Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Hahaha
Wanawake wasomi wa kibongo ni majanga.

Wewe mwana mke wa Bongo mwenye ka BA tu ka UDSM msumbufu.

Nani angeweza kuwa kama Michelle pamoja na MA ya Havard akaenda ikulu kazi yake kupamba, kucheza na watoto cjui, kusimamia mapishi ya Barrack, yaan aliweka Pride pembeni akachukua role ya mama kabsa. Madem wa kibongo hawawez kuwa humble hivo tena kama wamesoma.
Hasty and false generalization, look carefully wanawake wapo.,
Nani angeweza kuwa kama Michelle??ukiwa first lady wa nchi yoyote huwi na kazi nyingine zaidi ya kuwa na supporting role kwa mumeo kupitia shughuli za kijamii,so ts not like Michelle amefanya kitu tofauti na other first ladies
 
Barack had potential, Michelle had too, hakupenda kirejareja jmn..they were two elites,ukweli uwekwe waziiii,started from the bottom ndio but they were well off than most blacks
Yes
Its not lyl they were third world poor.
Walipoanzia palikuwa pazuri tu.
 
Na angemuacha basi ujue huyo hakuwa wako, wako atabaki nawe katika hali zote. Kwahiyo akiondoka muache aende,anayekudharau kwakuwa hauna kitu basi usihuzunike,muache aende wako atakuja na atakuthamini hivyo hivyo.

Ila hizo dharau zichukue kama changamoto ya kupiga kazi hadi kieleweke.
Sana mkuu.
 
Obama ni mnafiki sana yeye anampenda mke wake ambaye ni mwanamke ila anaeneza ndoa za ushoga .
Huu ni unafiki mkubwa sana na kuishi maisha ya hali mbili kwa wakati mmoja.

Sipingi yeye kumpenda mke wake ni jambo jema sana kwetu kuiga,,,, ila Sera zake za upande wa pili wa sarafu.
 
Hahaha
Wanawake wasomi wa kibongo ni majanga.

Wewe mwana mke wa Bongo mwenye ka BA tu ka UDSM msumbufu.

Nani angeweza kuwa kama Michelle pamoja na MA ya Havard akaenda ikulu kazi yake kupamba, kucheza na watoto cjui, kusimamia mapishi ya Barrack, yaan aliweka Pride pembeni akachukua role ya mama kabsa. Madem wa kibongo hawawez kuwa humble hivo tena kama wamesoma.
Hivi wasomi walikufanya nini ice man!! Mbona wapo walio humble kwelikweli.
 
Ukisikiliza hotuba za Michelle in full utapenda, anajua kupangilia, kuchagua maneno,kuhamasisha, kwakweli mama yuko vzr sana, sio sawa na hotuba za Phd huwezi kujua ni wakati gani anaongelea mafanikio, changamoto au mipango ya baadaye, badala ya kusikiliza hotuba ya kiongozi unakua tena na kazi ya kuchuja sasa anaongelea mafanikio, changamaoto au plan za baadaye.

Huu ni uchochezi.
 
Hasty and false generalization, look carefully wanawake wapo.,
Nani angeweza kuwa kama Michelle??ukiwa first lady wa nchi yoyote huwi na kazi nyingine zaidi ya kuwa na supporting role kwa mumeo kupitia shughuli za kijamii,so ts not like Michelle amefanya kitu tofauti na other first ladies
Iceman 3D sio bure aliwahi kutendwa na msomi wa udsm basi kawachukia woote
 
Obama ni mnafiki sana yeye anampenda mke wake ambaye ni mwanamke ila anaeneza ndoa za ushoga .
Huu ni unafiki mkubwa sana na kuishi maisha ya hali mbili kwa wakati mmoja.

Sipingi yeye kumpenda mke wake ni jambo jema sana kwetu kuiga,,,, ila Sera zake za upande wa pili wa sarafu.
Hayo mengine si siasa mkuu, hapa tunaangalia mapenzi mahusiano na urafiki, ndio maana imeongelewa mahusiano yake na mkewe.
 
Obama ni mnafiki sana yeye anampenda mke wake ambaye ni mwanamke ila anaeneza ndoa za ushoga .
Huu ni unafiki mkubwa sana na kuishi maisha ya hali mbili kwa wakati mmoja.

Sipingi yeye kumpenda mke wake ni jambo jema sana kwetu kuiga,,,, ila Sera zake za upande wa pili wa sarafu.
mambo ya ushoga ni magumu tumuachie mungu tu tho me mwenyewe nayapinga
 
Hahaha
Wanawake wasomi wa kibongo ni majanga.

Wewe mwana mke wa Bongo mwenye ka BA tu ka UDSM msumbufu.

Nani angeweza kuwa kama Michelle pamoja na MA ya Havard akaenda ikulu kazi yake kupamba, kucheza na watoto cjui, kusimamia mapishi ya Barrack, yaan aliweka Pride pembeni akachukua role ya mama kabsa. Madem wa kibongo hawawez kuwa humble hivo tena kama wamesoma.
Very strong point mkuu
 
Obama ni mnafiki sana yeye anampenda mke wake ambaye ni mwanamke ila anaeneza ndoa za ushoga .
Huu ni unafiki mkubwa sana na kuishi maisha ya hali mbili kwa wakati mmoja.

Sipingi yeye kumpenda mke wake ni jambo jema sana kwetu kuiga,,,, ila Sera zake za upande wa pili wa sarafu.
Upande wa pili si wa kuiga.
 
Hasty and false generalization, look carefully wanawake wapo.,
Nani angeweza kuwa kama Michelle??ukiwa first lady wa nchi yoyote huwi na kazi nyingine zaidi ya kuwa na supporting role kwa mumeo kupitia shughuli za kijamii,so ts not like Michelle amefanya kitu tofauti na other first ladies
Hahaha
Ngoja nikupe stori. Zamani first ladies walikuwa wengi hawajasoma na walifanya kaz za kawaida tu.
Hillary Clinton alikuwa ndio first lady wa kwanza kuwa na post grad degree. Alikataa natural roles zote, uliza miaka ya 90 jinsi Hillary alivokuwa ana chukiwa, ndio alijianzishia na ofis yake east wing
Akaanza ku deal na mambo ya ki sera. Hillary alichukiwa mno kwa kuto jishusha, hata clinton alivo mcheat watu walisema ni kazi yake ya kujiona dume hafanyi kaz za home.

Michelle kafanya mambo tofaut kabsaa. Na aliweka usomi pembeni. So nampa sifa anazo stahili kabsa.
 
Barack had potential, Michelle had too, hakupenda kirejareja jmn..they were two elites,ukweli uwekwe waziiii,started from the bottom ndio but they were well off than most blacks
It doesnt matter...what matters the love binds them together...
hapa bongo mwananamke ana madigirii yake angekubal ikulu asimamie chakula cha mumewe, acheze na watoto, afanye majukum kama ya mama, na pia majukum mengine ya kumsaidia mumewe kama first lady..lakin michelle aliweka pemben yote hayo ....we unadhan kwanini barack na uanaume wote amedondosha chozi...unafikiri kaz rahis aliyokua anafanya michelle?? Ukizingatia wapi walipotoka?? its love..mambo ya potential hayapo hapo japo wote wako vizuri kielimu lakin kikubwa kilichowafanya wa make thru ni love....sikiliza maneno yake tena barack ...hadi mwanao alilia koz she know.
 
Back
Top Bottom