SU -35 iko vzuri ,,ni 4++ generation , Operation zake Uko Syria tumezishudia sana ,,, hii ndege NATO wanailinganisha na F-35 yao.
Sasa achana nahiyo ,,kuna mashine kizazi chatano wanaiita MIKOYAN MIG-35 ,mamaaaaa mwakan ndo watakua mayo hawa jamaa.ukumbuke MIG ndio familia ya ndege vita zinazokimbia kwa kasi yaajabu kushinda zote
.
Sasa iyo nichamtoto ,,kuna Mashine wanategemea kuipata 2019 inaitwa PAK-FA ,au SU 57 AU T 50 ..hiii mashine nikizazi chasita ambacho mpaka sasa hamna vikinga Anga vyovyote vitakavyoweza kuizuia hiii mashine ,,, wao wanasema Imekuka kutawala Anga .
.
Sisi tuendeleee kunywa uji wakuuu