afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
simple silazimishi aniamini...kama yutayari lets go kama ana mashaka basi aangalie kwingineHabari wana JF
Naomba tujadili hili swala wadau.
Hivi inawezekana kumpenda mtu halafu usimuamini kabisa?
Upo kwenye mahusiano na binti/mwanaume yoyote. Anadai anakupenda ila hakuamini. Hayo yote anayasema wazi kabisa bila kuficha chochote. Tena anakwambia ile uso kwa USO
Hii imekaaje wadau?
Nawasilisha