Hii Imekaaje Wapendwa

Inawezekana huyo mdada ndo alisababisha wakaachana,kweli mi nafikiri inategemea kilichowaachanisha ni nini?Wanaume hawa bwana kama wewe unamuona makombo hata huyo utakayekutana nae ni matapishi ya sehemu nyingine............Ausikilize moyo wake,aangalie hali kama anaweza kumudu familia na watoto wasio wake na zaidi autafute uso wa Mungu,si kila mtu maombi yake yanajibiwa in a sweet way,sometimes ndo kama hivyo,ulikuwa nae mkaachana,mkewe kafa mkakutana tena na bado mna mapenzi,maisha yanasonga.........mradi kuna heshima,uwajibikaji,uaminifu,na zaidi UPENDO,why not!!hii ishu ya matapishi wengi tunaokuwa nao wametapikwa sehemu,ni vile hatujui tu....LOL
 
ewaa michelle, unajua wengine tunaishi kwenye utopia...
 
Ndo ukweli,we unakutana na mwanaume ana miaka 33,unafikiri kapita wapi na wapi,wengine hata malaya barabarani walishachukua ndo sasa umemkuta katulia,ame-mature unamuona wa maana sana kumbe huko alikotoka????ndo ile: if walls could talk or if somebody's past could be written on his face,mh,the world would not be a place to live.....Ndo sometimes tunaambiwa tugange yajayo,yaliyopita si ndwele na daima Mungu awe kiongozi.
 
Dena, huyo dada angekwambia sababu iliyofanya huyo bwana amuache aoe mke mwingine ingekuwa rahisi kwetu kutoa ushauri... ila kwa maoni yangu....

Huyo jamaa alikuwa na mademu wawili, inawezekana alikuwa anampenda kweli bidada lakini akabanwa sana na upande wa pili, na kwa sababu ambazo hatuijui sisi akaamua ku-surrender huko. Na kama ujuavyo maisha ya ndoa, kuingia rahisi ikabidi aendelee na maisha, lakini sasa mke alipofariki (RIP) ndipo akamkumbuka yule wa mwanzo. Kwani hakuwahi kukutana na wanawake wengine? Ina maana alimpenda lakini kwa sababu alishachemsha toka mwanzo, sasa hataki kurudia tena kosa.

Kama huyo bidada anampenda jamaa, akubali tu, watoto ni Malaika, hawana makosa
 
Inawezekana huyo mdada ndo alisababisha wakaachana,kweli mi nafikiri inategemea kilichowaachanisha ni nini?Wanaume hawa bwana kama wewe unamuona makombo hata huyo utakayekutana nae ni matapishi ya sehemu nyingine............Ausikilize moyo wake,aangalie hali kama anaweza kumudu familia na watoto wasio wake na zaidi autafute uso wa Mungu,si kila mtu maombi yake yanajibiwa in a sweet way,sometimes ndo kama hivyo,ulikuwa nae mkaachana,mkewe kafa mkakutana tena na bado mna mapenzi,maisha yanasonga.........mradi kuna heshima,uwajibikaji,uaminifu,na zaidi UPENDO,why not!!hii ishu ya matapishi wengi tunaokuwa nao wametapikwa sehemu,ni vile hatujui tu....LOL

uko sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom