Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
Screenshot_20221105-154717.jpg
 
Hakuna sheria inayomzuia mtumishi wa umma kuwa kada, isipokuwa maaskari tu.
 
Hakuna sheria inayomzuia mtumishi wa umma kuwa kada, isipokuwa maaskari tu.
Nani kakudanganya Watumishi wa Umma hasa Viongozi ni Makada ila wanajificha Kiroho wapo lumumba unamkumbuka Mzee Zelot Stephen baadae akawa Mwenyekiti wa CCM mkoa
 
Mbona Kuna lijamaa liko sengerema pale idara ya ushirika ni likuu la idara ni liccm pure kudadeki na ni likada la chama Cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom