Hii ndege ni hatari sana ikitokea vita

Hii ndege ni hatari sana ikitokea vita

Nikurekebishe hapo kwenye T-50. Hii ndege still bado iko kwenye development, not combact approved. Remember kuna F-22 ,wako kwenye hii stealth game sikunyingi na ni combact approved and still on updating.
Yah ni kweli T-50 ni joint project kati ya russia na India,hii project imechelewa sababu ya Funding kutokana na vikwazo alivyowekewa Russia na US.Ilisababisha funding iwe yakusua sua hasi kuna mwaka project ilisimama kabisa.Ila mwaka 2019 hii ndege itakuwa operational,ni steath figher nzuria sana.Wamei design ku conter F-22 Reptor.
 
Hahahahaha F 35 hata wakiipa muda vipi ,, haiwezi kua tishio kama F 22 . izi F 22 ndo zinazompa homa mrusi basi ,, lkn naye karibu azipatie ufumbuzi .,, wacha tusubiri S 500 ..
Mkuu hiyo S500 inatengenezwa maalumu kwa ajili ya kutungua makombora, hasa ya IRBM na wamesema pia baadhi ya ICBM, hiyo itakua inafanana kama THAAD ya Mmarekani ni maalumu kwa ajili ya makombora tu. S400 ndo maalumu kwa ajili ya ndege.
S500 inatengenezwa kuja kuchukua nafasi ya A-135 (anti-icbm system), na itatumia technology kama ya THAAD ya hit to kill na sio ile ya kubeba milipuko.
45da60cb57d373fb3f29b58dcd833e6e.jpg
 
Sijajua kwa Urusi lakini kwa Marekani silaha zake amekua na masharti kadhaa unasaini ikiwemo kukataza kufanya majaribio kadhaa, nikipata link yake ntakutumia mkuu.

Mkuu huo mgogoro wa Marekani na Uturuki kuhusu S400 ni kwamba. Marekani inahofu kwamba S400 itakua inakusanya data juu ya baadhi ya madhaifu ya F-35 na kutuma kwa Urusi kupitia S400.Ambapo baadae madhaifu hayo yatatumika na Urusi kuboresha mifumo yake kwa ajili ya kudetect F-35 na hivyo kuexpose technology iliyotumika kwenye F-35.
Ndo maana nasikia Marekani anataka kukata oda ya Uturuki kununua F-35.
Jaribu kufatilia huu mgogoro hasa kupitia RT utajua mengi zaidi.
Yaaahhhh ninaufatilia sanaaa maana mpaka nmedownload app nying za Russia .

Sasa nachojiuliza ,,kama marekan anaogopa ,,kwann mrusi yeye haogopi kuziuza izi S 400 wakat anakua kwa sasa ndio State of the heart yake ?????.

Haya Mara marekan anasema,, kwamba S 400 huwezi Ku integrate na Patriotic Zao ,,, yaaan sijui yupi nibora ya mwenzake ..alafu wapo wasiri sanaaa.
 
Ujue nn mkuuu ,,, Syria kwa sasa kuna S 2000 ...s 300 ,,400 Nahii AWCS PLANE ,, kinachonifanya niamin Mrusi ndio anaruhusu hata mashambulizi ya Israel syria ,,niuwepo Wa aina silaha lkn mrusi anakua anaziturn OFF kisha Israel inashambulia .
S-400 zina cover location fulani tuu.Siyo nchi nzima.Range ya S 400 ni kilometer 400 tu,Na huzi zinalinda base ya Mrusi kule syria.S-400 ni kwa ajiki ya ICBM ndio lengo kuu.Ndo maana uliangalia pia mrusi aliongeza na Pensir-S1 kama short range defense.Ndege zinazopita low altitude ni ngumu sana S-400 ku detect.Pensir-S1 ndo kazi yake hii,lakin pia zina range ndogo zaid.So S-400 haiweze ku protect syria yote mkuu.Basi uwezekano wa Israel kupita Syria ni mkubwa tuu.
 
Yaaahhhh ninaufatilia sanaaa maana mpaka nmedownload app nying za Russia .

Sasa nachojiuliza ,,kama marekan anaogopa ,,kwann mrusi yeye haogopi kuziuza izi S 400 wakat anakua kwa sasa ndio State of the heart yake ?????.

Haya Mara marekan anasema,, kwamba S 400 huwezi Ku integrate na Patriotic Zao ,,, yaaan sijui yupi nibora ya mwenzake ..alafu wapo wasiri sanaaa.
Hivi mkuu unadhani Urusi ni mjinga amuuzie Uturuki S400 ambayo inafanana na ya kwake. Mara nyingi sana hizi export version zinakua zinapunguzwa uwezo haziwi sawa na zile Original ambazo zinatumiwa na mtengenezaji. Hata THAAD atakayouziwa Saudia haitakua sawa na anayotumia Marekani.
Pia mpaka sasa hyo S400 amekubaliwa kuuziwa Uturuki tu, China imesaini mkataba wa mauzo na Urusi lakini Russia inasita kutokana na tabia ya China kucopy then kuja kuuza kwa bei chee.
 
Mkuu hiyo S500 inatengenezwa maalumu kwa ajili ya kutungua makombora, hasa ya IRBM na wamesema pia baadhi ya ICBM, hiyo itakua inafanana kama THAAD ya Mmarekani ni maalumu kwa ajili ya makombora tu. S400 ndo maalumu kwa ajili ya ndege.
S500 inatengenezwa kuja kuchukua nafasi ya A-135 (anti-icbm system), na itatumia technology kama ya THAAD ya hit to kill na sio ile ya kubeba milipuko.
Mkuuu basi habar zinachanganya ,,ukisoma hata saizi utagundua S 400 sifa zake inadungua ndege na makombora .

S 500 wanadai ,wanaipa uwezo wakudungua Hypersonic missile ,, baadhi ya satellite zilizokribu nadunia ,, lkn pia Ndege zenye tech yastealthy ambazo hupita anga LA juu kidogo .

Nmewah soma link inaenda mbali nakusema wanajaribu kupunguza hata Sijui ( wanaiita Projection degree ) ili ziwe nauwezo wakudungua hata ndege zinazopita chin chini.
 
Hivi mkuu unadhani Urusi ni mjinga amuuzie Uturuki S400 ambayo inafanana na ya kwake. Mara nyingi sana hizi export version zinakua zinapunguzwa uwezo haziwi sawa na zile Original ambazo zinatumiwa na mtengenezaji. Hata THAAD atakayouziwa Saudia haitakua sawa na anayotumia Marekani.
Pia mpaka sasa hyo S400 amekubaliwa kuuziwa Uturuki tu, China imesaini mkataba wa mauzo na Urusi lakini Russia inasita kutokana na tabia ya China kucopy then kuja kuuza kwa bei chee.
ILO NDO UMEMALIZA NAMM NILIKUA NAWAZA IVO ..MRUSI MSHENZI SANA ,,KUNA WAKAT ALITAKA KUMUUZIA MUINDI NDEGE VITA KESHAZIPUNGUZA MAKALI ...NDO NIKAJUA KUMBE NDIVO BIASHARA ZINAZOFANYIKA..... SAIZI YEYE HATA IZI S 300 KAZIONGEZEA NAKUA S350 ...
 
China ,,keshalipia ,,ila mzigo unachelewesha kwasababu Mrusi anangojea S 500 zianze kazi...sema mchina lazima akopi tuuu.

Wasiwasi Wangu ,, Mrusi anaweza asimuuzie Mturuki ,,wakat fulan nahisi kwautiruki mrusi anafanya ivo ili edorgan amuunge mkono pale Syria.
 
Mkuuu basi habar zinachanganya ,,ukisoma hata saizi utagundua S 400 sifa zake inadungua ndege na makombora .

S 500 wanadai ,wanaipa uwezo wakudungua Hypersonic missile ,, baadhi ya satellite zilizokribu nadunia ,, lkn pia Ndege zenye tech yastealthy ambazo hupita anga LA juu kidogo .

Nmewah soma link inaenda mbali nakusema wanajaribu kupunguza hata Sijui ( wanaiita Projection degree ) ili ziwe nauwezo wakudungua hata ndege zinazopita chin chini.
Mkuu S400 ilitengenezwa maalumu kama ant aircraft system japo imeongezwa na uwezo wa kudungua baadhi ya makombora. Ni kama vile ilivyo F22 Raptor. Mwanzoni ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya mashambulizi ya anga tu lakini baadae ikaongezewa uwezo wa mashambulizi ya ardhini. Hata hiyo S500 itakua hivyohivyo, ila lengo lake kuu ni kutungua makombora na pia satellites kama ilivyo Arrow ya Israel na SM-3 ya Marekani.
 
S-400 zina cover location fulani tuu.Siyo nchi nzima.Range ya S 400 ni kilometer 400 tu,Na huzi zinalinda base ya Mrusi kule syria.S-400 ni kwa ajiki ya ICBM ndio lengo kuu.Ndo maana uliangalia pia mrusi aliongeza na Pensir-S1 kama short range defense.Ndege zinazopita low altitude ni ngumu sana S-400 ku detect.Pensir-S1 ndo kazi yake hii,lakin pia zina range ndogo zaid.So S-400 haiweze ku protect syria yote mkuu.Basi uwezekano wa Israel kupita Syria ni mkubwa tuu.
Yaaahhhh nikweli mkuuu ,, Sasa Mimi naona hizi silaha nimagumashi tuuu.

Bora muisrael na iron dome zake .
 
ILO NDO UMEMALIZA NAMM NILIKUA NAWAZA IVO ..MRUSI MSHENZI SANA ,,KUNA WAKAT ALITAKA KUMUUZIA MUINDI NDEGE VITA KESHAZIPUNGUZA MAKALI ...NDO NIKAJUA KUMBE NDIVO BIASHARA ZINAZOFANYIKA..... SAIZI YEYE HATA IZI S 300 KAZIONGEZEA NAKUA S350 ...
Ndivyo wanavyofanya mkuu, siri ya silaha anajua anaezitengeneza.

