Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Mahusiano yoyote yanaendelea kuwepo sababu ya uvumilivu na kupendana kweli..otherwise kila mtu ana madudu yake
Mahusiano yoyote yanaendelea kuwepo sababu ya uvumilivu na kupendana kweli..otherwise kila mtu ana madudu yake
Na huwa tunashindwa kwa kuwa ana kosekana mmoja at least wa kushuka ili mjitathimini wapi mmejikwaa.Kweli. Kazi ni kuvuka pale ndoa inapokuwa ICU. Hapa wengi tunashindwa.
Mapenzi ya sasa ni ya kidigitali.
Ukisikiliza hotuba za Michelle in full utapenda, anajua kupangilia, kuchagua maneno,kuhamasisha, kwakweli mama yuko vzr sana, sio sawa na hotuba za Phd huwezi kujua ni wakati gani anaongelea mafanikio, changamoto au mipango ya baadaye, badala ya kusikiliza hotuba ya kiongozi unakua tena na kazi ya kuchuja sasa anaongelea mafanikio, changamaoto au plan za baadaye.Inapendeza sana,ila the type of woman Michelle alivyo ni yule anayeogopwa sana na wanaume wa kibongo
Michelle by the time anaolewa alikua kasoma Princeton na Harvard, Lawyer by profession
Wanaume wa kibongo ana masters anamtaka form 4 leaver...how can u be Obama when u don't wanna marry Michelle?
Punguzeni woga baadhi ya wanaume, mwanaume kujiamini
Mafahari wawili.......Na huwa tunashindwa kwa kuwa ana kosekana mmoja at least wa kushuka ili mjitathimini wapi mmejikwaa.
Uko sahihi
Inapendeza sana,ila the type of woman Michelle alivyo ni yule anayeogopwa sana na wanaume wa kibongo
Michelle by the time anaolewa alikua kasoma Princeton na Harvard, Lawyer by profession
Wanaume wa kibongo ana masters anamtaka form 4 leaver...how can u be Obama when u don't wanna marry Michelle?
Punguzeni woga baadhi ya wanaume, mwanaume kujiamini
HahahaOk! Kumbe kuachieve such level of relationship inabidi mkaribiane kielimu. Wabongo tuache woga. Chukua degree holder mwenzako.
Hawakai zizi mojaMafahari wawili.......
Da! Umefafanua vizuri sana mkuu.Michelle alimpenda barack even when he was nobody,hata useneta nadhan alikua hajaupata, lakin alikua upande wake, hakumuacha sababu alikua hana kitu, she was there for him, kwani michelle alijua atakua kua first lady?? Je ewee mwanamke unaemdharau mpenz wako unayajua ya kesho?? .........
[HASHTAG]#MyMichelleIsOnTheWay[/HASHTAG]
Barack had potential, Michelle had too, hakupenda kirejareja jmn..they were two elites,ukweli uwekwe waziiii,started from the bottom ndio but they were well off than most blacksMichelle alimpenda barack even when he was nobody,hata useneta nadhan alikua hajaupata, lakin alikua upande wake, hakumuacha sababu alikua hana kitu, she was there for him, kwani michelle alijua atakua kua first lady?? Je ewee mwanamke unaemdharau mpenz wako unayajua ya kesho?? Unayeweka mbadala wa pesa na sio upendo,
Mfano michelle angemdharau barack maybe sabab hana kitu je sasa hivi si angekua anaangalia tv tu anasema eti dah yule "alikuaga" mpenz wangu...sidhan kama utapata sympathy sana sana wenzio watakuchamba tu pengine saio wewe uko choka mbaya ama unaish tu alimrad siku zinasonga ...lakin ungemvumilia ungekua wap ??
Ona sasa barack anaweza kusimama na kumshukuru kipenz chake mbele ya DUNIA ikishuhudia...jins gan michelle amejiona wa kipekee ...
[HASHTAG]#MyMichelleIsOnTheWay[/HASHTAG]
Michelle alimpenda barack even when he was nobody,hata useneta nadhan alikua hajaupata, lakin alikua upande wake, hakumuacha sababu alikua hana kitu, she was there for him, kwani michelle alijua atakua kua first lady?? Je ewee mwanamke unaemdharau mpenz wako unayajua ya kesho?? Unayeweka mbadala wa pesa na sio upendo,
Mfano michelle angemdharau barack maybe sabab hana kitu je sasa hivi si angekua anaangalia tv tu anasema eti dah yule "alikuaga" mpenz wangu...sidhan kama utapata sympathy sana sana wenzio watakuchamba tu pengine saio wewe uko choka mbaya ama unaish tu alimrad siku zinasonga ...lakin ungemvumilia ungekua wap ??
Ona sasa barack anaweza kusimama na kumshukuru kipenz chake mbele ya DUNIA ikishuhudia...jins gan michelle amejiona wa kipekee ...
[HASHTAG]#MyMichelleIsOnTheWay[/HASHTAG]
Exactly,na mahusiano hayapaswi yawe struggle. Ukiona hivyo basi hayo sio mahusiano.Hawakai zizi moja
Yes lakin pia at least onesha kupigana hata kama mtu akisepa unajisemea moyoni nilipigana kadir ta uwezo wanguExactly,na mahusiano hayapaswi yawe struggle. Ukiona hivyo basi hayo sio mahusiano.