Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Nyumba ya masaki huijui?Upuuzi mtupu; no hard facts isipokuwa dhana na hearsay kibao!
Nyumba ya masaki huijui?Upuuzi mtupu; no hard facts isipokuwa dhana na hearsay kibao!
Ukiona hivyo hizi habari ni kweli Na hao watajwa wapo.Upuuzi mtupu; no hard facts isipokuwa dhana na hearsay kibao!
Majungu haya huu ni upuuzi tu..hapa ni povu tu hujasema fact yeyotem..umeandika upuuzi ..tuambie hao watu waliiba lini na sh ngapi sio.kuongea majungu majungu
Mnajua unyeti wa nafasi ya Gavana wa Benki kuu au mnaropoka tu? Mnadhani ile ni nafasi sawa na ya House girl unaokoteza tu pale Ilula?
Hadi mtu amekuwa Gavana kuna kazi imefanyika. Na hao kina Likwelile hawapatikani kienyeji na kiholela. Sio ishu ya Gavana kuamka na kusema namtaka Mzito Kabwela awe katibu mkuu.
Jamani hii ni serikali. Hata kama ni serikali dhalimu lakini ni serikali. Umakini wake katika nafasi nyeti ni wa juu mno. Sio ishu ya kudhani Fulani anaweza kuamua tu babake awe mkuu wa Polisi au Mkuu wa Wanyama Pori.
We we mwenyewe mleta mada ukitaka nafasi ya U-cashier pale halmashauri kwenu unaona unavyosota, sembuse ugavana?? Acha majungu wewe. Njoo na facts. Kaiba nini, kachora ramani ya wizi lini, kasababisha hasara kiasi gani, n.k.
Upuuzi mtupu; no hard facts isipokuwa dhana na hearsay kibao!
Nimesoma kwa makini, nimerudia mara tatu...but I am not convinced na maandiko haya. Dr. Mkenda na Dr. Mpango nao walaji? I am not convinced at all... labda leta details zaidi siyo hizi sijui ameteuliwa na huyu au amewekwa na huyu, aaah hapo hapana. Contents zina mwelekeo wa majungu, but I am not so sure. Lakini you have to convince us on this...
Upuuzi mtupu; no hard facts isipokuwa dhana na hearsay kibao!
Habari hii haitoshi kumwita mtu fisadi,hakuna vielelezo vya kuonesha wizi ulipotokea,ulivyofanyika na niwakiwango kipi.
Kwa maelezo haya hata unayemwambia amtumbue naye anapaswa tumbuka mana hatayeye kashatuhumiwa kijuujuu hivihivi.