Haituhusu.Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
To hell with himMzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Hana maana yoyote kwa jamii isipokuwa kwa tumbo lake na kuumiza wengineMzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Miezi 16 kufikia nini?COUNTDOWN IMEBAKI MIEZI 16 TU ...WENGI WATAJIDAI KUJITENGA NA DAMU ILA WAPI ...
kama ni kweli tunashukuru amekuwa mtiifu kwa heche maana alimwambia anatakiwa kustaafu siasa kwa hiari akakae na wajukuu inatoshaMzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Huyo Mzee amegoma kustaafu kabisaKWa umri huo hakuna kujiuzulu ni kustaafu tu asitufanye watoto wadogo
It's long overdue.Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Atawarithisha mganga mpya toka Sumbawanga.Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe