Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Mifumo yao ya elimu iko imara...hawa jamaa elimu ni kama culture vile....wamewekeza sana katika enginnering na technical institutions......
Kwanza tutengeneze baiskeli, tben pikipiki, then motokaa.....mambo ya ndege tusubiri kwanza
Eleza hatari yakeMkuu siyo lazima kila uzi "ujibu"
Wenzako wanaokumbuka kidogo somo la Physics kidogo na kufuatilia haya mambo washaelewa nini namaanisha.
The painful truth.Kwanza tutengeneze baiskeli, tben pikipiki, then motokaa.....mambo ya ndege tusubiri kwanza
Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana.
Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!!
Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ???
Warusi na bajeti finyu lakini bado wanaendelea kufanya makubwa kama haya.
Najiuliza tu maswali mengi sana,
Hivi na lini sisi tutakuwa na ndoto ya kurusha vitu kama hivi angani ???
Hawa wazungu wana nini cha ziada ambacho sisi hatuna ???
Tokea Uhuru tatizo la maji tu halijaisha; Kwanini lakini ???
CC: Bukyanagandi , Dotworld , Dragoon , Vladimirovich Putin , Maalim Shewedy
Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana.
Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!!
Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ???
Warusi na bajeti finyu lakini bado wanaendelea kufanya makubwa kama haya.
Najiuliza tu maswali mengi sana,
Hivi na lini sisi tutakuwa na ndoto ya kurusha vitu kama hivi angani ???
Hawa wazungu wana nini cha ziada ambacho sisi hatuna ???
Tokea Uhuru tatizo la maji tu halijaisha; Kwanini lakini ???
CC: Bukyanagandi , Dotworld , Dragoon , Vladimirovich Putin , Maalim Shewedy
Lockheed wamebak wafanya biashara tuuu wale....sasa kama F-35 yao ikitumiwa na Israel ,,,iliweza kujeruhiwa na S-200 ,,kombora Anga zamiaka ya 1970 hahahahaha Hamna kitu .....Ndege zao nyingi Ma pilot wanasuffer na tatizo LA Upumuaji ,,ndomaana kila siku wanafanya marekbisho tuuu.Wako poa sana. Je lockhead nao vipi?
Wanaishi kwa hewaWazungu hawawazi kula
Ukiwa masikini ni vigumu kuwa na akili.Wanaishi kwa hewa
Nilifatilia Taarifa juuu ya Ajali ya ndege vita nchini marekan ilomuua Pilot wao Mhenga...Ni State of the Art aisee!
Wakomunisti na ubaya wao wote lakini walifanya kazi sana kuendeleza Urusi.
Hii kitu tokea mwaka 1988 mpaka leo inadunda kwa kishindo.....
Wanaweza lkn ukifatilia mandege wanayotumia ,,unaweza kuyadungua hata na Man Pad ,,, mandege yamiaka ya 1960 hahahahhha..... Ndege inakamatwa na Rada za 1950.Hats JWTZ wanaweza hiyo wako ngerengere kawaida sana hiyo.
kazi ya scientist wa fuhrerHivi tuseme ukweli tu,
Umoja wa Kisovieti ungekuwepo mpaka leo unadhani wangukuwa wapi kiteknolojia ???
Maana hizi ndege zote za sasa hivi MiG na Sukhoi zote zilitengenezwa miaka ya Sabini na Themanini hivi.
Sasa kama vile viwanda vya ndege vilivyokuwa Ukraine, Poland na Georgia vingekuwa chini ya Usimamizi moja basi sijui kama leo hii NATO angekuwa na Ubavu wa kupiga hata makelele mengi hivi.
Kinachonifanya niwaze ni kwamba Mrusi bado ana nguvu sana japo anatumia silaha zilizotengenezwa zamani na Umoja wa Kisovieti. Walichofanya wakina Vladmir Putin na wenzake ni kuviboresha (Upgrade) hivi vifaa. Lakini ukiangalia Marekani anatengeneza silaha mpya kila uchwao na ana bajeti kubwa sana lakini bado anasumbuliwa sana Urusi.
NB: Kuwekekeza kwenye Elimu kunalipa sana kuliko hata kuwekeza kwenye Miundombinu.( Education is just sustainable my friend)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji125] mbav zangwazungu mashetani sisi vinyamkela