Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,611
Reaction score
9,269

Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026.

Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa kwa ufupi:

1. Ametuomba watu wote kuiombea nchi na taifa letu

2. Kwamba, watu wengi hatujui nafasi ya Rais katika taifa/nchi yoyote. Kwamba, Rais (kiongozi mkuu wa taifa/nchi) akitikiswa, taifa na nchi yote inatikisika. (Kwa hili, binafsi nakubaliana na Vice President Dr. Emmanuel Nchimbi bila kujali Rais ameingia au kaupata huo uRais kwa njia gani, ya HAKI au HARAMU)

3. Amesisitiza tumwombee Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu ampe hekima, busara na roho ya ufahamu ili imwezeshe kutambua lipi jema analipoaswa kufanya na lipi baya asilopaswa kulifanya (Hili pia, binafsi nakubaliana VP Dr. Emmanuel Nchimbi).

4. Kipekee sana, amesisitiza kuwa tumwombee Rais Samia ili Mungu ampe roho ya kuwatambua na kuchagua wasaidizi wenye kumshauri mema na sio mabaya.

MAONI YANGU BINAFSI KWA WITO HUU WA VP DR. EMMANUEL NCHIMBI

👉🏻MOSI: Binafsi simpendi na nisingependa kumuona huyu mwanamke akiendelea kuwa Rais wa nchi na taifa letu kwa sababu kila mtu akiwemo yeye mwenyewe anajua na kutambua kwa hakika kabisa kuwa HAKUUPATA URAIS HUU KWA KURA ZA WANANCHI. AMEUPATA KWA ULAGHAI NA 'KUUA' MAELFU YA WATU ANAODAI KUWA ANAWAONGOZA!

👉🏻Lakini kwa kuwa kaupata Urais kwa njia zisizo halali, za ulaghai ndio maana yanampata yanayompata. Na honestly, Mungu amemruhusu ajiite na Rais wa Tanzania kwa malengo na makusudi maalumu. Kwa hiyo, hata kama mimi simpendi na sitaki awe Rais, ili mradi Mungu Yehova atawalaye mbingu na dunia ameruhusu hili, mimi ni nani nipinge?

👉🏻Ninachoweza kusema kwa sasa ni hili: KWAMBA, MAKUSUDI NA MAPENZI YA MUNGU WA MBINGUNI YATIMIZWE KTK NCHI NA TAIFA LETU KAMA VILE YATIMIZAVYO HUKO JUU MBINGUNI..!

👉🏻Naitikia wito wa Dr Emmanuel Nchimbi na haya ndiyo maombi yanvu nikisema maneno haya👇🏻👇🏻:

"......Mungu Jehovah muumba wa mbingu na nchi, wewe uwatawalaye wanadamu hapa katika nchi na mataifa kwa kuweka viongozi wanadamu kwa niaba yako namleta mbele zako Rais Samia Suluhu Hassan, japo ameupata utawala wa nchi na taifa letu hili la Tanganyika kwa njia ya ulaghai, udanganyifu kwa kuumiza na 'kuua' na kumwaga damu za watu wako mamia kwa maelfu, lakini ni wewe Mungu ndiye umemruhusu awe Rais wa nchi na taifa la Tanganyika ili malengo na makusudi yako yapate kutimizwa. Mimi sitapinga kamwe mipango yako eeh Baba na Mungu wangu wa mbinguni. Lililo ndani ya uwezo wangu ni kuleta maombi haya kwako juu ya Bi Samia Suluhu Hassan (Rais wa Tanganyika) kwamba, mpe hekima, busara na ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi juu ya nchi na taifa hili. Mpe roho wa ufahamu apate kutambua lipi ni jema apaswalo kulitenda na kulifanyia maamuzi sahihi na lipi baya asiplopaswa kulitenda wala kulifanyia maamuzi yoyote. Ninafunga milango ya pande zote za nchi (kusini, kaskazini, mashariki na magharibi) ambayo roho za adui wabaya wa taifa hili wanapitia kwa watu wakiwa na sura za "washauri wa Rais" lakini lengo lao likiwa ni kuleta uangamivu na uharibifu kwa nchi na taifa letu. Baba na Mungu wangu wa mbinguni narudia tena kusema mbele zako na kuomba kuwa, umemruhusu Bi Samia Suluhu Hassan awe kiongozi mkuu wa taifa na nchi yetu kwa njia hiyo hiyo ovu aliyoitumia kujipatia Urais wa nchi. Natambua kuwa una kusudi jema kwa nchi na taifa letu. Mimi nasema kuwa MAPENZI NA MAKUSUDI YAKO NA YATIMIZWE SASA KATIKA NCHI NA TAIFA LETU KAMA YATIMIZAVYO HUKO MBINGUNI. Naomba haya kwa Jina la YESU KRISTO aliye hai. Amina🙏🏻🙏🏻..."
 
