi umsahau,umekiri uhusiano wenu hauna future sasa why usiseme "LET HER GO"

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom