kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,405
hili ni zao toka shamba la mazuzu lumumba!
Kama nyie mnatumia mbinu haramu kubaki madarakani,basi mjue na wenzenu wanajua cha kufanya.Nilidhani hii ndiyo ingetiliwa mkazo zaidi na wapinzani badala ya kuanza kampeni za nani agombee Urais ambao kimsingi hawezi kushinda katika uwanja wa sasa.
Unawezaje kufikiria kuezeka paa kabla hujajenga msingi, lakini pia unawezaje kupeleka timu kwenye uwanja ambao kila kitu kimedhibitiwa na mpinzani wako.
Ndiyo maana naamini kila anayetangaza kugombea Urais kwa mazingira haya, lengo lake ni kutengeneza CV
Propaganda za kijinga hizi kukwepa hoja ya msingi!Hata kwa tume huru HAMSHINDI! Asilimia kubwa ya matawi/ofisi zilizofunguliwa kupitia M4C zimekufa zote unashinda vipi uchaguzi? Mbaya zaidi hadi matawi ya Dar yanakufa then chama kitakuwa vipi hai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlishindwa kumzika kwa bunduki mtamzika kwa maneno?Hakuna ubishi Magufuli ni kiongozi anayekubarika sana nchini Tanzania hata nje ya Tanzania ukiondoa watu wachache wenye uchu na madaraka.
Magufuli anakubarika na watu wote nchini Tanzania ukianzia:
* Wamachinga.
* Mama ntilie.
* Viongozi wa dini.
* Wafanyakazi wa umma
* Walala hoi
* Vijana, kinamaa na wazee.
Sitaki kusema kwa nini anakubarika nadhani kila mmoja anajua huyu bwana ni kiongozi wa aina gani katika taifa letu pendwa.
Sasa kimshauri Tundu Lisu apambane na magufuli katika mbio za urais 2020 si ushauri mzuri kabisa kwa Tundu Lisu kwani ndiyo utakuwa mwanzo wa mazishi ya kisiasa ya Lisu.
Lisu hana uwezo wa kusimama na Magufuli 2020 na akashinda eti kwa kutumia hoja ambazo hazina mashiko makubwa kwa watu wengi kama vile:
* kuminywa kwa demokrasia.
* Kupigwa risasi kwa Lisu.
* Kuwekwa mahabusu kwa mbowe.
* Kununuliwa kwa wanasiasa.
* na hoja nyingine dhaifu.
Ukiangalia kwa umakini hizo hoja zinajibika kiwepesi sana.
Sasa Lisu akisubutu kuingia kwenye competition ataenda kushindwa vibaya sana na pengine tukamkosa bungeni kwa muda wa miaka mitano kitendo ambapo kitamfanya ashuke kisiasa afanane na David Kafulila.
Lisu ni bora tu ugombee ubunge 2020 kwani hoja zako zinahitajika sana bungeni kuliko kugombea urais ambao utakupoteza kisiasa.
SINTOJISIKIA VIZURI KUMKOSA LISU BUNGENI KWA MIAKA MITANO 2020-2025. WASHAURI WA CHADEMA FANYENI KAZI YENU VIZURI JUU YA HILI.
Tafiti zinasema anakubalika na wajinga zaidi wewe ukiwa mmoja waoHakuna ubishi Magufuli ni kiongozi anayekubarika sana nchini Tanzania hata nje ya Tanzania ukiondoa watu wachache wenye uchu na madaraka.
Magufuli anakubarika na watu wote nchini Tanzania ukianzia:
* Wamachinga.
* Mama ntilie.
* Viongozi wa dini.
* Wafanyakazi wa umma
* Walala hoi
* Vijana, kinamaa na wazee.
Sitaki kusema kwa nini anakubarika nadhani kila mmoja anajua huyu bwana ni kiongozi wa aina gani katika taifa letu pendwa.
Sasa kimshauri Tundu Lisu apambane na magufuli katika mbio za urais 2020 si ushauri mzuri kabisa kwa Tundu Lisu kwani ndiyo utakuwa mwanzo wa mazishi ya kisiasa ya Lisu.
Lisu hana uwezo wa kusimama na Magufuli 2020 na akashinda eti kwa kutumia hoja ambazo hazina mashiko makubwa kwa watu wengi kama vile:
* kuminywa kwa demokrasia.
* Kupigwa risasi kwa Lisu.
* Kuwekwa mahabusu kwa mbowe.
* Kununuliwa kwa wanasiasa.
* na hoja nyingine dhaifu.
Ukiangalia kwa umakini hizo hoja zinajibika kiwepesi sana.
Sasa Lisu akisubutu kuingia kwenye competition ataenda kushindwa vibaya sana na pengine tukamkosa bungeni kwa muda wa miaka mitano kitendo ambapo kitamfanya ashuke kisiasa afanane na David Kafulila.
Lisu ni bora tu ugombee ubunge 2020 kwani hoja zako zinahitajika sana bungeni kuliko kugombea urais ambao utakupoteza kisiasa.
SINTOJISIKIA VIZURI KUMKOSA LISU BUNGENI KWA MIAKA MITANO 2020-2025. WASHAURI WA CHADEMA FANYENI KAZI YENU VIZURI JUU YA HILI.
Hizo ofisi ndio zinapiga kura? Nakuambia kwenye tume huru hata ukiwakusa ya wajumbe wa NEC CCM 100 Magu anapata 10 tuuHata kwa tume huru HAMSHINDI! Asilimia kubwa ya matawi/ofisi zilizofunguliwa kupitia M4C zimekufa zote unashinda vipi uchaguzi? Mbaya zaidi hadi matawi ya Dar yanakufa then chama kitakuwa vipi hai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nyie mnatumia mbinu haramu kubaki madarakani,basi mjue na wenzenu wanajua cha kufanya.
