Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
 
......bahati mbaya ni kuwa mind nyingi ziko ubishi oriented..hatutaki kutafuta facts tunapoletewa tuhuma tunachokiona(wengi wetu) ni "wanamchafua tu "!
 
Bado sijawa convinced na hili bandiko.... Naweza Ongea kidogo kuhusu mzee Mpango... Huyu mzee kwa taarifa za ndani yupo clean sana kwenye swala la integrity na mambo ya ufujaji fedha.... Hao wengine cant comment but Ndulu anaonekana mpiga dili vile... Hasa issue ya escrow naona km hakuna namna yeye atakwepa kuwa involved kwenye hili!!!!!!
 
Duh Nyumba Billion Tatu na Mafundi kutoka South Africa msimseme sana labda niwale vibarua waliotoka South Africa kuja Kujenga Majengo pacha ya BOT nadhani alitumia mwanya kuwabeba na wakamjengea pengine...
 
Kuna watu wanastahili kutupwa kwenye Mkondo wa Nungwi.
 
Majungu haya huu ni upuuzi tu..hapa ni povu tu hujasema fact yeyotem..umeandika upuuzi ..tuambie hao watu waliiba lini na sh ngapi sio.kuongea majungu majungu
We Mbulumundu unaelewa maana ya CARTEL?

Tujadili kwanza hii cartel maana kama ni kweli wana connection ya pamoja watatupiga tu huko mbeleni. Ndio maana walipoenda BOT waliishia maneno matupu
 
ifinyo mhididi,
Tuliofanya kazi na Dr Mpango, Dr Bukuku (tho He'snt a person of interest hereof),huwezi kutwambia kitu juu ya "moral soundness,and their integrality. It's beyond reasonability!
Ontop, Umeongea kama stori za kijiweni,absolutely confabulate! Wanaweza kuwa na tuhuma nyingine below perfomance,etc etc, not ufisadi clandestine!
Hawa ukawa kila kiomgozi aliyeteuliwa na magu mbaya hebu wayazungumze ya viongozi wao
 
ukiniambia kuwa gavana Ndullu ni bomu nitakuelewa leo tumeona watu wakilalamika kuhusu chenji na pesa mbovu wakati huku mitaani tunashuhudia watu wakiuza chenji na kununua pesa mbovu lakini si benki wa bot wanaobadilisha hizo pesa hayo mengine siwezi kuchangia
 
Kimsingi ni kwamba ni vigumu kutegemea kupata matokeo kutoka kwa fikra za watu wale wale waliolisababisha hilo tatizo.....

Hata kwa macho ya kawaida utajua kuwa tatizo kubwa la nchi yetu ni mifumo ya kiwizi iliyokomaa na kuwa taasisi za wizi....yaani kila mtu kwenye mfumo anaumiza kichwa kuwa ataiba vipi.....

Na kwa mbali kabisa naliona anguko la Magufuli...kutokana na yeye kukubali au kuamua kufanya kazi na watu wale wale kutoka mfumo ule ule uliosababisha matatizo yasiyoelezeka na kibaya zaidi...anawatumia wale wale kutibu jeraha lile ambapo yule anayeagizwa akatumbue jipu na yeye ni sehemu ya jipu....
 
Back
Top Bottom