Hii Imekaaje Wapendwa

Ugumu wake nini??

Kwamba hajielewi au??
Hajijui au??

MI huwa naamini Mshauri wa Mwisho wa mtu ni moyo wake mwenyewe hasa hasa kwene swala zima la mahusiano.
Ndo maana mi naweza kuona mtu hakufai, kumbe we mwenzangu hapo ndo ume tia nanga.

Mapenzi anaweza kuwa nayo roho inamtuma lakini kila akifiria 8yrs leo ndo kanikumbuka inakuwa shida huku anampenda huku anaona katendwa kaaazi kweli kweli
 
LD amani ya moyo ndiyo determination ya kila kitu as far as my reference book(Bible)is concerned,,kwa hivyo kama intuition yake inamwambie yes,,asonge mbele

Kabisaaaaaaaaaaaaaaaa mpendwa, na hakuna kingine hapo.
 
Hayo nimesema mimi kwa mtazamo wangu kuwa mwanzoni kwanini hkunioa mimi ukaoa mwingine? Hiyo ni dharau kwa mtazamo wangu. Yaani si kwamba waliachana kwa muda halafu ndo akaoa hapa alioa wakati yupo nae akashituka tu jamaa linamwambia nafunga ndoa na fulani

ungekuwa umesema hayo mwanzoni sasa.....
 
Mmmmhh we Ivuga wewe kweli jamaa lilikutosa halafu lishachakachuliwa na watoto watatu ndo linanitaka tena hakiyamungu sikubali!!! Kama umri umeenda acha uende tu bwana kwa hili sitakubali

watoto sio ishu kama wamemaliza tofauti zao kutoka moyoni esp kwa mdada coz yeye ndio alitoswa....
 
Hapo ni sawa si kwamba watoto ni wabaya au wana dhambi. Ishu hapo uchakachuliwaji wa 8yrs si mchezo nyamayao!!!
 
Mapenzi anaweza kuwa nayo roho inamtuma lakini kila akifiria 8yrs leo ndo kanikumbuka inakuwa shida huku anampenda huku anaona katendwa kaaazi kweli kweli

Kweli hapo nakubali lazima kuwe na ushindani kwene nafsi yake,
Lakini kama kweli anampenda (True love) na haoni shida kukaa na watoto wake.

Amsamehe tu, kwa kumtenda, halafu waendelee na maisha.

Cha zaidi nini hapa dunia kuliko, furaha, amani, upendo. na uhuru katika nafsi yako??
Hebu tufikirie hivi, kama huyu machemistry yao yanaendana si bora waishi tu.

Vipi kama akija huyo ambaye sio matapishi labda, lakini maisha yao yakawa ndo hayo, nakuvumilia tuuuuuuu.
Huna amani, we kila siku unajuta tuuuuuuu.
 
Hayo nimesema mimi kwa mtazamo wangu kuwa mwanzoni kwanini hkunioa mimi ukaoa mwingine? Hiyo ni dharau kwa mtazamo wangu. Yaani si kwamba waliachana kwa muda halafu ndo akaoa hapa alioa wakati yupo nae akashituka tu jamaa linamwambia nafunga ndoa na fulani

kama ndio hivyo bac huyu dada yupo kwenye lile kundi la wadada wanalio na hofu na umri...nachukia sana mtu asiejiamni, hakuna mapenzi hapo.
 
Kweli hapo nakubali lazima kuwe na ushindani kwene nafsi yake,
Lakini kama kweli anampenda (True love) na haoni shida kukaa na watoto wake.

Amsamehe tu, kwa kumtenda, halafu waendelee na maisha
.

Cha zaidi nini hapa dunia kuliko, furaha, amani, upendo. na uhuru katika nafsi yako??
Hebu tufikirie hivi, kama huyu machemistry yao yanaendana si bora waishi tu.

Vipi kama akija huyo ambaye sio matapishi labda, lakini maisha yao yakawa ndo hayo, nakuvumilia tuuuuuuu.
Huna amani, we kila siku unajuta tuuuuuuu.

Hapo kwenye bluu watoto hawana kosa wala si vibaya kukaa nao ila hapo kwenye red yahitaji moyo hasa na ujipange sawasawa
 
Hapo ni sawa si kwamba watoto ni wabaya au wana dhambi. Ishu hapo uchakachuliwaji wa 8yrs si mchezo nyamayao!!!

pia hiyo sio ishu kama mliachana/tengana kwa amani lakini hii ya kushtukizia unaambiwa naoa na bado mpo kwenye uhusiano leo yatokee ya kutokea arudi kwako ndio ckubaliani nayo.......
 
Daaa, kama uko kwenye kichwa na moyo wangu Michelle,
Mambo ya Mungu yanatisha jamani, na siku zote mkono wa Mungu unakuwepo mahali ambapo huwezi kufikiri wala kudhania.

Tuko pamoja LD,si unajua ma-experience ya maisha yetu wasichana ni yale yale so sometimes tunakuwa tunafanana yale tunayofikiri kutokana na maisha tuliyoishi na mambo ambayo tumejifunza kwenye maisha yetu mafupi....
 
Hilo nalo neno. Ukisema hivyo unaambiwa wewe unamafrastration ya malove
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom