Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hahahahhaha hii ni kali, inawezekana kabsa tena sana tu, kuaminiana sasa hivi hamna kabisa. usimwamini mpenzi wako ipo siku atakupa sumu ndo ujute.
Utampendaje mtu ambaye humuamini? Ukimuamini mtu, upendo huwa timilifu.wewe unafikiri tatizo ni nini?
Kila jambo linatokea akilini. Moyo kazi yake ni ku pump damuKupenda kunatokea moyoni ila kuamini kunatokea akilini
Ndo wanasayance mnavyo danganyanaKila jambo linatokea akilini. Moyo kazi yake ni ku pump damu
Sayansi ya wapi hiyo?? Kuwa na mawazo saaana na kutokuwa na amani kwa mda mwingi unaugua vidonda vya tumbo...tumbo nalo lina kazi ya kupenda???Ndo wanasayance mnavyo danganyana
Au tatizo hujawahi penda
(Jiulize kwann mtu akiwa na mawazo saaana na kutokua na amani kwa mda mwingi anaugua magonjwa ya moyo,moyo una kazi zaidi ya hyo mkuu)
Hope nimekujibu kisayansi
Pata stress za kijinga kila mara kama hutopata BPSayansi ya wapi hiyo?? Kuwa na mawazo saaana na kutokuwa na amani kwa mda mwingi unaugua vidonda vya tumbo...tumbo nalo lina kazi ya kupenda???
sasa hiyo inatokana na sababu uliyoeleza. sasa kwani munaendelea kuwa kwenye mahusiano wakati kila mtu hamuamini mwenzie?BADO NAMPENDA ILA TOKA NIKUTE SMS YA UTATA NA NI YA MWANAUME SIMUAMINI TENA NA NILISHAMUAMBIA NA ANALIJUA. NAYE PIA ANANIPENDA ILA HANIAMINI KWANI KUNASIKU NILIMTUMUA AKAHISI NINA MWANAMKE ROOM JAPO SI KWELI. KUPENDA NA KUAMINIANA NI VITU TOFAUTI
Mara nyingi maswala haya hiathiriwa na experience tumazokuwa tumezipitia hapo kabla, kuna mambo ambayo yanakuwa yanatokea yanatuathiri, so mara nyingine unapoanza mahusiano mapya haswa na mtu ambaye hujamjua kiundani, inakuwa taabu kujua umuweke ktk profile ipi, unajikuta unakuwa conscious, always on guard assuming everybody is faulty, thus not trust worthy!!
Kwa mahusiano yetu kwa kibongo bongo short termed hyo ni case ya kawaida sana...