Hii ndege ni hatari sana ikitokea vita

Hii ndege ni hatari sana ikitokea vita

Mkuu unazungumzia air defenses hizihizi za mrusi ambazo Israel amekua akizilipua kule Syria tangu miaka ya 80 hadi leo kwa kutumia F-15 na F-16 za miaka ya 1970.
Embu ingia Google andika OPERATION MOLE CRICKET 19

Hahaaaaa mkuuu anachofanya Israel saizi ni anatumia makombora ya angan ,akiwa yupo Anga LA Lebanon ,au Jordan maana huko ndiko umbal ambao S-200 hazifanyi kazi.

Asante kwa video ,nitaichek.
 
Hats JWTZ wanaweza hiyo wako ngerengere kawaida sana hiyo.

!
!
Zile za huku ni za kumwagilia madawa shambani. Huko kwa wenzetu zimeshakuwa retired kabisa. Siku hizi wana vitu haina rubani na ambavyo havionekani hata kwa radar. Huku kwetu bado zinapiga kelele kama zinashangilia mwaka mpya. Unaisikia tangu ipo huko kabisa
 
Hahaaaaa mkuuu anachofanya Israel saizi ni anatumia makombora ya angan ,akiwa yupo Anga LA Lebanon ,au Jordan maana huko ndiko umbal ambao S-200 hazifanyi kazi.

Asante kwa video ,nitaichek.
Kwahyo hata ile OPERATION ORCHARD alivyolipua kinu cha nyuklia cha Syria nayo alikua anga la Lebanon?!
 
Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana.
Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!!
Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ???
Warusi na bajeti finyu lakini bado wanaendelea kufanya makubwa kama haya.

Najiuliza tu maswali mengi sana,
Hivi na lini sisi tutakuwa na ndoto ya kurusha vitu kama hivi angani ???
Hawa wazungu wana nini cha ziada ambacho sisi hatuna ???
Tokea Uhuru tatizo la maji tu halijaisha; Kwanini lakini ???

CC: Bukyanagandi , Dotworld , Dragoon , Vladimirovich Putin , Maalim Shewedy

ni ya kawaida sana,sema wewe ndo unaona kuwa ni hatari,kaa chini fatilia hizo ndege vizuri ndipo utajua tofauti na hipi bora
 
Kwahyo hata ile OPERATION ORCHARD alivyolipua kinu cha nyuklia cha Syria nayo alikua anga la Lebanon?!
Ujue nn ,mkuuu hizi S 200 zasyria ,, wakat fulan urusi ndio ilikua ikivujisha Code zao kwa muisrael ..matokeo yake ,,muisrael anazilock down ,,alafu anakufanya anavyotaka ....

Mfano ,,mrusi kamuuzianmuiran s300 ,,, alafu akampa muisrael code ...S 300 rada zake zinauwezo wakukava Syria hadi Israel ( kama sijakosea ). Muiran akawa anashangaa kwann Israel anamshambulia Syria ,narada zake hazisomi ??? . ndo Iran mainjia wake wakazama chimbo wakajua huo mchezo wakabadili nakodi zote ...tokea hapo Israel anaingia Syria kwa machale Sana'a.

Niseme ,,operation yakulipua vile vinu ,,mrusi ndio album husika .
 
Mkuu una uhakika gani kama Mrusi amekua akivujisha hizo code kwa Israel?!. Yani Mrusi ni mjinga avujishe code kwa adui halafu silaha zake zije kukosa soko kwamba ni bure si chochote si lolote?!
Yani leo hii Marekani avujishe code za Patriot au THAAD kwa Iran, inaingia akilini hiyo?!

Na hiyo mada ya Iran kutuma mainjinia wake Syria ilishajadiliwa humu, tena nakumbuka nilimwambia Elungata kwamba hiyo haitasaidia, na haikuchukua hata wiki Israel akafanya tena shambulio tena ndani kabisa ya Syria kwenye mji unaitwa Palmyra.

Ukweli ni kwamba Israel amekua akizifanyia mazoezi hizo air defenses za Urusi miaka mingi. Hasa S300 ambayo jeshi la Ugiriki inaimiliki. Hivyo inakua rahisi kwake kujua namna ya kuzidefeat.
 