maombi yote yale yalopigwa kabla ya mo29 hayajatosha? mnaweka maombi kwenye vitu visivyo vya maombi
 
Kama nchi haikutikisika kipindi anatangaza kifo Cha magufuli au kama ilitikisika kipindi kile..

Basi Emmanuel asiwe na wasiwasi nchi haitatikisika, na ikitikisika, mtikisiko wake hauta zidi ule wa 2021.
 
sijawahi kumsikia vp wa tanzagiza akiongea hivyo wakati ''sitting president'' yupo tangia uraisi wa Mwinyi na wote waliofwatia, hii ni mpya kabisa ktk kwa vp, kwa kawaida ma vp huwa hawana cha kusema zaidi ya kuwakilisha kwanza wakati mwingine hata huwa tunasahau kama vp yupo, sijawahi kusikia hili, ni dhahiri mambo si shwari kabisa ...
 
👉🏻Lakini kwa kuwa kaupata Urais kwa njia zisizo halali, za ulaghai ndio maana yanampata yanayompata. Na honestly, Mungu amemruhusu ajiite na Rais wa Tanzania kwa malengo na makusudi maalumu. Kwa hiyo, hata kama mimi simpendi na sitaki awe Rais, ili mradi Mungu Yehova atawalaye mbingu na dunia ameruhusu hili, mimi ni nani nipinge?
Mkuu Mchikichi Bichi, The Palm Beach , kwanza wewe ni mtu wa Mungu na una roho wa Mungu ndani yako. Kitendo cha kuku bali ni Mungu ndiye ameruhusu Samia awe rais wetu, wewe nani upinge? hili nimelifundisha sana humu, GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

Jambo la pili ni hii heading yako

"Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!"​

Hii heading, inaonyesha wewe una uwezo wa to read in between the lines, and listen in between the words, ni kweli kauai hii ina mambo makubwa mazito mabaya, ambayo Dr Nchimbi ameyasema, wakiwemo wasiojulikana. Mimi nimeifafanua kwenye bandiko hili PMNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!

Hilo jambo zito na baya, mimi nimelitaja.

P
 
Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026.

Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa kwa ufupi:

1. Ametuomba watu wote kuiombea nchi na taifa letu

2. Kwamba, watu wengi hatujui nafasi ya Rais katika taifa/nchi yoyote. Kwamba, Rais (kiongozi mkuu wa taifa/nchi) akitikiswa, taifa na nchi yote inatikisika. (Kwa hili, binafsi nakubaliana na Vice President Dr. Emmanuel Nchimbi bila kujali Rais ameingia au kaupata huo uRais kwa njia gani, ya HAKI au HARAMU)

3. Amesisitiza tumwombee Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu ampe hekima, busara na roho ya ufahamu ili imwezeshe kutambua lipi jema analipoaswa kufanya na lipi baya asilopaswa kulifanya (Hili pia, binafsi nakubaliana VP Dr. Emmanuel Nchimbi).

4. Kipekee sana, amesisitiza kuwa tumwombee Rais Samia ili Mungu ampe roho ya kuwatambua na kuchagua wasaidizi wenye kumshauri mema na sio mabaya.

