Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

Sidhani kama mtu wa namna ya prof. Ndulu kujenga nyumba ni justification ya kumfanya awe fisadi nadhani mtoa mada angetwambia pia kipato cha prof. ktk sehemu zote ambazo aliajiriwa vinginevyo mada imejaa majungu tu.
 
Asante Ifinyo tumekusikia haya watuhumiwa na nyinyi tunasubiri kusikia kutoka kwenu tuweke uwiano wa hii habari( story balancing)
 
Back
Top Bottom