Usiniulize watafanyaje ila jiongeze.
Kama anakubarika,kwanini anazuia watu wasitoe maoni,amezuia hoja huru,na mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani,Hakuna ubishi Magufuli ni kiongozi anayekubarika sana nchini Tanzania hata nje ya Tanzania ukiondoa watu wachache wenye uchu na madaraka.
Magufuli anakubarika na watu wote nchini Tanzania ukianzia:
* Wamachinga.
* Mama ntilie.
* Viongozi wa dini.
* Wafanyakazi wa umma
* Walala hoi
* Vijana, kinamaa na wazee.
Sitaki kusema kwa nini anakubarika nadhani kila mmoja anajua huyu bwana ni kiongozi wa aina gani katika taifa letu pendwa.
Sasa kimshauri Tundu Lisu apambane na magufuli katika mbio za urais 2020 si ushauri mzuri kabisa kwa Tundu Lisu kwani ndiyo utakuwa mwanzo wa mazishi ya kisiasa ya Lisu.
Lisu hana uwezo wa kusimama na Magufuli 2020 na akashinda eti kwa kutumia hoja ambazo hazina mashiko makubwa kwa watu wengi kama vile:
* kuminywa kwa demokrasia.
* Kupigwa risasi kwa Lisu.
* Kuwekwa mahabusu kwa mbowe.
* Kununuliwa kwa wanasiasa.
* na hoja nyingine dhaifu.
Ukiangalia kwa umakini hizo hoja zinajibika kiwepesi sana.
Sasa Lisu akisubutu kuingia kwenye competition ataenda kushindwa vibaya sana na pengine tukamkosa bungeni kwa muda wa miaka mitano kitendo ambapo kitamfanya ashuke kisiasa afanane na David Kafulila.
Lisu ni bora tu ugombee ubunge 2020 kwani hoja zako zinahitajika sana bungeni kuliko kugombea urais ambao utakupoteza kisiasa.
SINTOJISIKIA VIZURI KUMKOSA LISU BUNGENI KWA MIAKA MITANO 2020-2025. WASHAURI WA CHADEMA FANYENI KAZI YENU VIZURI JUU YA HILI.
Tundu Lissu kawashika pabaya dadeki.Hakuna ubishi Magufuli ni kiongozi anayekubarika sana nchini Tanzania hata nje ya Tanzania ukiondoa watu wachache wenye uchu na madaraka.
Magufuli anakubarika na watu wote nchini Tanzania ukianzia:
* Wamachinga.
* Mama ntilie.
* Viongozi wa dini.
* Wafanyakazi wa umma
* Walala hoi
* Vijana, kinamaa na wazee.
Sitaki kusema kwa nini anakubarika nadhani kila mmoja anajua huyu bwana ni kiongozi wa aina gani katika taifa letu pendwa.
Sasa kimshauri Tundu Lisu apambane na magufuli katika mbio za urais 2020 si ushauri mzuri kabisa kwa Tundu Lisu kwani ndiyo utakuwa mwanzo wa mazishi ya kisiasa ya Lisu.
Lisu hana uwezo wa kusimama na Magufuli 2020 na akashinda eti kwa kutumia hoja ambazo hazina mashiko makubwa kwa watu wengi kama vile:
* kuminywa kwa demokrasia.
* Kupigwa risasi kwa Lisu.
* Kuwekwa mahabusu kwa mbowe.
* Kununuliwa kwa wanasiasa.
* na hoja nyingine dhaifu.
Ukiangalia kwa umakini hizo hoja zinajibika kiwepesi sana.
Sasa Lisu akisubutu kuingia kwenye competition ataenda kushindwa vibaya sana na pengine tukamkosa bungeni kwa muda wa miaka mitano kitendo ambapo kitamfanya ashuke kisiasa afanane na David Kafulila.
Lisu ni bora tu ugombee ubunge 2020 kwani hoja zako zinahitajika sana bungeni kuliko kugombea urais ambao utakupoteza kisiasa.
SINTOJISIKIA VIZURI KUMKOSA LISU BUNGENI KWA MIAKA MITANO 2020-2025. WASHAURI WA CHADEMA FANYENI KAZI YENU VIZURI JUU YA HILI.
Wangekuwa na uwezo huo wasingemjibu kwa risasiNawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.
Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.
Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.
Dawa ya hoja ni hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa ulichoandika mkuu? Hao wajumbe ambao leo hii wapate akili hizo ambazo hawajawahi kuwa nazo miaka yote ya utawala wa CCM? Hizo akili zimetoka wapi? Ukiona hadi CCM wanapinga kitu inabidi ujiongeze usishangilie! Utajuta!Hizo ofisi ndio zinapiga kura? Nakuambia kwenye tume huru hata ukiwakusa ya wajumbe wa NEC CCM 100 Magu anapata 10 tuu
Mzee baba, tupo pamoja. Nakuelewa saaaana 🤣🤣🤣🤣Propaganda za kijinga hizi kukwepa hoja ya msingi!
Hata kwa tume huru HAMSHINDI! Asilimia kubwa ya matawi/ofisi zilizofunguliwa kupitia M4C zimekufa zote unashinda vipi uchaguzi? Mbaya zaidi hadi matawi ya Dar yanakufa then chama kitakuwa vipi hai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ofisi ndio zinapiga kura? Nakuambia kwenye tume huru hata ukiwakusa ya wajumbe wa NEC CCM 100 Magu anapata 10 tuu