Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Unaweza usitoe hata kumi, shida unasimishwa hata mara tano hiyo ni asubuhi unaenda kazini, hebu fikiria kupoteza a minmum of 10min ukiwa unaenda kazini. Siku inaharibika yote.
Kuwapa rushwa tunataka wenyewe...
Hakikisha gari lako halina kasoro yeyote...
Na ukiendesha fuata sheria za barabarani, hakuna trafic atakayekugusa...