SU -35 iko vzuri ,,ni 4++ generation , Operation zake Uko Syria tumezishudia sana ,,, hii ndege NATO wanailinganisha na F-35 yao.

Sasa achana nahiyo ,,kuna mashine kizazi chatano wanaiita MIKOYAN MIG-35 ,mamaaaaa mwakan ndo watakua mayo hawa jamaa.ukumbuke MIG ndio familia ya ndege vita zinazokimbia kwa kasi yaajabu kushinda zote
10ace3288fac05a5d8bdbf6839d41092.jpg
.

Sasa iyo nichamtoto ,,kuna Mashine wanategemea kuipata 2019 inaitwa PAK-FA ,au SU 57 AU T 50 ..hiii mashine nikizazi chasita ambacho mpaka sasa hamna vikinga Anga vyovyote vitakavyoweza kuizuia hiii mashine ,,, wao wanasema Imekuka kutawala Anga .
98d07590d83c0542feb78451016b36c0.jpg
.

Sisi tuendeleee kunywa uji wakuuu
Nikurekebishe hapo kwenye T-50. Hii ndege still bado iko kwenye development, not combact approved. Remember kuna F-22 ,wako kwenye hii stealth game sikunyingi na ni combact approved and still on updating.
 
Kwasasa nakubaliana na wewe ndege vita siyo Kipaumbele,
Lakini hata za Abiria na mizigo hatuna maono nazo pia ???
Hivi tungekuwa tumewekeza kwenye elimu kwa spidi ile ile ya Mwalimu unahisi leo hii tungekuwa wapi ???

NB: Mbona India wanarusha hadi vyombo nje ya dunia ???
Si tumenunua ndege za kutosha tu na zingine tano (Bombadier 3 na Boing 2) zipo njiani kutua nchini. tatizo liko wapi? Siyo lazima kila kitu utengeneze wewe mwenyewe ndo uonekane tajiri Hata china inanunua ndege toka Marekani. Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa "comparative advantage" kwamba gharama ya kuzaliwa mwenyewe inapokuwa kubwa basi unaamua kuagiza toka nje badala ya kutengeneza mwenyewe na kinyume chache. Pia tupo katika open Economy, hivyo siyo lazima kutengeneza wenyewe kila kitu kama gharama ya kuzalisha wenyewe kwa sasa inaonekana kubwa kubwa kuliko kununua toka nje.
 
Mkuu una uhakika gani kama Mrusi amekua akivujisha hizo code kwa Israel?!. Yani Mrusi ni mjinga avujishe code kwa adui halafu silaha zake zije kukosa soko kwamba ni bure si chochote si lolote?!
Yani leo hii Marekani avujishe code za Patriot au THAAD kwa Iran, inaingia akilini hiyo?!

Na hiyo mada ya Iran kutuma mainjinia wake Syria ilishajadiliwa humu, tena nakumbuka nilimwambia Elungata kwamba hiyo haitasaidia, na haikuchukua hata wiki Israel akafanya tena shambulio tena ndani kabisa ya Syria kwenye mji unaitwa Palmyra.

Ukweli ni kwamba Israel amekua akizifanyia mazoezi hizo air defenses za Urusi miaka mingi. Hasa S300 ambayo jeshi la Ugiriki inaimiliki. Hivyo inakua rahisi kwake kujua namna ya kuzidefeat.
Hapana ,,ujue kila Pair moja ya silaha inakua na Kodi zake ..hamna zao LA silaha zaanga kwaurusi zenye kodi moja . ivo kila nchi inayonunua mfumo Wa kirusi waanga ,HUWA wanapewa Kodi zao maalumu.

The same kwa ilivyo THAAD na Patriotic za US ..

Muisrael ,,ndio aliwahi kujaribisha S 300 kupitia mazoezi yakijeshi naugriki ,, ila kiukweli mpaka sasa bado hajawa nauhakika wakuzidungua izi silaha kupitia kujipenyeza kwandege .

Anachofanya Israel ,,,nikuzilocate zilivyo ,,alafu anakuja kuzishambulia kwakutumia makombora ya mbali ,,lkn sio kuingia Syria moja kwamoja .
Mkuu una uhakika gani kama Mrusi amekua akivujisha hizo code kwa Israel?!. Yani Mrusi ni mjinga avujishe code kwa adui halafu silaha zake zije kukosa soko kwamba ni bure si chochote si lolote?!
Yani leo hii Marekani avujishe code za Patriot au THAAD kwa Iran, inaingia akilini hiyo?!

Na hiyo mada ya Iran kutuma mainjinia wake Syria ilishajadiliwa humu, tena nakumbuka nilimwambia Elungata kwamba hiyo haitasaidia, na haikuchukua hata wiki Israel akafanya tena shambulio tena ndani kabisa ya Syria kwenye mji unaitwa Palmyra.

Ukweli ni kwamba Israel amekua akizifanyia mazoezi hizo air defenses za Urusi miaka mingi. Hasa S300 ambayo jeshi la Ugiriki inaimiliki. Hivyo inakua rahisi kwake kujua namna ya kuzidefeat.
 
Nikurekebishe hapo kwenye T-50. Hii ndege still bado iko kwenye development, not combact approved. Remember kuna F-22 ,wako kwenye hii stealth game sikunyingi na ni combact approved and still on updating.
Yaaahhhh nikweli ndomaana nikasema kufikia 2019 kama wanavyodai itakua sawa mkuuu.

Sema hiii F -22 ndio bado inamsumbua mrusi ,,lkn haya ma F-35 ,,hamna kitu.
 
Hapana ,,ujue kila Pair moja ya silaha inakua na Kodi zake ..hamna zao LA silaha zaanga kwaurusi zenye kodi moja . ivo kila nchi inayonunua mfumo Wa kirusi waanga ,HUWA wanapewa Kodi zao maalumu.

The same kwa ilivyo THAAD na Patriotic za US ..

Muisrael ,,ndio aliwahi kujaribisha S 300 kupitia mazoezi yakijeshi naugriki ,, ila kiukweli mpaka sasa bado hajawa nauhakika wakuzidungua izi silaha kupitia kujipenyeza kwandege .

Anachofanya Israel ,,,nikuzilocate zilivyo ,,alafu anakuja kuzishambulia kwakutumia makombora ya mbali ,,lkn sio kuingia Syria moja kwamoja .
Teknolojia ya kujipenyeza kwa ndege maarufu kama Stealth imekua ikitumiwa na Marekani kwa miaka sasa. Kuanzia Iraq,Yugoslavia,nk.

Mkuu kuzilocate hizo mobile sam kwenyewe ni shughuli,lazima uwe na mfumo wa kudetect hizo radar signals ndo uweze kuzishambulia.Na mpaka sasa kuna makombora maalumu ya kushambulia hizo rada yanaitwa Anti Radiation Missiles.
Njia nyingine ni kuzijam, nk.
Israeli Air Force Team Up With Greeks to Train Against S-300 Missile System
 
Yaaahhhh nikweli kabisaa ulichoongea ..
Niongezeee tuuu muisrael anatumia majasusi sana kulocate izi mambo kuliko hata teknolijia yake.

Asante pia kwa Ku upload link ihiii ,,niliwah isoma mahali.

Lkn mkuuu ,,hiii imekaaje nchi husika kutumia mitambo yawatu kufanyaazoezi namaadui ??????

Angslia saizi juuuya mgogoro Wa Uturuki S 400 na patriotic za wamarekan ,,, wanavutana sana
 
Yaaahhhh nikweli ndomaana nikasema kufikia 2019 kama wanavyodai itakua sawa mkuuu.

Sema hiii F -22 ndio bado inamsumbua mrusi ,,lkn haya ma F-35 ,,hamna kitu.
Kumbuka hiyo F-35 sio air superiority fighter kama F-22.Na bado ipo kwenye majaribio.

Pia hiyo ndege inatumika kama mini awacs kwa ajili ya kudetect aerial threats. Mfano mwaka huu mwanzoni walifanya mazoezi ambapo F-35 ilidetect ant ship na cruise missiles.
Pia kumbuka hata F-22 wakati wa majaribio ilikua na matatizo kibao ikiwemo ya oxygen, lakini leo ni tishio. Tuipe muda hiyo F-35 utakuja nambia.
 