Hata Patriot zilipitia maboresho kadhaa mpaka sasa kuna PAC-3 ambazo Saudia anazitumia kutungua makombora ya Scud kutoka kwa waasi wa Yemen, PAC-4,nk
 
Mkuu S400 ilitengenezwa maalumu kama ant aircraft system japo imeongezwa na uwezo wa kudungua baadhi ya makombora. Ni kama vile ilivyo F22 Raptor. Mwanzoni ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya mashambulizi ya anga tu lakini baadae ikaongezewa uwezo wa mashambulizi ya ardhini. Hata hiyo S500 itakua hivyohivyo, ila lengo lake kuu ni kutungua makombora na pia satellites kama ilivyo Arrow ya Israel na SM-3 ya Marekani.
Aahhhh sawa hapo nmekupata mkuuu.

Izi silaha mi naona km wote hawana nauhakika nazo.

Muisrael tu ndo naona zake ameshazitumia in really combat aiseeee.

Ndo maana saizi wameamua kujikita ktk Electronic warfare ,,nakatika hiii Mrusi yupo mbali sana.
 
Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana.
Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!!

Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ???

Warusi na bajeti finyu lakini bado wanaendelea kufanya makubwa kama haya.

Najiuliza tu maswali mengi sana,

Hivi na lini sisi tutakuwa na ndoto ya kurusha vitu kama hivi angani ???

Hawa wazungu wana nini cha ziada ambacho sisi hatuna ???

Tokea Uhuru tatizo la maji tu halijaisha; Kwanini lakini ???

CC: Bukyanagandi , Dotworld , Dragoon , Vladimirovich Putin , Maalim Shewedy

Ukiwa ufipa sijui ajili zunahamia wapi tumenunua bamberdier kelele nyingi kuwa sio kipaumbele chetu sgr hivyohivyo Mara hii mnataka tununue su35, mtamuelewa baba j mpaka 2020
 
Ndivyo wanavyofanya mkuu, siri ya silaha anajua anaezitengeneza.

Hata Patriot zilipitia maboresho kadhaa mpaka sasa kuna PAC-3 ambazo Saudia anazitumia kutungua makombora ya Scud kutoka kwa waasi wa Yemen, PAC-4,nk
Aiseeee ,, wacha waendeleeee wenzetuuu ,,, sasa ivi hapa bongo ,kunaweza kuwepo hata na SU 27 ?????.
 
Mkuuu basi habar zinachanganya ,,ukisoma hata saizi utagundua S 400 sifa zake inadungua ndege na makombora .

S 500 wanadai ,wanaipa uwezo wakudungua Hypersonic missile ,, baadhi ya satellite zilizokribu nadunia ,, lkn pia Ndege zenye tech yastealthy ambazo hupita anga LA juu kidogo .

Nmewah soma link inaenda mbali nakusema wanajaribu kupunguza hata Sijui ( wanaiita Projection degree ) ili ziwe nauwezo wakudungua hata ndege zinazopita chin chini.
Pia mkuu mpaka sasa ni nchi tatu tu zenye mifumo ya kutungua makombora ya ICBM. Ambazo ni Israel, Urusi na Marekani.

Israel wana Arrow 3.
Urusi wana A-135.
Marekani wana Ground Based Midcourse System.
 
OK nmekuelewa vilivyo mkuuu ,, inamaana wafaransa ,,German ,British wapo hamna kitu ???
 
Aahhhh sawa hapo nmekupata mkuuu.

Izi silaha mi naona km wote hawana nauhakika nazo.

Muisrael tu ndo naona zake ameshazitumia in really combat aiseeee.

Ndo maana saizi wameamua kujikita ktk Electronic warfare ,,nakatika hiii Mrusi yupo mbali sana.
Ndio mkuu. Sasa hivi wanawekeza kwenye vita vya kieletroniki na Hypersonic weapons.
Kama mrusi mwaka huu katest Zircon hypersonic missile. Na Marekani na Australia wakajaribu ya kwao. Mchina nae akafata.
 
Pia mkuu mpaka sasa ni nchi tatu tu zenye mifumo ya kutungua makombora ya ICBM. Ambazo ni Israel, Urusi na Marekani.

Israel wana Arrow 3.
Urusi wana A-135.
Marekani wana Ground Based Midcourse System.
Hizi defense bana zina shortcomings sana.Kiukweli ICBM ikiwa ishachanganya ni ngumu sana kui contain.Hii mifumo ina tatizo kwenye speed na range.
Ndo maana siku hizi wanafikiri ku arm satelites with misslies ili kuweza kudungua ICBM kutoka kwe space.But hii mbinu UN walishapiga marfuku na nchi kubwa zilisha sign.
Ila wataalamu wanasema kuan nchi zinamiliki killer satelites kwa siri kubwa.Warusi na Wamarekani wana tuhumiwa ku weaponise the space,hata baada ya ku sign ule mkataba.
 
Back
Top Bottom