Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

"Morning ndessa" siku hizi sizioni sana barabarani.
 
Huyo mwenye matege ipo siku alitukamata akasema yy ana roho mbaya kama sura yake so hata tukimchukia haisaidii sababu anajijua yy ni mbaya
 
Kumbe hii ya kupeleka hesabu ni ya kitambo tu,tangu awamu ya 4 wanapeleka hesabu bado hazija jaa tu?
 
Thread ya June 2015 lkn mpk leo Hali ya ma-traffic haijabadiliki mazee.

Sanasana inazidi kua tete tu.
 
Huyo mwenye matege ipo siku alitukamata akasema yy ana roho mbaya kama sura yake so hata tukimchukia haisaidii sababu anajijua yy ni mbaya
Hahah ila watu wenye roho ngumu wanadumu sana,tangu ameanza kulalamikiwa mpk leo anadunda tu mamaeee.
 
Wako watumiaji wa barabara ambao ni maafisa wa takukuru na usalama wa taifa na wanashuhudia vitendo hivyo


Hawa ndiyo walitakiwa kuisaidia serikali lakini ndiyo kwanza miaka nenda rudi hawana msaada wowote, usishangae nao wanakamuliwa upepo
 
Kwa kweli ni kero tupu. Usumbufu wa makusudi wakati kwa teknologia ya sasa unapashwa na ni zaidi rahisi kujua gari zilizolipiwa zilizoko barabarani, zinazodaiwa leseni zilizokwisha muda wake, gari ambazo hazijakaguliwa nk. Kuna misuse ya resource kwa kwa hali ya juu tu. Kodi kwa maana ya mishahara kwa utendaji kazi wa aina hii ni dhuluma dhidi ya walipa kodi. TUKAJIFUNZE JAPO RWANDA WANAFANYAJE KWENYE HILI.

YAANI NACHALEA KUSEMA KWA SASA RUSHWA IMESHAMIRI KWELI KWELI NATHUBUTU KUSEMA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE.
 
trafiki arusha wanakula rushwa sana na ni wasumbufu mnoo ukiwa na kila kitu wanakuomba elfu tano ya supu.

hii inchi kila kona ni kero.
 
Huwajui vizuri Trafiki wa Arusha wewe eeh?,watakugusa tu,labda uwe na mkonge tu ndo hutasumbuliwa,otherwise,watakushambulia wote na wanataka pesa yako kwa ulazima,hata kama ni kubambikiziwa kakitu.
Huo ni uboya traffic police muache uonevu kwa maslahi binafsi
 
Siku zote najiuliza hivi hii takukuru yetu huwa inang'ata mpaka ipewe amri ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…