Hahahahaha F 35 hata wakiipa muda vipi ,, haiwezi kua tishio kama F 22 . izi F 22 ndo zinazompa homa mrusi basi ,, lkn naye karibu azipatie ufumbuzi .,, wacha tusubiri S 500 ..
 
Hahaaaaa mkuuu anachofanya Israel saizi ni anatumia makombora ya angan ,akiwa yupo Anga LA Lebanon ,au Jordan maana huko ndiko umbal ambao S-200 hazifanyi kazi.

Asante kwa video ,nitaichek.
Mwaka jana Israel alipiaga hadi damascus kwenye ghala la silaha zilitotakiwa kupelekwa lebanon kwa hezbillah.Israek ku penetrate air defense za waarabu haijaanza leo.Hili tukubali tu kwamba wanauwezo,kuukataa ukweli haitasaidia sana...
Pia hakuna air defense isiyoweza kuwa panetrated,kinachohitajita ni kuzi detect location zilipo,then unazi overwhelm na cruise missiles kwa wingi sana,lazima zitazidiwa.Ndo maana unaona siku hizi nchi zina invest zaid kwe 5th generation fighters kwa ajili ya ku detect defenses kutoka umbali fulani na kurusha cruise missiles.
Air defense yoyote ukiwa na tech na pilot mzuri zinapitika vizuti tuu.
Shida inakuwa kuzi detect zilipo na kuzi shoot kabla zenyewe hazija ku detect.
 
Yaaahhhh nikweli kabisaa ulichoongea ..
Niongezeee tuuu muisrael anatumia majasusi sana kulocate izi mambo kuliko hata teknolijia yake.

Asante pia kwa Ku upload link ihiii ,,niliwah isoma mahali.

Lkn mkuuu ,,hiii imekaaje nchi husika kutumia mitambo yawatu kufanyaazoezi namaadui ??????

Angslia saizi juuuya mgogoro Wa Uturuki S 400 na patriotic za wamarekan ,,, wanavutana sana
Sijajua kwa Urusi lakini kwa Marekani silaha zake amekua na masharti kadhaa unasaini ikiwemo kukataza kufanya majaribio kadhaa, nikipata link yake ntakutumia mkuu.

Mkuu huo mgogoro wa Marekani na Uturuki kuhusu S400 ni kwamba. Marekani inahofu kwamba S400 itakua inakusanya data juu ya baadhi ya madhaifu ya F-35 na kutuma kwa Urusi kupitia S400.Ambapo baadae madhaifu hayo yatatumika na Urusi kuboresha mifumo yake kwa ajili ya kudetect F-35 na hivyo kuexpose technology iliyotumika kwenye F-35.
Ndo maana nasikia Marekani anataka kukata oda ya Uturuki kununua F-35.
Jaribu kufatilia huu mgogoro hasa kupitia RT utajua mengi zaidi.
 
Mwaka jana Israel alipiaga hadi damascus kwenye ghala la silaha zilitotakiwa kupelekwa lebanon kwa hezbillah.Israek ku penetrate air defense za waarabu haijaanza leo.Hili tukubali tu kwamba wanauwezo,kuukataa ukweli haitasaidia sana...
Pia hakuna air defense isiyoweza kuwa panetrated,kinachohitajita ni kuzi detect location zilipo,then unazi overwhelm na cruise missiles kwa wingi sana,lazima zitazidiwa.Ndo maana unaona siku hizi nchi zina invest zaid kwe 5th generation fighters kwa ajili ya ku detect defenses kutoka umbali fulani na kurusha cruise missiles.
Air defense yoyote ukiwa na tech na pilot mzuri zinapitika vizuti tuu.
Shida inakuwa kuzi detect zilipo na kuzi shoot kabla zenyewe hazija ku detect.
Ujue nn mkuuu ,,, Syria kwa sasa kuna S 2000 ...s 300 ,,400 Nahii AWCS PLANE ,, kinachonifanya niamin Mrusi ndio anaruhusu hata mashambulizi ya Israel syria ,,niuwepo Wa aina silaha lkn mrusi anakua anaziturn OFF kisha Israel inashambulia .
 
Back
Top Bottom