Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
Uliyajua lini haya au aliyekujuza kayajua lini haya. Kwa nini yasemwe leo? Nafikiri wewe ndio tatizo kwa kupika majungu maana maelezo yako yamejaa mashambulio binafsi dhidi ya Prof Ndulu mara nyumba mafundi toka south ili iweje.
Naona humu jamvini sasa hivi Cyber bulling kwa viongozi inashika kasi kwa kuwa tunatumia majina ya bandia. Watu wakishindwa ku blackmail mtu wanaingia jamvini. tuwe waungwana
 
kuna wengine wakirusha uzi wanakula buku tano.
nimempenda professor..
ukienda na wenge anakutia tobo ukigeuka anakuvalisha na gauni.
 
Weka picha ya hilo hekalu la profesor tuone
Kwani kujenga hekalu ni dhambi? Mimi na dhani jambo la msingi hapa ni je kuna ukweli katika hili jambo la kuweka watu wake ili wapige deal...

Kama mtu anafanya kazi yake inavyotakiwa, mumi sioni tatizo hata angejenga mji kama ni kwa pesa yake na ubunifu wake why not?

Tatizo ni kama hahatuwekea uchumi wetu vizuri ila anatumia nagasi hiyo kuweka uchumi wake vizuri kinyume na lengo la ajira yake; hapo tutatumbua tu just a matter of time!
 
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
Nahisi harufu ya ukweli, vipi yule mrembo VK yeye ni nani? Au kipoozeo?
 
Sina hakika sana na hiki unachokisema ila ni msomi aliyebobea na hata Prof Lipumba baada ya saga la Balali alipohojiwa alimtaja Ndulo Benno kuwa anaweza kushika mikoba ya Balali Daud sasa sijui tukuamini wewe au mtaalam mwenzao Prof Lipumba....! Kujenga nyumba mi sioni kama ni kosa, hata angetaka akawatoa mafundi marekani...kama ametimiza masharti na amekusanya hela yake kwa miaka nini shida...taabu ni kama kaziiba tuwekeeni uzi hapa wenye 'facts' na hasa takwimu
 
Hebu tazama vizuri ile clip ya " Hii hukunipa wewe, wala wewe na hata wewe hukunipa hii " Kama kuna mtu anafikiri Beno Ndulu atabaki BOT basi mtu huyo atakuwa na matatizo makubwa. Hebu tusubiri tuone.
 
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili

wewe ni muongo tena mnafiki na huna hoja .....

benno ndulu hakurudishwa na kikwete bali mkapa na aliwekwa kuwa Naibu Gavana ....baada ya bosi wake daudi balali kutendwa ndio akadhibitishwa kuwa gavana ,,,ni mtu makini mno na hizi figisu figisu kwakuwa anakumbuka namna balali alivyofanywa scape goat na mara zote amakua akijiapiza kutocheza na wanasiasa kwa kuwa hawana maana ...muda wake kwa sasa umeisha kwahiyo muda wowote ataondoka yuko tu kusubiria rais amtaje gavana mpya ana miaka 66
 
Naona majina na nyadhifa mbalimbali lakini sijaona dhambi iliyoainishwa

majungu ndiyo muongozo wa kuendesha nchi kwa sasa ... si ajabu baada ya muda mfupi hao wote watapasuliwa based on these hearsays
 
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
Hii ni Fesiblity Study mkuu.. Tupe detailed design tuamini.
 
yawezekana unasema ukweli.
lakini bila evidence yeyote inaonekana porojo tu.
 
Mnajua unyeti wa nafasi ya Gavana wa Benki kuu au mnaropoka tu? Mnadhani ile ni nafasi sawa na ya House girl unaokoteza tu pale Ilula?
Hadi mtu amekuwa Gavana kuna kazi imefanyika. Na hao kina Likwelile hawapatikani kienyeji na kiholela. Sio ishu ya Gavana kuamka na kusema namtaka Mzito Kabwela awe katibu mkuu.
Jamani hii ni serikali. Hata kama ni serikali dhalimu lakini ni serikali. Umakini wake katika nafasi nyeti ni wa juu mno. Sio ishu ya kudhani Fulani anaweza kuamua tu babake awe mkuu wa Polisi au Mkuu wa Wanyama Pori.
We we mwenyewe mleta mada ukitaka nafasi ya U-cashier pale halmashauri kwenu unaona unavyosota, sembuse ugavana?? Acha majungu wewe. Njoo na facts. Kaiba nini, kachora ramani ya wizi lini, kasababisha hasara kiasi gani, n.k.
 
Back
Top Bottom