...1954,Nimesoma kwa makini, nimerudia mara tatu...but I am not convinced na maandiko haya. Dr. Mkenda na Dr. Mpango nao walaji? I am not convinced at all... labda leta details zaidi siyo hizi sijui ameteuliwa na huyu au amewekwa na huyu, aaah hapo hapana. Contents zina mwelekeo wa majungu, but I am not so sure. Lakini you have to convince us on this...
Master of coins. Tyrion Lanister.
Hahah umenikumbusha mbalii Haka kamtuMaster of coins. Tyrion Lanister.
Mkuu eddy umeongea leo kitu cha maana SanaBORA TUWEKE WA DARASA LA 7 WAZALENDO KULIKO WAPIGA DILI MAPROFESA
Habari yako bibieNaona majina na nyadhifa mbalimbali lakini sijaona dhambi iliyoainishwa
Vitambulisho vya taifa vingetuweka huru.kujua nani ni nani anamiliki nini .vinginevyo kuwa mpole .chochote kitakacho semwa kina ukweli 78% .don't ask for details .either if your not Tz citizeni .your right to askNimesoma kwa makini, nimerudia mara tatu...but I am not convinced na maandiko haya. Dr. Mkenda na Dr. Mpango nao walaji? I am not convinced at all... labda leta details zaidi siyo hizi sijui ameteuliwa na huyu au amewekwa na huyu, aaah hapo hapana. Contents zina mwelekeo wa majungu, but I am not so sure. Lakini you have to convince us on this...
hata mm naona ni MIJUNGU hasa maana TASAF imekuja kuliwa vijijini kabisa sijui Prof Ndulu alifikaje huku Kijiji cha Mpinguzi kuja kula hela hizoMajungu haya huu ni upuuzi tu..hapa ni povu tu hujasema fact yeyotem..umeandika upuuzi ..tuambie hao watu waliiba lini na sh ngapi sio.kuongea majungu majungu
...Actually, ndio hoja kuu ya mleta mada.hapo issue sio ufisadi,nadhani mleta mada amejenga hoja ya namna gani Ndugu Ndullu alivyo mgumu kumtumua kirahisi,maana hao maswahiba wake wapo jiran na rais,ama ktk utawala huu wa rais hivyo watamshauri rais namna nzuri ya kumtoa ama kumuacha tu.
Sijaongea habari ya UKAWA wala CCM hapo juu. Kama ni habari za UKAWA na CCM, I can tell you,CCM ni ile ile. Haina mpya.Hawa ukawa kila kiomgozi aliyeteuliwa na magu mbaya hebu wayazungumze ya viongozi wao
Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!
Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali ilyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office alimweka Dr. Likwelile kuwa mkuu wa TASAF hapa alipiga pesa ndefu kwani hata miradi iliyo tekelezwa ilikuwa duni and no proper audit that time. Pia akamtoa UDSM Dr. Mpango enzi hizo akamweka World Bank Tanzania office wakati yeye akiwa country manager. Kumbuka Dr. Mpango na Dr. Likwilile ni classmates hivyo ile miradi ya TASAF pia mingi haikua kwenye mipango ya serikali. Hinyo walipiga pamoja. Baadaye Prof. Ndulu kahamia Washington DC 2003. Akaacha mtandao wake kihivyo. JK alipokuwa Rais akashinikizwa na World Bank Amchukue kuwa BOT governor.
Hapo kawa na mwanya wa kuwa top brass ya economic adviser wa JK. Yule kimada wa JK that time pale BOT akahamishwa ikulu kwa advisor wa JK wa uchumi…kilaza mkubwa. Hapo akamshauri JK amweke Dr. Mpango awe ndiye mkurugenzi wa tume ile ya mipango. Wakati huo huo sasa akawachukua vijana wake wasio na ujuzi wowote wa ushauri Dr. Mwinyimvua akawekwa kuwa mshauri wa uchumi ikulu. Na sasa kamtoa Dr. Likwilile pale TASAF na kumleta kuwa katibu mkuu wizara ya fedha ambapo anaendelea hadi sasa. Kipinndi hicho kamtoa pia Prof. Mkenda UDSM na kumpachika udeputy PS fedha chini ya Dr. Likwelile. Pia ujue Dr. Mpango alikuwa PS hapo hazina kwa mzunguko huo huo. Sasa Prof. Mkenda kapewa PS viwanda.
Huu mzunguko wa BOT na TRA na hazina/wizara ya fedha unahitaji timu mpya iliyosukwa kivingine. Wakati Kitilya akiwa TRA wakipiga hela ya Stanbic pia Prof. Ndulu alihusika, wakipiga hela ya Escrow wote Ndulu, Kitlya, Dr. Mpango, Prof. Mkenda, Dr. Likwilile walihusika kama team wakiwa hapo hapo hazina. Prof. mzima Ndulu bila aibu alibariki injection of illegal money to the circulation bila kujali money supply na adhari zake kwa uchumi na hiyo team yake. Juu ya wizi tuu. Magu amepewa ushauri mbovu kuwateua hawa wote CARTEL mbaya hatari. Uliwaona ni wapole lakini mambo yao hatari.
It’s time Prof. Ndulu aondoke na team yake. Eleze pia nyumba aliyojenga Masaki kwa billion 3 kwa kutoa mafundi South Africa ikamatwe iwe ya serikali. Pole mzee wetu Magu kazana tunakusaport.
Nao ndio sasa washauri wa magu kwenye hili jipu. Je watamtosa god father wao....tujadili
...1954,
...Katika siku za karibuni, kumekuwa na shutuma, majungu, na umbeya mwingi kwenye vyombo hivi vya habari. Lengo ni kuichafua, kuipaka matope, kuitupia taka na kuiharibia Serikali ya JPM. Ili, itoke kwenye reli -kwa ku entertain majungu, kutokuelewana na migogoro- na wanaoipiga vita wakenue meno na kucheka. Ujinga huu, haupaswi kupewa nafasi.
...JPM ana mapungufu yake kama binadamu mwingine, lakini kumtegea akwame au ashindwe haitasaidia nchi. Itatugarimu.
...Wakati ushawadia sa
sa, "kelele za mlango, zisimzuie mwenyewe kulala". Kama vipi, mlango utarekebishwa, kutengenezwa au kubadilishwa.
Uliyajua lini haya au aliyekujuza kayajua lini haya. Kwa nini yasemwe leo? Nafikiri wewe ndio tatizo kwa kupika majungu maana maelezo yako yamejaa mashambulio binafsi dhidi ya Prof Ndulu mara nyumba mafundi toka south ili iweje.Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa!