Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Ndiyo maaa ile siku Magu alienda pale BOT akamwuliza yule jamaa anaitwa Kobelo wewe ni wa Morogoro? Ukiangalia hii syndicate yote ni homeboys wa Morogoro kwa gavana Ndulu..

Huwa nashangaa sana watu wanawashupalia wachaga wakati kila akipata upenyo hapa tz anaweka mtu wa kabila lake au hata wa dini yake tatizo wengi hawajapata upenyo humu mngeona maajabu hii nchi

Kuna marostam kibao sema hawajapata fursa
 
Mkuu wala sishangazwi kwa tuhuma hizi, mwanzo nilikuwa najiuliza maswali mengi: Hivi huyu Prof. anapata wapi ujarisi wa kubishana na Head of state in public, je hili ni jambo la kawaida kweli?

Sasa kama uwendeshaji Uchumi wa Taifa letu umeshikiriwa na rafiki zake wachache ambao anawa- recycle kwenye mission critical positions zenye kubeba uchumi wa Taifa letu tutegemee nini kama siyo majanga, oh yes hawa ndiyo wenye master key ya kila kitu economywise.

Bila Dk.Magufuli kupiga chini Cartel nzima basi abaki akijua kwamba group hili lina uwezo wa kuyumbisha Taifa letu kiuchumi kwa lengo la kuipa wakati mgumu Serikali ya awamu ya tano, Dk.Magufuli akumbuke vile vile kwamba si kila kiongozi kwenye Serikali ya Dk.Magufuli wanataka afanikiwe katika azma yake ya kukomboa Taifa letu kutoka kwenye lindi la umasikini na ubinafsi uliyo kubuhu, Dk.Magufuli hasipuuzie kundi la kijahili kama hilo, hawa si watu wa kuchekea hata kidogo.

Dk.Magufuli afanye mabadiriko makubwa kwenye sekta hii nyeti- the soonest the bettter, hasiwalazie damu hata kidogo.

Mbona wasomi wapo wengi sana nchni mwetu, wajiriwe watu on merits alone and not right connection, ujinga huu umetuangusha sana - yanini Prof. kusomba somba walimu wenzake na kujazana kwenye nafasi muhimu in the Land badala ya kuendelea kufundisha vyuo vikuu, baadhi ya walimu hawa wanashindwa miserably kuendesha kazi Serikalini na mifano tunayo, ndio maana mara nyingi wanajikuta wamejingiza kwenye mambo ya ufisadi na vices nyingine - wametuangusha sana.
 
wewe ni muongo tena mnafiki na huna hoja .....

benno ndulu hakurudishwa na kikwete bali mkapa na aliwekwa kuwa Naibu Gavana ....baada ya bosi wake daudi balali kutendwa ndio akadhibitishwa kuwa gavana ,,,ni mtu makini mno na hizi figisu figisu kwakuwa anakumbuka namna balali alivyofanywa scape goat na mara zote amakua akijiapiza kutocheza na wanasiasa kwa kuwa hawana maana ...muda wake kwa sasa umeisha kwahiyo muda wowote ataondoka yuko tu kusubiria rais amtaje gavana mpya ana miaka 66
Governor B.Ndulu kachaguliwa na Mh JK na akaanza kazi BOT Jan 8, 2008. Si kipindi cha Mh BWM Get your facts straight
 
Tuendelee kumsaidia Magufuli kutumbua majipu. Hii post lakini imejaa circumstantial evidence. Unless kuna ushahidi mwingine.
 
Governor B.Ndulu kachaguliwa na Mh JK na akaanza kazi BOT Jan 8, 2008. Si kipindi cha Mh BWM Get your facts straight

NI kweli kachaguliwa na JK ...kuziba nafasi ya DAUDI BALALI ...lakini nawewe cheki facts ...Mkapa aliwarudisha nchini wasomi kama DAUDI BALALI akampa ugavana ..., Beno NDULU akampa unaibu gavana ...na pia aliwachukua washauri kama ANA MUGANDA na CYRIL CHAMI ambao wote hao walikuwa nje ya nchi
Baada ya Daudi Balali kuondoka ..JK alimteuwa rasmi BENO NDULU kuwa gavana
 
Duuuuuuu. I can't take this seriously because I don't know the source of the information but again I just find it difficult to completely ignore it.
 
Hebu tazama vizuri ile clip ya " Hii hukunipa wewe, wala wewe na hata wewe hukunipa hii " Kama kuna mtu anafikiri Beno Ndulu atabaki BOT basi mtu huyo atakuwa na matatizo makubwa. Hebu tusubiri tuone.
...That is beside the point. Kuondoka ataondoka, kwani muda wake unaisha, na kila uongozi watu hubadilishwa.

...Issue hapa ni je, yeye na hao waliotajwa ni "cartel" flani ya upigaji hela na ufisadi? Ndio watu tunasema hayo ni majungu!
 
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!

Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.

Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.

Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.

It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.

Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
 
Kwani ile sarafu
alioitetea mzee beno ya shilingi miatano imepotelea wapi? Kwani naona noti ya miatano zimekuja tena mpya kwenye mzunguko.
 
Kwa hiyo kama unakiri bandiko kukosa hard facts ni udhaifu mkubwa; iweje tuendelee kujadili ngonjera na mipasho na visasi tusivyovielewa! Hatuna muda muchafu; mleta mada akalale huko Uswazi!
...you seem to react so sensitively about the presented matter herewith...are you somehow involved in the matter??...or at least your relative!!....if not...why then are you so sensitive about hard facts etc!....You seem to have forgotten that many of the scandals in TZ were firstly brought forward for discussion from hearsay.....Please go back and relax....if at all you are less concerned with the matter....Btw...what will you do if the thread poster comes with your insisted/requested hard facts??....
 
Acheni povu haya mambo yanachunguzika wahusika bila shaka wameipata hii watutendee haki wa TZ
 
Back
Top Bottom