Duh mbona namuonaga mpole sana huyo governor, kumbe ni fisadi kuliko hata JK
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!
Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.
Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.
Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.
It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.
Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
Habari hii haitoshi kumwita mtu fisadi,hakuna vielelezo vya kuonesha wizi ulipotokea,ulivyofanyika na niwakiwango kipi.
Kwa maelezo haya hata unayemwambia amtumbue naye anapaswa tumbuka mana hatayeye kashatuhumiwa kijuujuu hivihivi.
YOU SEEMS TO HAVE THOSE HARD FACTS...CAN YOU BRING THEM HERE AS A PANEL WE CAN SORT OUT THE REAL AND FAKE ONES.
HURRY UP PLEASE....JUST HARD FACTS ONLY TO COUNTER ATTACK THE SUBMITTED LIGHT ONES.
Kwa hiyo kama unakiri bandiko kukosa hard facts ni udhaifu mkubwa; iweje tuendelee kujadili ngonjera na mipasho na visasi tusivyovielewa! Hatuna muda muchafu; mleta mada akalale huko Uswazi!....bandiko kukosa vithibitisho hakuondoi hoja ya hawa majamaa kuwa corrupt....At least hitoria ya TZ imetuonyeha kuwa wanaotuangusha sana na kuturudisha nyuma kimaendeleo ni wasomi wetu wenye nyadhifa za juu....hili limeonekana kwenye scandal zote kubwa kubwa zilizowahi kutokea tz....waliogundulika walikua wasomi wetu wenye nafasi juu....
...that said....mleta uzi anaweza kuwa na hoja....pamoja na kwamba hajathibitisha hoja zake....
....pia ikumbukwe kuwa uzoefu umejionyesha kuwa watu waadilifu pia wamekuwa na tabia ya kuharibika na kuwa corrupt baada ya muda wanapopewa nafasi za juu....hivyo watu wanaosemwa humu wanaweza kuwa walikuwa waadilifu sana huko nyuma na wamekuja baadae kuharika....hilo linawezekana pia....maana kuna mifano mingi....hata marehemu Balali alikuwa mtu safi wakati anapewa ugavana BoT....lakini wote twajua kuwa EPA ilipigwa chini yake....Pia kina Tibaijuka walikuwa na sifa nzuri sana huko nyuma wakiwa UN...lakini wamekuja kuchafuka kwenye escrow.....Hivyo jamani mleta mada anaweza kuwa na hoja ya msingi ya kufanyiwa kazi...Mi natoa tu angalizo kuwa escrow ilipigwa hawa jamaa wakiwa kwenye nafasi za kuizuia ile hela isipigwe......Nashangaa hili jambo watu hawajadili....
The burden of proof should be born by the accuser; I dont engage in fictitious
accusations; empty of hard facts and credible ones for that matter; that can withstand the test of time and feronsic investigation! Frivolity is not my fort, sorry!
DR HAJI HATIBU SEMBOJA ANAUWEZA UGAVANA ANA UWEZO MKUBWA MNO
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!
Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.
Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.
Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.
It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.
Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
Po mbombo jhilipo!akali akasyaganya.
Upuuzi mtupu; no hard facts isipokuwa dhana na hearsay kibao!
Hii inanikumbusha Golden Sachs.
Bado sijaona substance ya allegation zako kwa jicho langu mimi ninaona kama kuna kawivu fulani.Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!