Hii Imekaaje Wapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Imekaaje Wapendwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dena Amsi, Jan 12, 2011.

 1. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana na waliachana bila sababu
  Jamaa akaoa msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
  Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
  akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
  Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
  akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
  Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
  Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
  Mie haijanikalia vyema kiukweli.
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Inategemea waliachana kivipi, ila upande wangu nisingemkubali
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  bla bla tu.yani unaona umri unaenda na watu wa kukuoa hawajitokezi halafu ukatae? Mwe "! Labda sio ww
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mmmmhh we Ivuga wewe kweli jamaa lilikutosa halafu lishachakachuliwa na watoto watatu ndo linanitaka tena hakiyamungu sikubali!!! Kama umri umeenda acha uende tu bwana kwa hili sitakubali
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Heri kuwa single kuliko kulamba matapishi lol:smile-big::smile-big:
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Kabisa wangu maana duhh miaka nane si kidogo!!!
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Ukisikia tairi la spea ndo hilooo kamkumbuka baada ya kufiwa! agrrr
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Tena naona sio spea mie naona ni reserve maana mpaka yote yaharibike ndo linakumbukwa?? Huyu mdada jirani yangu namuonea huruma
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Maskini yani anajitafutia matatizo mwenywe huyo dada siku ya siku ndoa inacharuka atamlaumu nani!!Saa nyingine Mungu huwa anatuepusha na matatizo sema sie wabishi.
   
 10. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kweli inategemeana waliachana vipi. inawezekana walishatambua makosa yalikuwa wapi na aliyekosea alisharegret. mi ningeangalia merit kama bado nampenda na amekuwa na mwenedo wa kuridhisha naweza kumkubali. watu hubadilika jamani tusikatae, furaha hutengenezwa na wapendanao na sio kitu cha kuchukuliwa kama vile kiko dukani. so wakiamua kuishi kwa kuheshimiana na kwa fuaha, wanaweza

  ila kamwe siwezi kumkubali mtu eti kwa vile tu umri umeenda. kama si mpango wa Mungu niko tayari kuishi bila ndoa maisha yangu yote na nitaona heshima na fahari kwa kuiheshimu nafsi yangu na kupokea kwa ujasiri kipawa cha Mungu bila kutetereka
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mimi kiukweli kwa hili nisingekubali sababu nimemuuliza kuwa hivi hujui kuwa uliepushwa na kitu fulani mpaka jamaa hakukuoa wakati ule?? Leo unatakia nini??? Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mungu alikiepusha
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Judith unaweza kutapika kuku, maini, kitimoto (hapa samahani), nk ulizokula then ukarudi kula tena??? No matter what bwana ulinitosa wakati ule leo unifate SIKUBALI
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  inawezekana dada alikua bado anampenda miaka yote hiyo sasa anahisi ngekewa imemwangukia. Mimi binafsi no no no, crudi nyuma.
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Tatiana umenichanganya hapo Bluu na nyekundu
   
 15. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mh! Mbona mtihani lol
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Naye huyo miaka yoote hiyo nane hakuwahi kuwa na my love wake? yaan alikuwa free hadi jamaa arudi kufill gape tena? no! aendelee na aliyekuwa nae muda wote
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ikiiingia takatifu
  ikitoka haramu..SO USIKUBALI HARAMU...asi mshaachana jaman sa kikurejechasho nini?
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh jaman ebu pumzika kdg kucheza basi uchoki...?:smile-big:mimi ntapumzika pia kukonyeee..manake najua ungenishushua tu apo mbona we upumzik kukonyeeeeeeee
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dena sidhani kama kuna mapenzi hapo,,kwani b4 alimuacha kwa sababu gani?


  :smile-big:hii smile ina ujumbe guess
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  hii tunaita busara....
   
Loading...