lopinavir
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 188
- 123
Umenikumbusha mwaka 2009,nilinunua Nokia 1200,ambayo masaa mengi yalikuwa yanatumika kuichaji......nikiitoa kwenye chaji nikapiga au kupigiwa simu chaji inaisha....
Umenikumbusha mwaka 2009,nilinunua Nokia 1200,ambayo masaa mengi yalikuwa yanatumika kuichaji......nikiitoa kwenye chaji nikapiga au kupigiwa simu chaji inaisha....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji14] [emoji12] [emoji134] [emoji87] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu bado tunasubiria mrejesho wa yale mambo yako na mke wako yule aliekuambia kuwa atato*bwa hadi kiherehere chako kiishe!! Harakisha huo mrejesho please!!
Ingia uone udambwiNdo mtandao gani huo
Nilikuwa na L6 ya silver nikaja kununua L7 ya black. Kipindi hiko UDSM ndo zilikuwa simu ziko ktk chati. HELLO MOTTONokia N- Series zilitingisha sana!! Mambo ya infared tena...
Hata Nokia 6230 ilibamba sana! Hivi motorola L6 aka motorola chapati nazo zilifia wapi?
Thanks for corrections.Tanzania leading cellular network
Naam namshukuru mungu leo nina ya ishirini japo naumwa.Sio vizuri leo ni Jumapili na huu ni mwezi mtukufu
Udambwi ndo nini mkuu.Ingia uone udambwi
Pole sana Mungu akufanyie wepesi akujaalie nafuu ya harakaNaam namshukuru mungu leo nina ya ishirini japo naumwa.
Udambwi ndo nini mkuu.
Ubarikiwe mkuu. Niuzie Note 4 hiyo.Pole sana Mungu akufanyie wepesi akujaalie nafuu ya haraka
Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
Hahaha nakutania[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
Duh?
Unataka kuzipeleka kwenye maonyesho ya 7/7 mwaka huu?.
Mambo yote apple currently.Hujui kitu. Kaaka nokia ndo simu inayoongoza kwa kuuza duniani katika top 50. Phone sales of all time wana list ya simu zaidi ya 10. Migogoro ktk uongozi ndo imefanya iwe hivyo. Nokia is beast. Ana zaidi ya karne katika game. Check out for their mid class smartphone NOKIA C1. NEW PROJECT. ANDROID POWERED BY IMPROVED Z LAUNCHER. NOKIA IS BEAST OF ALL TIME. VIVA LEGEND...... teh teh ila hapa natumia samsung[emoji40]
Situmii simu kwaajili ya FAME. natumia simu ninayopaswa kutumia. Sijawahi kushawishika na apple. Maa dont you know samsung galaxy s7 edge?Mambo yote apple currently.