MAONI YANGU BINAFSI KWA WITO HUU WA VP DR. EMMANUEL NCHIMBI

👉🏻MOSI: Binafsi simpendi na nisingependa kumuona huyu mwanamke akiendelea kuwa Rais wa nchi na taifa letu kwa sababu kila mtu akiwemo yeye mwenyewe anajua na kutambua kwa hakika kabisa kuwa HAKUUPATA URAIS HUU KWA KURA ZA WANANCHI. AMEUPATA KWA ULAGHAI NA 'KUUA' MAELFU YA WATU ANAODAI KUWA ANAWAONGOZA!

👉🏻Lakini kwa kuwa kaupata Urais kwa njia zisizo halali, za ulaghai ndio maana yanampata yanayompata. Na honestly, Mungu amemruhusu ajiite na Rais wa Tanzania kwa malengo na makusudi maalumu. Kwa hiyo, hata kama mimi simpendi na sitaki awe Rais, ili mradi Mungu Yehova atawalaye mbingu na dunia ameruhusu hili, mimi ni nani nipinge?

👉🏻Ninachoweza kusema kwa sasa ni hili: KWAMBA, MAKUSUDI NA MAPENZI YA MUNGU WA MBINGUNI YATIMIZWE KTK NCHI NA TAIFA LETU KAMA VILE YATIMIZAVYO HUKO JUU MBINGUNI..!

👉🏻Naitikia wito wa Dr Emmanuel Nchimbi na haya ndiyo maombi yanvu nikisema maneno haya👇🏻👇🏻:

"......Mungu Jehovah muumba wa mbingu na nchi, wewe uwatawalaye wanadamu hapa katika nchi na mataifa kwa kuweka viongozi wanadamu kwa niaba yako namleta mbele zako Rais Samia Suluhu Hassan, japo ameupata utawala wa nchi na taifa letu hili la Tanganyika kwa njia ya ulaghai, udanganyifu kwa kuumiza na 'kuua' na kumwaga damu za watu wako mamia kwa maelfu, lakini ni wewe Mungu ndiye umemruhusu awe Rais wa nchi na taifa la Tanganyika ili malengo na makusudi yako yapate kutimizwa. Mimi sitapinga kamwe mipango yako eeh Baba na Mungu wangu wa mbinguni. Lililo ndani ya uwezo wangu ni kuleta maombi haya kwako juu ya Bi Samia Suluhu Hassan (Rais wa Tanganyika) kwamba, mpe hekima, busara na ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi juu ya nchi na taifa hili. Mpe roho wa ufahamu apate kutambua lipi ni jema apaswalo kulitenda na kulifanyia maamuzi sahihi na lipi baya asiplopaswa kulitenda wala kulifanyia maamuzi yoyote. Ninafunga milango ya pande zote za nchi (kusini, kaskazini, mashariki na magharibi) ambayo roho za adui wabaya wa taifa hili wanapitia kwa watu wakiwa na sura za "washauri wa Rais" lakini lengo lao likiwa ni kuleta uangamivu na uharibifu kwa nchi na taifa letu. Baba na Mungu wangu wa mbinguni narudia tena kusema mbele zako na kuomba kuwa, umemruhusu Bi Samia Suluhu Hassan awe kiongozi mkuu wa taifa na nchi yetu kwa njia hiyo hiyo ovu aliyoitumia kujipatia Urais wa nchi. Natambua kuwa una kusudi jema kwa nchi na taifa letu. Mimi nasema kuwa MAPENZI NA MAKUSUDI YAKO NA YATIMIZWE SASA KATIKA NCHI NA TAIFA LETU KAMA YATIMIZAVYO HUKO MBINGUNI. Naomba haya kwa Jina la YESU KRISTO aliye hai. Amina🙏🏻🙏🏻..."
No f’cking way! Yaani sisi tupoteze muda wetu kumuombea muuaji badala ya kuziombea familia za wale waliouawa au kujeruhiwa na yule muuaji?
 
