ifinyo mhididi
New Member
- Mar 12, 2016
- 3
- 14
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!
Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali iliyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.
Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipindi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.
Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.
It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.
Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili