ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Sisi tumezidi uoga, kwa yale niliyoyaona Jana. 2020 hamna chetuYaani sisi waoga au Mimi?
Sisi tumezidi uoga, kwa yale niliyoyaona Jana. 2020 hamna chetuYaani sisi waoga au Mimi?
Viongizi wanajua kabisa wakiweka demokrasia hawawezi pita.Sisi tumezidi uoga, kwa yale niliyoyaona Jana. 2020 hamna chetu
sisi tunatumia MiG 19-21 ambazo kwao ni vyumba chakavu .. hawazirushi sababu sio salama kwa matumizi ya binadamuHats JWTZ wanaweza hiyo wako ngerengere kawaida sana hiyo.
bora hta ungesema F-35 ningekuelewa ... yaani ukitoa Sukhoi-35 mbadala wake ni MiG-39F-22 raptor ndio baba ake
Lockheed martin au F-22 haijapata mbadala mpka wakati huu naandikabora hta ungesema F-35 ningekuelewa ... yaani ukitoa Sukhoi-35 mbadala wake ni MiG-39
Jewel in the palace Hii ndio my first Korean drama to watched ikanishawishi kuzipenda drama zingine za Korea, kifupi Huyo Dada alivaa uhalisia ana kipaji hasa si mchezo, yaani si mchezodae jang geum alikuwa ni msichana aliyetokea katika tabaka la chini wakati wa utawala wa joseon na alikutana na changamoto nyingi sana ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia (mfumo dum) lakini alipambana mpaka kufikia kuingia ikulu na kufanya kazi za upishi na hadi kuwa daktari wa kwanza wa kike wa mfalme katika historia ya joseon.
ni drama ambayo ilikuwa na wastani wa kuangalia nchini korea wa 47% na hadi sasa inabaki kuwa ni miongoni mwa drama zilizoangaliwa zaidi nchini korea.
inakadiriwa bajeti ya drama hii ilikuwa ni usd 15 million ambapo kwa pesa ya kwetu sisi kwa wakati huu ni kama billion 35.
takribani nchi 90 zilinunua haki miliki ya drama hii na inakadiriwa mauzo ya drama hii nje ya korea ni usd million 105 ambazo ni kama billion 230 kwa pesa ya mzee wa chato.
Lockheed martin au F-22 haijapata mbadala mpka wakati huu naandika
Jay One haya mambo ya ndege-vita tunaweza tukasifia na kupitia kwenye mitandao kama unavyosema hapa,
Lakini ndani ya uwanja wa vita yanayotokea huwezi kuamini kabisa yanyotokea mkuu.
Ushahidi tosha ni huu
1. Jinsi ndege za Marekani zilivyofanywa na MiG za Warusi kule vietnam hawakuamini.
2. Jinsi ndege za NATO zilivyotunguliwa na makombora ya Kirusi kule Yugoslavia wakaficha.
NB: Tutazisifia hizi ndege vizuri baada ya kuona uwezo wake kwenye uwanja wa vita na siyo hizi blah blah za mitandaoni kwasababu kila mwambangoma huvutia kwake kwasababu ya biashara.
Am a very competent Pilot & Aircraft Engineer ( Licenced) and i schooled & accomplished my intensive flying studies in Florida, U.S, and i used to go in & out of U.S for recurrency Pilot training. So listen very carefully what am telling you, esp. about aviation. Am an expert and not just copying and pasting what i don't know in deep..
So, F-22 and F-35 are killer air machines.. SU-35 has no capabilities of those two Warplanes..!! Hata kidogo..!!
Kivipi fafanua hapaUjue nn mkuuu ,,, Syria kwa sasa kuna S 2000 ...s 300 ,,400 Nahii AWCS PLANE ,, kinachonifanya niamin Mrusi ndio anaruhusu hata mashambulizi ya Israel syria ,,niuwepo Wa aina silaha lkn mrusi anakua anaziturn OFF kisha Israel inashambulia .
Any nut-job behind the keyboard can even say he dated Michelle Obama.
Keep bragging but i can assure you one thing that any Mentally fit and a man of logic can fathom: War is perfect laboratory........Not this gibberish and hullabaloos "I'm a certified Pilot"
NB: Keep dreaming
[HASHTAG]#IdatedMichelleObamaatPrincenton[/HASHTAG].
U have one biggest problem... LOWEST IQ, and you think everybody here is just no body..!! Those nasty words of urs, show how unschooled you are..!! And if you are a CERTIFIED PILOT tell me where you went for ur training & what licence you have.!! Bcoz you failed to tell even F-22 or F-35 is by far better off than SU-35.. That is where you seem black minded..!!
Imepata T 50!(Sukhoi Su 57)Lockheed martin au F-22 haijapata mbadala mpka wakati huu naandika
Bwahahaha!
[HASHTAG]#idatedmichelleobamaatprincenton[/HASHTAG]