Sijakuelewa ingawa ulikuwa na hoja
 
MOSI: Binafsi simpendi na nisingependa kumuona huyu mwanamke akiendelea kuwa Rais wa nchi na taifa letu kwa sababu kila mtu akiwemo yeye mwenyewe anajua na kutambua kwa hakika kabisa kuwa HAKUUPATA URAIS HUU KWA KURA ZA WANANCHI. AMEUPATA KWA ULAGHAI NA 'KUUA' MAELFU YA WATU ANAODAI KUWA ANAWAONGOZA!
Kwa hili uko sawa ila mama yupo Hadi 2030 labda litokee lililopangwa na Mungu.
Ninachoweza kusema kwa sasa ni hili: KWAMBA, MAKUSUDI NA MAPENZI YA MUNGU WA MBINGUNI YATIMIZWE KTK NCHI NA TAIFA LETU KAMA VILE YATIMIZAVYO HUKO JUU MBINGUNI..!
Aamiyn
namleta mbele zako Rais Samia Suluhu Hassan, japo ameupata utawala wa nchi na taifa letu hili la Tanganyika
Mkuu; Samia ni Rais wa Tanzania na hatujapiga kura hata ya magumashi kuchagua Rais wa Tanganyika. Hawezi na hatakuwa Rais wa Tanganyika kwasababu yeye anatoka Zanzibar. Weka kumbukumbu vizuri ili watu wasipotoke.
 
No f’cking way! Yaani sisi tupoteze muda wetu kumuombea muuaji badala ya kuziombea familia za wale waliuawa au kujeruhiwa na yule muuaji?
Ni kweli, anahusika moja kwa moja na mauaji ya ndugu zetu kina mama, baba, dada na kaka zetu..

Ni kweli pia kuwa, yupo ktk nafasi hiyo ya U - Rais kwa njia haramu za kuiba kura na kujitangaza mshindi mwenyewe bila kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi HURU, WA HAKI na wa WAZI...

Ni kweli pia kuwa, ili kuwa pale alipo alilazimika kumwaga damu za ndugu zetu. Huyu ni Rais wa damu za watu...

LAKINI;

Lengo la kumuombea si ili kwamba Mungu ampe nguvu na uwezo wa kuua tena, LA HASHA..

Tunaomba ili Mungu atende hukumu yake ya HAKI kwake na kwa wote aliowakosea na kuwatetendea mabaya..

Sikia ndugu Pulchra Animo ukiomba Mungu wetu ni wa HAKI. Haonei na wala hapendelei mtu. Hukumu zake daima ni za HAKI. Hivyo tunapomwomba anaweza kujibu maombi yetu kwa kuachilia na kutenda moja ya mambo yafuatayo:

1. Anaweza kumfanya Samia atambue makosa yake, akatubu na kujiponya nafsi yake...

2. Anaweza kumfanya akaachia ngazi kwa sababu ya uovu aliotenda..

3. Kwa nature ya binadamu hasa watawala wa kisiasa na matajiri wa dunia hii waliojaa DHARAU, KIBURI na KUJIINUA KWA KUJIPA HADHI SAWA NA MUNGU kiasi cha kutaka waabudiwe, hayo mawili hapo👆🏻 juu yanaweza kuwa magumu sana kufanyika. Ni watawala wachache huamua kujikana na kujinyenyekeza na kudharau yote na kisha kutubu na kukiri makosa yao hadharani. Lakini wasipofanya hivyo, Mungu yeye hajali hayo, yeye husimama ktk principles za Agano lake. Yeye ni Mungu wa hukumu za HAKI. Akishindwa kujinyenyekeza, anaweza kuruhusu kifo kimchukue hivyohivyo alivyo....!

3. Anaweza pia kutumia njia nyingine yoyote kumtoa hapo alipo. Rejea wafalme (marais) wa nchi zingine duniani ktk historia waliokuwa makatili na wauaji na wenye kiburi na jeuri ambao baada ya kutesa watu sana na watu kuomba Mungu awasaidie, walifanywa nini..

