Hao tena nao ni shida balaaa, kuanzia makuyuni, magugu, minjingu, vituo kibao wamejazana na wanataka hela kwa nguvuSiku hiyo nilikuwa Kanisani pale Christ Church, nilisikia bang, kinaendelea na ratiba ya ibada. Nilipotoka nilikuta gari lililowagonga na viatu pembeni, niliwaonea huruma lkn ndo hivyo ishatokea.
Ukweli Traffic police wa Arusha na Manyara (barabara ya Arusha-Babati) ni shida.
Miaka kadha iliyopita nilikuwa natoka Arusha Alfajiri kwenda mkoa. Nilipofika karibu na Magugu trafiki Polisi akanisimamisha. Nilipoondoka tu, kilometa moja mbele, nikamkuta trafiki mwingine akiwa anaendesha baiskeli, aliponiona akasimamisha baiskeli yake na kunisimamisha. Kwa hasira nikamwambia yaani mwenzako amenisimsmisha hapo nyuma kidogo nawe unanisimamisha! Akaona aibu akasema 'nenda'. Inaonekana alikuwa anatoka kukesha kazini na alikuwa anatafuta hela vitafunwa vya kwenda navyo nyumbani kwake.
Dawa Yao Ni kuwafanya Fundi viatu
Kuna trafiki mmoja anaitwa Ndesa, hivi bado yupo Arusha?
Kahamishiwa Boma Ng'ombe ila bado anakaa USA asubuhi anaenda Boma
Au tuwakolimbe kuwapunguza mzuka wa rushwa hawa watu?!! Mungu apishe mbali;
Ndugu yanhgu Jembe Afrika una hoja kubwa sana hapa na ya maana sana lakini; hawa ni ndugu zetu tu; shida ni mfumo wenyewe!! kama trafiki anapewa lengo (target figure) akusanye pesa kiasi fulani apeleke ama ofisini au kwa mkubwa fulani kwa sababu zake; trafik atafanyaje jamani?! hata wao ni binadamu; kazi ndizo zinatuweka mijini; wana familia kama sisi na malengo ya maisha mengine kama sisi?! kama huko juu wanakula rushwa kama panya!!; wao wafanyeje jamani au kanuni ya uadilifu inawahusu wao tu "foot soldiers on the beat"?!
Ushauri wa bure;
Option I:: Kuna dhana hii: if you can not fight them; better join them or else you will be the looser!; shauri yako Jembe Afrika; jiunge na mfumo; befriend or be polite to them utaiona Arusha kama free way za California au Autobhan za Ujerumani na kwingineko in the first world ambako mifumo na taasisi ziko so transparent kiasi kwamba kero kama hizi za hovyo hovyo huwezi kuziona huko Ughaibuni.
Option II: Jiunge na VuguVugu la mabadiliko; tuliondoshe hili Zimwi linaitwa CCM; Ukoo wa panya; lililovurugavuruga mifumo ya uwajibikaji likatufikisha hapa tulipo; Vilio kulia na kushoto, vilio juu na chini; Vilio katikati, magharibi, kusini mashariki na kaskazini; kila mahali ni UUUUUUUUUUUwiiiiiiiiiiiiiii!!
Jembe Afrika join the movement for reforms and reconstruction of mother Tanzania; that is UKAWA 2015
Kuna trafiki mmoja anaitwa Ndesa, hivi bado yupo Arusha?
Kweli ikifikia hivyo wanaudhi, sasa hiyo barabara moja wanajazwa matrafiki wangapi?
Huyo kamanda wa trafiki wa huko itakuwa ni Mchagga!
Kweli ikifikia hivyo wanaudhi, sasa hiyo barabara moja wanajazwa matrafiki wangapi?
Huyo kamanda wa trafiki wa huko itakuwa ni Mchagga!
Ushauri wa bure;
Option I:: Kuna dhana hii: if you can not fight them; better join them or else you will be the looser
Kuna trafiki mmoja anaitwa Ndesa, hivi bado yupo Arusha?
Mimi nimeamua kufanya hivyo.........coz hata nizikiri uchi.........nothing will change..........nchi ishakuwa ya kipuuzi hii........
sitaki presha zisizo za lazima..........