Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na tufahamiane ndio tuombane hela, wengine wanaenda zaidi mkionana laivu muda huu tu baada ya dakika 10 unasikia anakuomba hela.
Wanaume wana tabia hii sana kuwaomba wanawake wanao wazidi kipato na wanawake pia sasa je kuna haja ya kupeana muda wa kufahamiana vizuri na kuelezana malengo ya mahusiano ndio tuanze kuombana pesa au ni mbinu ya kutaka kuumizana ili hata mkiachana leo mmoja awe tayari amekuumiza.