👉🏻Mfalme (Rais wa kwanza ktk historia ya adunia aliitwa Sauli). Huyu alikataliwa na Mungu na baada ya kuonywa mara nyingi na kupewa nafasi ya kurekebisha mambo yake, kiburi na kukosa utii kulimwangamiza. Alikufa kifo kibaya cha aibu akiwa vitani...

👉🏻Mfalme Neko (Farao wa Misri ya kale). Alikuwa jeuri na kiburi kuliko mfalme mwingine yoyote ktk historia. Alikuwa mwabudu sanamu, alilindwa na wachawi, waganga wa kienyeji na kila aina ya ushetani. Huyu alikufa kifo kibaya kwa yeye na jeshi lake lote kuzamishwa na Mungu mwenyewe ndani ya vilindi vya bahari ya Shamu...

##Ombeni, huyu hafiki popote. Ana kiburi na jeuri isiyomithirika. Ukimwacha Jezebel (mke wa mfalme Ahabu wa Israel), binafsi sijawahi kuona mwanamke katili na wa hovyo kama Samia, mwanamke asiye na unyenyekevu na muuaji. Lakini ufanye nini maana huyu ndiye Mungu kamruhusu awe Rais wa nchi ingalau kwa sasa...?

Tuombe kwa namna yoyote. Maombi yako yanaweza kuwa na maneno rahisi tu ya "Mungu okoa nchi na taifa letu toka katika mikono ya viongozi wabaya na katili wakiongozwa na Samia Suluhu Hassan". Haya nayo ni maombi, yanakubalika 100%. Ukimaliza, mwache Mungu atafanya kwa namna na kwa njia zake...!
 
Kwa hili uko sawa ila mama yupo Hadi 2030 labda litokee lililopangwa na Mungu.
Ndio maana tunaomba.

Unasema "Yupo hadi 2030".

Ok. Kwenye vitabu imeandikwa hivyo kuwa tunafanya uchaguzi mkuu kila baada ya miaka 5 na baada ya 2025 unaofuata ni kweli kabisa ni mwaka 2030. Lakini yeye hawezi kufika huko na maombi yetu tunayoomba ndiyo yatamfunga na kumzuia..

Ilikuwa hivyo kwa mtangulizi wake Hayati John P. Magufuli (mlikuwa mnasema atakuwa Yoweri M7 wa Tanzania). Alifika wapi? Huyu mwanamke ni mbaya zaidi kuliko Magufuli. Ni Rais wa damu za watu. Haziwezi kumwacha salama...!!
Mkuu; Samia ni Rais wa Tanzania na hatujapiga kura hata ya magumashi kuchagua Rais wa Tanganyika.
Kwenye vitabu unaiita "Tanzania" lakini in reality, hii ni TANGANYIKA na muda si mrefu Tanganyika itarudi kutoka huko ilikofichwa
Hawezi na hatakuwa Rais wa Tanganyika kwasababu yeye anatoka Zanzibar. Weka kumbukumbu vizuri ili watu wasipotoke.
Kumbe unaelewa hili?

So, what's your problem exactly....??
 
Ok. Kwenye vitabu imeandikwa hivyo kuwa tunafanya uchaguzi mkuu kila baada ya miaka 5 na baada ya 2025 unaofuata ni kweli kabisa ni mwaka 2030. Lakini yeye hawezi kufika huko na maombi yetu tunayoomba ndiyo yatamfunga na kumzuia..
Wacha hayo maombi yamfunge. Itakuwa ni maamuzi ya Mungu.
Kwenye vitabu unaiita "Tanzania" lakini in reality, hii ni TANGANYIKA na muda si mrefu Tanganyika itarudi kutoka huko ilikofichwa
Kwahivyo sisi tukusikize wewe au tufuate maandiko ya kukatiba?
Kumbe unaelewa hili?

So, what's your problem exactly....??
Ndio naelewa hilo na nimeliandika. In fact my concern is your ignorance of the statusquo and that is a big problem.
 
Back
Top Bottom