Kama the great of all time Muhamad Ali. Ila nokia infact hajafa. Anarudi ktk game kama ilivyo TTCL sasa hivi. Grab popcorns and have a chill. Huu mchezo hauhitaji hasira.
We acha tu mkuu. Tukaja eskimi tukasepa. Yaani tulizurura sana. Kipindi hicho sina idea na google kabisa. Shida zote namalizia waptrick... Dah. Kwa kipindi kile ukipata speed ya 250kbps. Unajiona kama una 4G. Goddamn old is gold.
Yeah beast of all time. Nokia hata akiacha biashara ya kutengeneza simu. Miundombinu aliyoaacha on the planet earth. Na kina wenzie alcatel, Ericsson,. Bado nokia anaweza kudumu miaka 200 ijayo. Upo hapo? Nokia ametoka mbali. Ana zaidi ya miaka 100 ktk game. So sio kwamba amekufa. Amezimia tu. Na mwaka huu. Tegemea makubwa. Umeona ile virtual camera yao? The new project inaitwa NOKIA OZO. so nokia ni mogul ktk industry.
Sent from my SM-J700H using
JamiiForums mobile app