Hii issue ni mimi tu kuhusu PESA au na nyie?

Spartacus boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,574
3,133
Habari za wakti huu wana JF moja kwa moja

Nimejichunguza muda mrefu sana yaani. Nikiwa sina pesa huwa nawaza mambo ya kijinga sana, huwa nawaza mbususu, matumizi ya hovyo, kumsahau Mungu, matusi. Nikipata pesa kidogo tu huwa nakuwa makini sana, siwazi wanawake. Nikienda dukani huwa nakuwa mpole kwa muhudumu naagiza kwa staha.

Church ndio huwa nahudhuria tena misa ya saa 12. Nikose hela hata mood ya kusali hupotea. Nikipata pesa naonaga sina haja ya kuwa na mwanamke mwingine zaidi ya mama enu tu.

Nikiwa na pesa hujikuta nakuwa care sana nisimuudhi yeyote afu huwa nawaza mambo ya maendeleo kiasi kwamba ukiniomba ushauri au lolote basi mdomoni utatoka ushauri na mambo ya maana.

Nilivokuwa chuo boom ikiingia tu kuhudhuria huko class hata vipindi vya night na Discussions huongezeka. Likikata tu ruhusa kama zote kwa chair.

Nikiwa na hela bundle la simu huwa nagoogle mambo ya msingi asa bundle likiwa la kuuna unga afu ndio connection itoke aiseee ni kukesha tu.

Nikipata pesa tu huwa nawahi kulala afu huwa siongei hovyo hovyo.

Vipi kwa upande wenu wadau.
Upepo wa Pesa
 
Habari za wakti huu wana jf moja kwa moja

Mbona unakuwa opposite kabisa. Wanawake ndio hiwa hivyo wapatapo pesa.
 
Bora yako mimi ni tofauti, nikiwa sina pesa uwa napanga mambo mazuri ila nikishaipata natekeleza nusu ya hayo mambo.
 
Ha ha ha hs nimecheka sana , wengine mmemwambia mleta mada yupo kinyume chake . basii mimi chap wazo likanijia kuwa hili wazo msanii makini akitulia anaweza toa bonge la hit song kumitia mawazo ya mdau . hebu tuone

Song title : nikiiwa na pesa
Artist : Mtoasadaka & Mmea jr

Verse no 1.
Nikiwa sina pesa , yamaana mengi mi nawaza.
Yale nayofikiri kuyafanya pindi ntakapozipata .
Yeah mipango ndyo akili , siyo kuishi kwa kukariri.
Pombe , wanawake kwa kipindi hichi ,wyote siyo deal .
Japo siyo mlokole ,lakini nakuwa mpole
Toa sana sadaka , naishi kwa mashaka

Verse no 2.
Pindi napozipata mipango yote kwisha.
Sina tena muda wakufikiria maisha
Vyote nilivyopanga kufanya havipati nafasi tena .
Kutwa nawaza namna ya kumvua chupi latifa au amina .
Au kumcheki mwanangu ibra twende maeno tukapate nyama .
Omg , in these povert cycle , kweli ntatoka salama ?.
Tumia pesa upate pesa, kauli hii ikinijia naona kumbe bado nafanya jambo la maana .

Stima zimekata ntaendelezea tena hili song , ngoja nikapate tena starter.
 
Mtoa mada utakuwa una shida mahali! Yani uwe na pesa uwe na akili halafu ukiwa huna pesa ndio ukose akili?

Uko kinyume na dunia mzee...
 
Aseee Mkuu kuna vitu unafanana na mimi kabisa,,

Yaani nikiwa na pesa huwa natulia kabisa sina mbwembwe busara huwa inazidi ila nikiwa sina ela huwa nafanya vitu vingine mbak nikipata ela najiuliza ivi ni mimi kweli yule au,,

Ata miaka ya nyuma, ikitokea sina pesa nilikua natongoza mademu kinoma ila nikipata pesa simtafuti mtu zaidi ya yule nilie na malengo nae basi.

Kikubwa nikipata ela huwa siongei sana ata kama ikitokea nimepiga moja Moto moja baridi huwa natulia kabisa.
 
Back
Top Bottom