Hii hali ya hewa ya leo hapa Dar ina shawishi

Hii hali ya hewa ya leo hapa Dar ina shawishi

Usiisahau sasa manake itasaidia sana katika harakati za kutia nguvu ili shetani aendelee kuondolewa!
Ahaa hyo kiungo muhimu sana na Maji makubwa ya Kilimanjaro, kwa kwel leo shetan lazma atoke na itabd nguo zipungue ili ukizmia iwe kaz nyepesi
 
Ha ha ha ha kwel msamaria mwema duh... Mazingira yote yameandaliwa nishindwe mm tu kutoa pepo
Ukija utakuta sina nguo...najiandaa kabisa sitaki kukusumbua msamaria mwema teh!
 
Nilikuwa nasema wakati nakusubiri msamaria mwema

Hebu nikamchinje Everton

Usisahau Glucose na hayo maji basi
Ha ha ha usjal ngoja na mm niwachek chama langu hapa hawa everton wasije harbu mood ya maombi bure
 
Inaanzaje kukushawishi kama hunae hela?
Ushawishi wa juu ni hela tu vingine vyote nimaoteo tu
 
Back
Top Bottom