Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Na angemuacha basi ujue huyo hakuwa wake, wako atabaki nawe katika hali zote. Kwahiyo akiondoka muache aende,anayekudharau kwakuwa hauna kitu basi usihuzunike,muache aende wako atakuja na atakuthamini hivyo hivyo.

Ila hizo dharau zichukue kama changamoto ya kupiga kazi hadi kieleweke.
Yes mkuu kabisa umezungumza right.
 
It doesnt matter...what matters the love binds them together...
hapa bongo mwananamke ana madigirii yake angekubal ikulu asimamie chakula cha mumewe, acheze na watoto, afanye majukum kama ya mama, na pia majukum mengine ya kumsaidia mumewe kama first lady..lakin michelle aliweka pemben yote hayo ....we unadhan kwanini barack na uanaume wote amedondosha chozi...unafikiri kaz rahis aliyokua anafanya michelle?? Ukizingatia wapi walipotoka?? its love..mambo ya potential hayapo hapo japo wote wako vizuri kielimu lakin kikubwa kilichowafanya wa make thru ni love....sikiliza maneno yake tena barack ...hadi mwanao alilia koz she know.
Kwakweli si mchezo.
 
Struggle inayotakiwa iwepo ni na changamoto zenu not with each other.
Umenikumbusha kuna shangazi yangu alikuwa kila pale anko anamkosea shangazi ana struggle anaenda hadi kwa wazee wao wana ya suluhisha.
Ila kuna siku naye akakosea cha kushangaza yeye ndio akanyanyua mabegi, ikabid anko naye akashitaki kwa wazee.
Sasa wale wazee waka muuliza anti kwa hiyo wewe ukikosewa wewe tu ndio inakuuma eeh!?
Haya omba msahama hapa acha ujinga.
Ila mi nikapenda tu ile attitude ya anko na anti kuhangaikiana, mpaka leo wanadunda 20 yers kwenyw ndoa.
 
1484419384867.jpg


Just look at them...
 
Umenikumbusha kuna shangazi yangu alikuwa kila pale anko anamkosea shangazi ana struggle anaenda hadi kwa wazee wao wana ya suluhisha.
Ila kuna siku naye akakosea cha kushangaza yeye ndio akanyanyua mabegi, ikabid anko naye akashitaki kwa wazee.
Sasa wale wazee waka muuliza anti kwa hiyo wewe ukikosewa wewe tu ndio inakuuma eeh!?
Haya omba msahama hapa acha ujinga.
Ila mi nikapenda tu ile attitude ya anko na anti kuhangaikiana, mpaka leo wanadunda 20 yers kwenyw ndoa.
Mmmmh!! Ila hiyo ya kwenda kushtakiana nayo mmmh!!!
 
Obama aongea haya kwa hisia mpaka chozi likamdondoka.

“For the past 25 years you have not only been my wife and mother of my children, you have been my best friend. You took on a role you didn’t ask for. And you made it your own with grace and with grit and with style, and good humor.”

"Kwa miaka zaidi ya 25 iliyopita, umekuwa sio tu mke wangu na mama wa watoto wangu lakini rafiki yangu mkubwa.Ulichukua jukumu ambalo hukuuliza na ukalifanya kuwa lako kwa neema , ujasiri, mipango na ucheshi mzuri. Uliifanya Ikulu kuwa sehemu ya kila mtu."

Nasi si vibaya tukiwa marafiki wakubwa wa wapenzi wetu (Ambao sio) . Tuchukue majukumu ya wenza wetu na kuyafanya ya kwetu na maisha yatakuwa raha mustarehe kwa miaka mingi. Utakumbukwa na mwenzako baada ya miaka mingi mpaka atamwaga chozi kama ilivyotokea kwa mkuu Obama.

View attachment 459965
Lakini->bali
Hukuuliza->hukuomba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom