Hii kali: waislam wala kitimoto kuongeza CD4. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kali: waislam wala kitimoto kuongeza CD4.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mupirocin, Mar 25, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimepata habari mpya kutoka uswazi, waislamu sasa waamua kula kitimoto kimya kimya baada ya kuambiwa ukila hasa mafuta yake yanaongeza CD4 count hasa kwa walioathirika. Hii kali wanajamvi kunamtu anaifahamu hii? Nawasilisha.
   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Find reasonable source... Ndipo uwasilishe!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Waislam kula au kutokula mbuzi wa katoliki inakuhusu nini?hembu jamani tuangalie mambo ya kuturudishia uhuru wetu na kupata maendeleo!
   
 4. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
   
 5. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Sioni cha ajabu hapo,
  Kwani hakuna tofauti na wanaoenda kupiga KIKOMBE LOLIONDO!
  hizo ndizo akili za kitanzania....
  hakuna kutafiti.. just FUNUNU tu.. utekelezwaji unaanza!!
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Thread zinazohusu Waislamu zishakuwa nyingi humu jukwaani kama zile za Loliondo.
  Zinachosha bana!!
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Umenena mkuu
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  punguzeni jazba jaamen,hizi mada zinaboa sasa
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe ndio unaamka kujua kwamba hawa jamaa wanakula huyu mfugo? mbona usishangae kipindi cha mfungo wao wa Ramadhani hiyo biashara inadoda mabuchani! Na pia sio lazima waongeze CD4 kupitia huyu mfugo Babu si yupo kule Loliondo sasa hivi hakuna haja ya kuongeza CD4 bali ni kwamba unapona kabisa hako kauogonjwa.
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dr. G., kali zaidi ni wewe kuleta habari bila ya chanzo, na kali kweli kweli kuleta mambo ya kidini hapa alfajiri yote hii.
  Dr. G., tetesi, udaku, dini, tiba, vyote hivi vina sehemu zao
  Dr. G., nani kala nini, huyu kavaa kile inakuhusuje?
   
 11. s

  shewolf New Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  guys get serious usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho, kwetu sisi ni kama laana kula huyo na ukisema waislam unatuhukumu wote. naomaba tuheshimiane kidini kaka
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  bab huwezi kupata popularity kwa habari kama hizi chazo hakuna!! kama wangehitaji CD4 nyingi si wange burn tu! tehethete "joking"

  next time njoo na mada mpya
   
 13. r

  rmambya Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hasa,zinaboa sana.
   
 14. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Thread kama hizi ni za hovyo na ni za kutafuta malumbano ya kidini.
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Si ulisema waliathirika? Walikwenda kinyume na maagizo hivyo kuendelea si ajabu.
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nafikiri udini unalisumbua Jamii Forums (kwanini wanawapendelea waislamu tu?)
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ukimwi, Nguruwe na Nabii wa uongo nafikiri ni vitu ambavyo Muislamu anaepushwa navyo mradi akifuata maamrisho. Imani ya mtu ni hiyari yake na ndio maana wanaokwenda kutumia majini kwa Shehe Yahya wengi wao ni Wakristo.
   
 18. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pure crap 100%
   
 19. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  >100% crap....
  Umejuaje, au wewe ni secretary wa huyo shehe wenu?
   
 20. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  good point mkuu
  Glory to God
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...