Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
[emoji23] [emoji23]Duuuh ndege inapinduliwa pinduliwa kama karatasi
[emoji23] [emoji23]Duuuh ndege inapinduliwa pinduliwa kama karatasi
f-22 imekua na matatizo mengi sana toka ilipoanza kutengenezwa japo ina sifa nyingi lakini ni elephant project.Lockheed martin au F-22 haijapata mbadala mpka wakati huu naandika
f-22 imekua na matatizo mengi sana toka ilipoanza kutengenezwa japo ina sifa nyingi lakini ni elephant project. Mwaka jana zote zilikua grounded kwa kudevelop cracks kwenye fan za engine.Lockheed martin au F-22 haijapata mbadala mpka wakati huu naandika
SU-57 ndio kizazi cha Tano na imeshaanza majaribio kadhaa karibia itaingia Sokoni!Ndege nyingi kizazi cha tano lazima iwe na uwezo wa kutoonekana kwenye "Rada"hii ni moja wapo ya sifa ya ndege hizoHii chumvi ya humu kiboko aseeee.
Mpaka sasa nchi yenye ndege zinazofanya kazi ambazo ni 5th generation ni Marekani na China tu.
Marekani ni F22 ilianza kazi mwaka 2005.
China ni J-21 kama sikosei, imeanza kazi 2017 mwezi October.
Haya hiyo ya kizazi cha sita imeanza lini?!
tena hili la magari walisema gari ya kwanza itaanza kutembea december 2016, mpaka leo limebaki jina, sioni nyumbu wala kongoniNafahamu mkuu marubani wazuri lazima wapo hapa nchini kwetu,
Lakini swali la msingi hapa ni hili tu:
kwanini kila siku tutake kununua na kurusha ndege za Wachina, Warusi na Wamarekani ???
Kwanini tusiwaze hata siku moja kutengeneza ndege zetu hata za Abiria na Mizigo tu ???
Tulikuwa na ndoto za kutengeneza magari, lakini leo zile ndoto hazipo, kwanini ???
Ndugu yangu ndege zipo za aina mbalimbali,kuna ndege za kushambulia ardhini,hii hubeba mabomu makubwa tu,kuna zile ambazo hubeba mabomu ya aina yote ya ardhini pamoja na kushambulia hewani pindi inapokutana na ndege nyenzake ya kivita..n.k,Mrusi anazo hizo zote jaribu kufanya tafiti ujue ni mataifa gani yana aina gani za ndege!Jamani muache utani tangu lini Sukhoi ikalinganishwa na
1. F 22 raptor
2. F 35 lighting stealth
3. B 2 bomber au
4. F 117
5. Av-8 harrier
Mrusi hana hata Ndege ya kutua kwenye Manowari
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Si tumenunua ndege za kutosha tu na zingine tano (Bombadier 3 na Boing 2) zipo njiani kutua nchini. tatizo liko wapi? Siyo lazima kila kitu utengeneze wewe mwenyewe ndo uonekane tajiri Hata china inanunua ndege toka Marekani. Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa "comparative advantage" kwamba gharama ya kuzaliwa mwenyewe inapokuwa kubwa basi unaamua kuagiza toka nje badala ya kutengeneza mwenyewe na kinyume chache. Pia tupo katika open Economy, hivyo siyo lazima kutengeneza wenyewe kila kitu kama gharama ya kuzalisha wenyewe kwa sasa inaonekana kubwa kubwa kuliko kununua toka nje.
Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana.
Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!!
Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ???
Warusi na bajeti finyu lakini bado wanaendelea kufanya makubwa kama haya.
Najiuliza tu maswali mengi sana,
Hivi na lini sisi tutakuwa na ndoto ya kurusha vitu kama hivi angani ???
Hawa wazungu wana nini cha ziada ambacho sisi hatuna ???
Tokea Uhuru tatizo la maji tu halijaisha; Kwanini lakini ???
CC: Bukyanagandi , Dotworld , Dragoon , Vladimirovich Putin , Maalim Shewedy
tena hili la magari walisema gari ya kwanza itaanza kutembea december 2016, mpaka leo limebaki jina, sioni nyumbu wala kongoni
Hakuna ndege isiyohtaji maintanance and upgrades,Kila nchi huwa ina budget kwa ajili ya maintanance na upgrades kwenye military hardware.F-22 zilipigana vita ya Iraq na zili perform vizuri sana.Zilikuwa grounded kwa ajili ya maintanance wala siyo matatizo kama unavyo adress wewe.f-22 imekua na matatizo mengi sana toka ilipoanza kutengenezwa japo ina sifa nyingi lakini ni elephant project.
f-22 imekua na matatizo mengi sana toka ilipoanza kutengenezwa japo ina sifa nyingi lakini ni elephant project. Mwaka jana zote zilikua grounded kwa kudevelop cracks kwenye fan za engine.
Usiwatoneshe NATO na S-500! Zimefunga anga lote LA Russia liko salama! Hakuna ndege wala missile inayoweza kukatisha!!Hahahaha Mrusi akitoa kitu katoaaa.
Subiri saizi anamalizia S-500 yake .waakuambia yanauwezo Wa ku intercept hata hypersonic missiles.