Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Hivi watu w
Habari hii haitoshi kumwita mtu fisadi,hakuna vielelezo vya kuonesha wizi ulipotokea,ulivyofanyika na niwakiwango kipi.
Kwa maelezo haya hata unayemwambia amtumbue naye anapaswa tumbuka mana hatayeye kashatuhumiwa kijuujuu hivihivi.[/QUO
Hivi watu wakila mlungula au wakifisaidi huwa wanaita waandishi wa habari na kusema jamani eh njooni huku muone hadharani tunavyokula rushwa na kufisadi.
 
ifinyo mhididi,
Tuliofanya kazi na Dr Mpango, Dr Bukuku (tho He'snt a person of interest hereof),huwezi kutwambia kitu juu ya "moral soundness,and their integrality. It's beyond reasonability!
Ontop, Umeongea kama stori za kijiweni,absolutely confabulate! Wanaweza kuwa na tuhuma nyingine below perfomance,etc etc, not ufisadi clandestine!
 
Inamaana watu kusoma pamoja ni kosa, chuo kitakuaje na wanafunzi wengi sasa, watu mmeona kichaka sasa vitu vinagonga nguo kila mara.
 
Mmmhh kwa style hii tusitegemee mapya toka kwa JMP.
Afukuze hiyo team yote.

Mm nilikuwa najiuliza sn , inakuweje kila Scandal kubwa chanzo ni BoT? Tena wanalipa wao, wakidai ni hali.
EPA, ESCROW, RIBA STANBANK, RADA, nk.
Kumbe tatzo ni Prof. Ndulu, Dr. Mipango, Dr. Likwelile!!! Maajabu hawa watu wanazunguka pale pale miakanenda rudi!!

Japo ni New member joined saturday, umeingia kwa kazi maalum na nzr.
 
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
Muda wowote Ndullu anaachia ngazi kwa maana ya kustaafu....

Nawashauri huu mtindo wakuwatengenezea watu kashfa ili muwaondoe utawatokea puani.... Time will tell..
 
Kaka weka udhibitisho, tofauti na hapo ni watakuona una majungu na personal interest. Je una udhibitisho wowote ku support hizo statement zako? Maana kutuaminisha tu story ni ngumu kidogo. Weka evidence
 
Bandiko lako linakosa nguvu maana hao watu uliowataja ni hodari wa uchumi waliotukuka na baadhi wamenifundisha uchumi pale udsm na sioni kwa nini unawasingizia tuhuma nzito hivi bila kuwa na concrete evidence. una lako jambo wewe si bure.
 
Waziri mpango yawezekana naye jipu maana hana ushirikiano hata anapopigiwa simu hapoke.
 
Bandiko lako linakosa nguvu maana hao watu uliowataja ni hodari wa uchumi waliotukuka na baadhi wamenifundisha uchumi pale udsm na sioni kwa nini unawasingizia tuhuma nzito hivi bila kuwa na concrete evidence. una lako jambo wewe si bure.

Wangapi ni hodari lakini wamatufikisha.hapa tulipo kisheria ref. Mh. Joka la makengeza
 
Back
Top Bottom