Hii inawezakana kweli?

Hii inawezakana kweli?

Yaaani nampenda, ila simuamini kwakweli. Kwani yeye Mungu??
 
sidhan mana kama umeamuwa kuwa na mtu ni lazima kamuamin na kama umuamin haina mana tena
 
Kwanza nkupe jibu unalotakiwa kupewa mapenzi sio upofu kamweeee pili mimi mwanmke niliyenae nampenda sn ila simuamini yaan nmempa km 70% hv nlichojifunza nkwmba mda mwingi unkua unWaza kuachana nae tu hs ukigundua ht kitu simple una kiwazia vby inarudisha mapenzi nyuma smtm ila ni possible
 
Back
Top Bottom